Search results

  1. GANG MO

    Sitosahau penzi la binti wa kizungu toka NYC

    Habari ya leo wana jf. Leo nimependa kuwashirikisha kisa hiki kilichotokea mwez wa 10 mwaka huu. Nilikuwa na rafiki wa kuzungu jinsia ya kike, jina lake anaitwa Emine. Anaishi NYC japo asili yake ni kutokea Uturuki. Alikuwa amenizidi umri kidogo sana. Mtoto mzuri toka. Tulijuana mwezi wa 2...
  2. GANG MO

    Wadau natatuaje hili kwenye mfumo wa ajira?

    nimefikia hatua hii lakini tatizo linakuja pale napotaka kujaza jina la chuo kwenye orodha halipo. nimesoma University of Iringa (UoI)
  3. GANG MO

    Nimepeleka mahari unyamwezini

    Wadau heri ya Christmas. Last week nimejifungasha toka Iringa mpaka Tabora wilaya ya nzega kumuoa binti ambaye nimempenda sana. Nilifurahia sana namna walivyotupokea na namna mchakato ulivyofanyika fasta bila complication nyingi. Kwanza mfumo wa upokeaji mahari wa hawa jamaa ulinishangaza...
  4. GANG MO

    Hivi mtu aliyekwishazaa au kuzalisha hana haki ya ndoa?

    Kwa nini MWANAMKE aliye kwisha zaa anapewa nafasi ndogo sana ya kuolewa kuliko mwanaume mwenye mtoto? Kabla hujamnyoshea kidole Mama mwenye mtoto ila hana mume kwanza jiulize mazingira ya yeye mpaka kukaa peke yake na mtoto. Sio kila mwanamke mwenye mtoto bila mume basi ukajua alikuwa MALAYA...
  5. GANG MO

    Bunge lijalo litakuwa hivi

    Bunge lijalo Spika; Wabunge Mmepoa Sana, Eh Nyie Wastarabu Adi Raha [emoji4] Wabunge; Paaaaah! Paaaaah! Paaaaaah Spika; Muheshimiwa Gwajima Tunaona Mkono Hapo Gwajima; Nina La Kusema Basi, Jamani Bwana Yesu Asifiwe Sana
  6. GANG MO

    Naombeni mnijuze hili wadau wa biashara

    Habari za majukumu wadau wa jikuwaa la biashara. Ninampango wa kununua bajaji afu niendeshe mwenyewe. Je ni changamoto zipi hujitokeza katika biashara hii endapo unaiendesha mwenyewe?
  7. GANG MO

    Wadau, wapi nitapata betri orijino ya Galaxy J2 Pro

    habari ya wakati huu wadau. ninatumia Samsung J2 Pro kwa miaka mitatu sasa. lakini sasa betri yake imechoka. ikiwa na asilimia 30 simu inazima pia betri yake imevimba. Naombeni mnijuze wapi naweza pata betry yake orijino. nipo Iringa. Natanguliza shukrani
  8. GANG MO

    Kuacha mapaja wazi hakuwezi kumvuta muoaji kamwe bali wazee wa kuchungulia tu

    Miongoni mwa vitu adui amefanikiwa zaidi kwa kina dada ni suala la mavazi, amewaacha waende kanisani lakini amewazuia wasivae vazi la Utakatifu na kuwapa mawazi ya kikahaba. Wasichana wengi hudhania ya kuwa mwanaume ambaye ni muoaji anavutiwa na kumwonyesha mapaja au maungo yake ya Siri kumbe...
  9. GANG MO

    Kuna wizi umetokea benki

    KUNA WIZI UMETOKEA BENKI ••••••••••••••• ••••••• Jambazi akasema "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu", wote wakalala chini (HII INAITWA DHANA ...YA USHAWISHI - kubadilisha njia ya kawaida ya kufikiria). Kuna dada kwa woga akawa amelala chini kimitego, Jambazi...
  10. GANG MO

    Wadau Naomba Msaada: Browser ya Google Chrome inaji-start yenyewe nifanyeje?

