Rafiki yangu mmoja husema kusikitika hakusaidii, na kama ni kusikitika tumsikitie yule aliyeondoka akatuacha duniani. Ameondokaje? Kwa huu msiba maneno yake nayapinga kwa asilimia mia. Wale watoto wao itakuwaje?
ATCL yaondolewa katika mfumo wa malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga IATA ATCL yaondolewa katika mfumo wa malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga IATA - MUUNGWANA BLOG
Inawezekana kabisa sielewi mambo ya aviation lakini naweza kusoma na kuelewa. Hayo si maneno yangu, ni...
Kukubali uwepo wa mapungufu ni hatua ya muhimu sana kusuluhisha tatizo. Mimi na wewe tunajua ATCL imebidi ifanye makubaliano ya miaka mitano na shirika la ndege la HAHN ili kuuza ticket zake.
Kufanya kazi kawa hila mbaya sana. Kwenye familia yetu generation ya watoto ndio tumeanza kuwa na vyeti vya kuzaliwa. Cha kwangu nilikipata nikiwa na miaka 10. Wazazi wangu waliozaliwa late 40s hawakuwa na vyeti vya kuzaliwa. Ili kupata passports ilibidi wale viapo mahakamani wao ni wazaliwa wa...
Swali la kujiuliza ni huyu mkulima alitumia gharama kiasi gani kuzalisha gunia moja? Kama anapata faida kuuza TZS 20,000 sioni shida, kama anauza bei ya hasara kwa sababu ya maamuzi ya wenye vyeo vyao sio sawa kabisa. Kila mmoja wetu anastahili kula mema especially kama alipigika shambani msimu...
Inashangaza sana sana. Sijui sisi wa huku vichochoroni tutakuwa kwenye hali gani. Ndio maana watu wanapotea hovyo hovyo hakuna anayehoji mambo yanaisha kimya kimya.
Speech aliyotoa siku alipoteuliwa kuwa mkubwa wa Anti-Corruption Bureau nilidhani Kenya ingekuwa corruption free. Siku zilivyozidi kwenda niligundua yalikuwa maneno matupu yaliyojaa mbwembwe bila strategy wala plan.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.