Search results

  1. Mjina Mrefu

    Nahitaji Digital Camera mpya

    Wakuu, Tuungane kupeana Riziki. Leo nataka kuunga mkono mwanajamvi mwenye kuuza cameras. Kama unauza, nataka Sonny Cyber shot. Au nyingine inayoendana na hiyo Ni PM tufanye biashara. Nipo Dar Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
  2. Mjina Mrefu

    ASA Microfinance yatia fora kwa unyanyasaji wa kingono

    Wakuu, kichwa cha habari hapo juu chahusika. Kwanza naomba nieleze kwamba, taarifa ninazozitoa hapa ni za uhakika maana nimepewa na mtu wa uhakika kabisa ndani ya ASA MICROFINANCE. Nitajitahidi sana kuandika kwa ufupi ili tusichoshane katika usomaji. Kampuni hii inajihusisha na kutoa mikopo...
  3. Mjina Mrefu

    Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

    Habari wakuu, Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X). Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..." Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo? Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?
  4. Mjina Mrefu

    Natafuta Mawasiliano ya Ma DJ wanaotafsiri Movie

    Wakuu, Kuna gape nimeliona mahali la kutengeneza pesa kidogo. Eneo lina uhitaji sana wa movie zilizotafsiriwa kuanzia single na series. Well, nina mpango wa kufungua ofisi yenye ina deal na hivyo vitu plus stationary. Shida yangu ni napataje mawasiliano ya hawa ma DJ wanaotafsiri Movie ili...
  5. Mjina Mrefu

    Bro Maliza mapema tu usiwaze. Ukikaa sana utaharibu

    Wakuu Bango linajieleza. Kama unapata shaka kuwa unamaliza mapema mno kwenye show, relax. Ni vigumu kujua hawa watu wanataka nini. Kumbuka, there's always a second chance. So usiteseke bure. Chukulia hilo jambo kwa mtazamo chanya kwamba mwanamke wako is sexy enough kufanya ukojoe mapema...
  6. Mjina Mrefu

    UZUSHI Leseni za Udereva zimesimamishwa kutolewa tangu Mwezi Aprili, 2023

    Wakuu, Nimekuwa nikifuatilia suala la leseni ya udereva tangu April hadi leo sijapata. Naambiwa Hazitolewi, kuna ukaguzi sijui wa vyeti. Naomba kujua kama ni kweli zoezi limesimamishwa au la. Kama halijasimamishwa, naomba kujua nitumie mbinu gani kuipata kwa haraka.
  7. Mjina Mrefu

    Msaada: Mtoto mchanga kuharisha na kulia usiku kucha

    Habari wakuu, Naomba msaada wa mawazo, Mungu ametujalia mimi na mke wangu tumepata mtoto. Ila ana siku mbili halali kabisa usiku. Analia tu na ana harisha kamba kamba kama makamasi. Hospital wanasema ni kawaida eti kwa mtoto mchanga. Sasa nashindwa kuelewa kawaida kivipi mtoto kutokufunga...
  8. Mjina Mrefu

    Brother huna shida ya nguvu za kiume. Acha punyeto pamoja na kuanglia Picha na Video za ngono

    Wakuu, Vijana wengi sasa hivi wamekuwa wakijihisi wana matatizo ya nguvu za kiume kumbe ni wazima kabisa. Matatizo mengi ya nguvu za kiume husababishwa na kuangalia sana picha za ngono na Punyeto. Picha/ video za ngono hukufanya uzoee kuona nyeti za mwanamke na hivyo kukufanya usipate hisia...
  9. Mjina Mrefu

    Tatizo la mjamzito kupumua kwa shida

    Habari wakuu, Naomba msaada, Mjamzito kupumua kwa shida wakati fulani huwa inasababishwa na nini? Hii kitu inatatuliwaje? Maana hospitali walimpa tu dawa na kumwambia ni hali ya kawaida tu ila sioni mabadiliko.
  10. Mjina Mrefu

    Afumaniwa na mke wa mtu kwenye guest ya mume wa mke husika

    Wakuu, Nimeshangaa sana. Kuna jamaa mmoja ni mhaya, ana hela hela. Sasa ana guest house kadhaa maeneo tunayoishi. Huyo jamaa ana mke mrembo, mdogo bado, ndo kwanza alimaliza kidato cha sita mwaka juzi ila hakufaulu. Sasa kumbe kuna mshkaji mmoja ambaye ni bwana kilimo hili eneo, alikuwa...
  11. Mjina Mrefu