    Habari ya majukumu wadau wa JamiiForums. Hivi karibuni App ya Google Chrome imekuwa ikijifungua tabs za matangazo bila mimi kuigusa. Mfano: Ninaweza kuwa nipo YouTube halafu ghafla Google Chrome inajifungua na kudisplay matangazo. Naombeni kujua ni namna gani naweza kuizuia isiwe inaji-start...
  11. GANG MO

    Fahamu kidogo Loan Board ndugu!

    Wadau habarini za asubuhi. Nimeicopy hii kule tweeter. Bodi ya Mikopo imewanufaisha watanzania wengi sana ikiwa ni pamoja na kuwajengea watanzania misingi ya kielimu kwa ajili ya future katika maisha yao . Aidha, Asilimia 80 ya wanufaika wa mikopo ya bodi ni wale kina KAYUMBA Yaani watoto wa...
  12. GANG MO

    Naombeni ushauri katika wazo la biashara hii

    Mimi ni kijana ambaye nilihitimu chuo mwaka 2016. Sikubahatika kupata kazi ya fani niliyosomea. Niliamua kuingia mtaani hapa mafinga na kupiga kazi za mtaani kwa bidii na nikawa naweka pesa benk. Sasa nimefikisha milion 10. Wazo langu ni kununua bajaji na kuiendesha mwenyewe. Naombeni...
  13. GANG MO

    Naombeni kujua tofauti ya email hizi

    Wadau ninaomba kujua tofauti ya email ya GMAIL na PROTONMAIL Katika ubora wake kinatumizi na security. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. GANG MO

    Wanaume wenzangu mnaotumia Facebook na mitandao mingine mjitambue

    Mambo vipi wadau wa JF. Mimi sio mtumiaji wa FB but juzi kati nikafanya research ndogo tu. Nikatengeneza account FB na kuipa jina la kiume. Ndani ya masaa 24 sikupata friend request hata moja wala SMS. Nikaunda account nyingine nikaipa jina la kike na kuweka picha nzuri. Huwezi amini ndani ya...
  15. GANG MO

    Naombeni App nzuri ya kuchorea ramani

    Habari ndugu zangu wa jukwaa hili. Ni matumaini yangu mnaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya covid 19. Lengo la kuja hapa ni kuomba kueleweshwa. Ninaanza kwa kutoa mfano; nina mashamba kumi yakiwa sehemu tofauti tofauti ndani ya kijiji au kata moja. Ninampango wa kuchora ramani inayoonesha...
  16. GANG MO

    STORIESBibi wa miaka 68 ajifungua Mapacha wawili, Mume wake ana miaka 70

    Tumeshuhudia jinsi ambavyo tatizo la Wanawake kutopata Watoto pale wanapowahitaji linavyotuumiza au kuwaumiza Ndugu Jamaa na Marafiki na hata wengine kukata tamaa lakini Bibi huyu wa Nigeria hadithi yake nitofauti kidogo kwa sababu yeye hakukubali kukaa chini. Unaambiwa kwa miaka 43 yeye na...
  17. GANG MO

    Serikali ya Tanzania kuajiri watumishi wapya 44,811

    Chanzo: Gazeti la mwananchi Sent using Jamii Forums mobile app
  18. GANG MO

    Naombeni mwenye namba ya kigwangala nimkabidhi hii mali yake

    [emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  19. GANG MO

    Naombeni app nzuri ya kurecord screen ya simu android

    Habari ya wakati huu wadau wa jukwaa hili. Natumaini mnaendelea kujikinga dhidi ya Covid19. Ombi langu ni moja tu. Naombeni mnisaidie app nzuri ya kurecord screen ya simu (Android). App hiyo iwe ni free na inaweza kuweka alama kwa ile sehemu ninayogusa. Mfano, kuzungushia duara au kuweka...
  20. GANG MO

    Wadau naombeni mnijuze kuhusu hili kama la kweli

    Habari ya asubuhi wadau. Kuna dogo mmoja kahitimu kidato cha nne 2019. Alifaulu ana Div 3.24. kanitumia ujumbe mfupi akisema kwamba baba ake katumiwa umeseji kwamba mtoto wake kachaguliwa chuo cha ualimu. Sasa juzi kati hapa nimeona Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za...
Back
Top Bottom