Search results

  1. HAJI KUMBIKO

    Serikali isiogope kuyafungia makanisa holela ya kilokole; hawana madhara kwanza huwa hawapigi kura hawa ya nini kuwaogopa?

    [emoji4]sauti ya hatari sana mashetani wa karne hii wamezibuka masikio ni viziwii ndio mana nao wamekuja na kubwa kuliko nimakelele mpaka wazibuke du ipokazi.
  2. HAJI KUMBIKO

    Usitafute pesa kwaajili ya kujenga bali ongeza vyazo vya mapato kwanza

    Wazo lako sio baya kiwanja kisha kujenga baada ya mafanikio ya kitu chengine means biashara. kwamimi naweza kusema au kuchangia hapo nibora ukiwa na kanafasi cha kujenga jenga kwanza mengine baadae yalisha nikuta hayo nikapoteza Mtaji nikaishia kiwanja. Japo wazolangu lilikuwa zuri biashara...
  3. HAJI KUMBIKO

    Msaada: namna kupata whatapp kwenye pc

    ingia Google andika whatsapp. Com itafungua page ya whatsapp download bonyeza itakupeleka kwenye whatsapp app download then install then utairuhusu Kupitia kwenye simu yako whatsapp website. Njia hii ni rahisi haitumii bluestack.
  4. HAJI KUMBIKO

    Simulizi ya kweli: Mwanamke jini

    Thanks.
  5. HAJI KUMBIKO

    Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Sawasawa tuko pamoja ukianguka kimaisha /kibiashara, usishangae kaza buti kimbiza utafanikiwa tuu. mimi yalisha nikuta hayo huko nyuma tena sio mara moja huwa sishangai walakujuta japokuwa ya naumiza. Ninacho angalia nini cha kuandaa kwa manufaa ya baadae cha muhimu ni mali zisizo hamishika...
  6. HAJI KUMBIKO

    Msaada kufunga Solar system

    Nunua kioo cha watts 100 2pcs Bettery 100 Ah 2pcs. Regulator control 20Amp. Invt' watts1000. Hapo nikwamatumizi ya Ac na dc full power taa 12/16. Kwamatumizi ya vifaa vya dc tuu unaweza chukuwa Kioo kimoja Bettery Moja ina tosha.
  7. HAJI KUMBIKO

    Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

    Yes nikweli mfano ukiwa ndani ya ndege angani huwezi juwa kama ndege inakimbia speed kubwa . Hata dunia inazunguka kwa speed kubwa ila hatuioni sababu tupo safari moja. Nimeongeze kwa mtazamo wangu.
  8. HAJI KUMBIKO

    Conclusion, Dr Shika afanye press conference naJF membaz maswali,comments tutoe kwa Dr na hitimisho kumchangia chochote

    Haya maswali ndio yaliyo takiwa kuhojiwa hapo mwanzo na hata sasa pia kwa ninavyo fikiri kuna mengi nyuma ya hii tarifa ya Doctor shika.
  9. HAJI KUMBIKO

    Utapeli, conspiracy & secret societies: Uhalisia wa umiliki wa kesho ya Ulimwengu

    Uko vizuri mr.the Bold hii unayo tupa nielimu tosha mungu akujalie nafikiri utafika mbali kwa uwezo wa mungu.thanks
  10. HAJI KUMBIKO

    Kama uliwahi tapeliwa njoo hapa

    nilisha tapeliwa ubungo miakahiyoo yote nitamaa yakutaka simu kubwa wakatihuo ni nokia niliwapa kasimu kangu na bukutano wakanipa simu kubwa ya camera nikaanza safari kurudi mikoani ilesimu alidai ya inshu so nisi onyeshe mpaka mbele ya safari. Kufika njiani kufungua ni sabuni do iliniuma sana...
  11. HAJI KUMBIKO

    Msaada wenu tafadhali kuhusu watoto wachanga

    mtoto mdogo nikama malaika huonavingi kuliko sisi. Pili huwa watoto wadogo wanasumbuliwa sana na tatizo la mvurugiko tumboni ( tumbo kujaa gesi ) hii humsababishia maumivu pia hajakubwa kutoa har...Kali. nini chakufanya. mpe drip water na mafuta ya samaki yaweza msaidia. ila hali ikizidi muone...
  12. HAJI KUMBIKO

    Hii ni hatari, huyu mwanamke atazua balaa!

    Isije ikawa ni huyu [emoji125] [emoji125] [emoji125]
  13. HAJI KUMBIKO

    Hii ni hatari, huyu mwanamke atazua balaa!

    Maumivu ya moyo....!!!
  14. HAJI KUMBIKO

    Fahamu kuhusu Biashara ya mkonge nchini Tanzania na Changamoto zake

    Ya nikweli inalipa jirani yangu amepanda huo mkonge yupo vizuri. Ananishauri namimi nipande mkonge tumepakana mipaka shambani NGOMENI UMBA tanga. pia wanunuzi wahuo mkonge nawafahamu mpaka bei zao kulingana na ubora kama ni OG ipojuu kidogo.
  15. HAJI KUMBIKO

    USHUHUDA: Haya ndio maendeleo niliyoyapata kupitia JamiiForums

    Hongera mwana group mwenzetu Jf nidarasa tosha kwa kila jambo.Thanks jamii forum.
  16. HAJI KUMBIKO

    Rais Magufuli achana na mbeleko ya CCM utatuletea tena matatizo

    Watanzania tumuungeni mkono raisi wetu ndugu JOHN POMBE MAGUFULI .kwenye vitahii ngumu ya maslahi yanchi. Tuache tofauti zetu kando tupambane kwa maslahi ya Taifa letu. Tukumbuke hata gadafi alianza mapambano ya kuondoa unyonyaji kwa taabu sana lakini matokeo yake yalikuwa mazuri kwa maslahi ya...
  17. HAJI KUMBIKO

    Mauaji ya Pwani, ni mbinu ya kuwachonganisha wananchi na Serikali

    ume eleweka vizuri sana MKUU.
Back
Top Bottom