    Nikifukuzia mwanamke wiki mbili tu akagoma nampotezea

    Wakuu, Najua kila mtu ana utaratibu wake wa kupiga sounds hizi pisi. Kimsingi, mimi nikiielewa pisi, nikamwaga verse ndani ya wiki mbili hainielewi, basi naipotezea kabisa. Huwa masuala ya kuumizana akili na kupeana stress muda mrefu sihitaji. Baada ya kusema hayo, nayeyuka huku nikiweweseka...
  12. Mjina Mrefu

    Kamwe usikubali mpenzi/mke wako kuwa na vifuatavyo, utapigiwa

    Wakuu, Usikubali mke au mpenzi wako kuwa na vitu vifuatavyo ambavyo ni hatarishi kwa mahusiano yenu. 1. Usiruhusu mkeo kuwa na bodaboda wake, bobaboda wa mkeo kuna uwezekano mkubwa akamla. 2. Usiruhusu mkeo kuwa na vikundi vya kikoba vya hovyo hovyo. Kule wanashauriana vibaya na wanachepuka...
  13. Mjina Mrefu

    Virusi vya ukimwi vinaishi muda gani nje ya mwili?

    Wakuu habari. Naomba kujua virus vya ukimwi vinaishi muda gani nje ya mwili wa binadamu? Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
  14. Mjina Mrefu

    Mwendokasi kuna pisi kali; ninunue tu gari maana vishawishi vinanizidi nguvu

    Wakuu, Nisiweke maelezo mengi sana. Kama wewe unapanda Mwendokasi, nadhan pisi za mule mnaziona zilivyo kali. Yani usipokuwa mvumilivu unawezajikuta unachukua namba za dem mpya kila siku. Hapa nina list ya namba kama kumi za madem wa kwenye Mwendokasi na sijaanza kuwatongoza bado. Aisee...
  15. Mjina Mrefu

    Feedback Ya Muwasho Sugu (Fungus) kwenye Korodani/sehemu za siri

    Habari wakuu, Kwanza kabisa, napenda kuwaomba Modes wasiufute au ku merge huu uzi na nyuzi nyingine. Lengo la uzi ni kupata feedback tu za wale waliokua na fungus sugu sehemu za siri na wakapata dawa, wakapona kabisa. Naomba watujuze ni dawa gani walitumia wakapona kabisa. Binafsi niweke wazi...
  16. Mjina Mrefu

    Nahitaji kununua pool table used

    Wakuu, Nahitaji kununua pull table used iliyo katika hali nzuri Nicheki pm kama unalo au unajua anaeuza [emoji120]
  17. Mjina Mrefu

    Naomba kuelekezwa namna ya kutengeneza oven ya Mkaa

    Wakuu habari, Nimeona oven fulani huko Twitter ya kutumia mkaa. Nimeipenda, natamani nifahamu tu namna inavyotengenezwa. Kazi ya kuoka mikate, keki na skons ndo inayoniweka mjini.. Shida ni kwamba, natumia oven ya kuni. Inanitesa sana na wakati mwingine napata hasara maana ukigeuza jicho tu...
  18. Mjina Mrefu

    Mtoto Kuchelewa Kutembea, shida ni nini?

    Habari wanazengo, Mwanangu anaelekea kufikisha mwaka na miezi minne ila bado hajaanza kutembea. Anatambaa kwa spidi sana kwa kutumia magoti, anaweza kusimamia vitu kama ukuta, meza, kitanda Nk. Pia akisimamia vitu hivyo, balance anayo ya kutosha na anatembea kwa spidi akiwa amevishikilia vitu...
  19. Mjina Mrefu

    Kama unauza pikipiki nicheki tufanye biashara

    Wakuu.. Natafuta pikipiki iliyo ktk hali nzuri kabisa. -Iwe haijatumika zaidi ya mwaka na iwe namba C -Iwe TVS, BOXER ama nyingine yenye muundo huo... -Bei isizidi 1M - Location iwe Dar -Uwe na documents zote original na uwe tayari kuandikishana kisheria. - iliyotumika kwa matumizi...
  20. Mjina Mrefu

    Ukiachana na "Kazime Taa" Ni kauli gani nyingine ya ndio unayoijua?

    Wakuu, Kuna kauli nyingi za hawa warembo wetu wanazisema tukiwa katika harakati za kusaka tunda.. Ni kauli gani ukizisikia tu, unajua hapa tayari mambo yametiki? Mimi; Kazime Taa Huyu hapa bodaboda muelekeze Shusha nyingine unazozijua..
Back
Top Bottom