Search results

  1. M

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    hebu tupe mfano wa jihadi aliyopigana mtume muhammad (swa).
  2. M

    Ofisi zote leo ni Lowassa

    nyinyi ndo gamufai kabisaaa!bora ungali jadili hata mambo ya familia ningalikuona una maana.kuliko kujadili mpira wa uengereza na kuacha habar muhimu za kwenu.
  3. M

    Obama Calls Ethiopian Government ‘Democratically Elected'

    kama amesomaadrasa na kujilipua asingali koment hapa angalikwisha jilipua.wewe ambaye umejifunza kanisani nahic itakuwa umejifunza ubakaji na kulawiti watoto ama sio?usiwe ignorant sawa? go to hell
  4. M

    Wazanzibar wanawavizia Membe na Pinda

    Wamesahau kwamba ,ili uwe raisi wa jamhuri kupitia ccm 45% ni wazanzibar ambao kura zao ni muhimu sana.
  5. M

    Vurugu Zanzibar: Wanachama 2 wa CUF wapigwa risasi kituo cha kuandikishia Wapiga Kura - Makunduchi

    pia,raia anayohaki ya kumzuia na kumfichua muhalifu na wala.sio tu vyombo vya dola vizuie uhalifu.
  6. M

    Kingunge: Hatutokubali Lowassa akatwe jina

    letu jicho
  7. M

    CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura

    Tuwe wawazi juu ya hili.UKAWA wao wenyewe hawapendi kuteuliwa kwa lowasa.sababu. 1:anakubalika licha ya kwamba anakashfa ya rudhwa 2:kuteuliwa kwake ni pigo kwa ukawa(kutoteuliwa kwake ni faida kwa ukawa)
  8. M

    Baraza Kuu La Waislamu Tanzania (BAKWATA) lamteua Sheikh Aboubakar Zuberi kuwa Mufti Mpya

    Sheikh Ponda vpi atakuwepo kwenye kinyang'anyiro?
  9. M

    America, Shame on you: Mwalimu ni lazima angetoa tamko ubaguzi huu

    masopakyindi Kama unasikiliza vyombo vya habar nadhani umemsikia Obama anavyochukiwa na hali ya sasa jinsi ilivyokithiri na inakoelekea kubaya.amegusia mambo matatu ya msingi.UKANDA,UBAGUZI WA RANGI ,na UDINI .kitu kibaya zaidi hapa ni kumkumbatiwa muamerika kama mtetezi wa umasikini wa...
  10. M

    Salim Ahmed Salim ashawishiwe kuchukua fomu haraka

    Muulize Kagame"atakuelewesha"
  11. M

    Salim Ahmed Salim ashawishiwe kuchukua fomu haraka

    ni nchi ilee iliyojaa ustaarabu,ni nchi isiyo na mafisadi,ni nchi ambayo raia wake have not been poisoned by alcohol,ni nchi ambayo hakuna machangu i mean maprostitutes,ni nchi ambayo imezungukwa na urembo wa mahari ya hindi,ni nchi inayojumuisha vizazi vingi na vizazi mchanganyiko kama vile...
  12. M

    Salim Ahmed Salim ashawishiwe kuchukua fomu haraka

    wewe si ni Mrwanda pia au sie?
  13. M

    Kama haki itatendeka ndani ya CC ya CCM, Dkt Salim A Salim ndie Rais bora ajaye

    mdogo wangu usiwe na presha,lile jengo linaitwa jina la kipekee ambalo ni ikulu.na.wala sio msikiti au kanisa.kama hutaki rais muislamu pigia kura ukawa atakuwa ni dr.slaa.kwa upande wa ccm mgombea atatoka zabzibar tena atakuwa muislamu.hali ndo hiyo mkuu
  14. M

    Wanamtwara mmesahau kuliwa na Simba?

    bila kusahau na ukanda wa ziwa pia.ndoa hizo zipo.mkuu
  15. M

    Elimu ya Bongo ni kizungumkuti

    KWELI JAMII FORUM IMEVAMIWA.KUNA UHUSIANO GANI KATI YA LUGHA NA MAENDELEO?WANGAPI WANAONGEA KIENGEREZA NA NI MASIKINI.KISWAHILI NI LUGHA nzuri zaid ya kichina ama kikorea.maendeleo ndio yanayokuza lugha na wala sio lugha inayokuza uchumi.usiwe mvivu wa kufikiria.
  16. M

    Safari hii ni zamu ya Zanzibar: Wameufyata

    ccm wa zanzibar ni mabwege ndo maana wanapelekeshwa
  17. M

    Maalim Seif Sharrif Hamad Leo tena Kitope baada ya Kuzuiliwa

    picha please!hawa ccm wana jeshi na polisi kuweni makini
  18. M

    Serikali kuzifuta taasisi za kidini zinazojihusisha na Katiba, Uchaguzi mkuu

    kwa upande wa misikitini sadaka ni ya tukio.mfano.umeme umemaliza watu wanapiga mchango,kuchimba shimo la.choo watu wanachangia sio kila siku kama dini nyengine kwamba ukienda msikitini utoe sadaka!
  19. M

    Zanzibar ni Mwendo wa Mabadiliko tu, Mguu Mbele Mguu nyuma Hadi Mamlaka Kamili

    hawa jamaa mdobwedo lakini wakiamua kitu wanatushinda sisi.refer 1995,2000,2005,2010
Back
Top Bottom