Search results

  1. Mjina Mrefu

    Nahitaji Digital Camera mpya

    Inahitaji kutumika next week Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
  2. Mjina Mrefu

    Nahitaji Digital Camera mpya

    Wakuu, Tuungane kupeana Riziki. Leo nataka kuunga mkono mwanajamvi mwenye kuuza cameras. Kama unauza, nataka Sonny Cyber shot. Au nyingine inayoendana na hiyo Ni PM tufanye biashara. Nipo Dar Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
  3. Mjina Mrefu

    ASA Microfinance yatia fora kwa unyanyasaji wa kingono

    Wahindi na wachina wahuni sana
  4. Mjina Mrefu

    ASA Microfinance yatia fora kwa unyanyasaji wa kingono

    Wakuu, kichwa cha habari hapo juu chahusika. Kwanza naomba nieleze kwamba, taarifa ninazozitoa hapa ni za uhakika maana nimepewa na mtu wa uhakika kabisa ndani ya ASA MICROFINANCE. Nitajitahidi sana kuandika kwa ufupi ili tusichoshane katika usomaji. Kampuni hii inajihusisha na kutoa mikopo...
  5. Mjina Mrefu

    Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

    Anatafuta publicity? Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
  6. Mjina Mrefu

    Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

    Ni account yake na ipo verified
  7. Mjina Mrefu

    Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

    Habari wakuu, Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X). Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..." Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo? Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?
  8. Mjina Mrefu

    Natafuta Mawasiliano ya Ma DJ wanaotafsiri Movie

    Shukran mkuu Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
  9. Mjina Mrefu

    Natafuta Mawasiliano ya Ma DJ wanaotafsiri Movie

    Nitashukuru sana mkuu Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
  10. Mjina Mrefu

    Natafuta Mawasiliano ya Ma DJ wanaotafsiri Movie

    Shukran mkuu Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
  11. Mjina Mrefu

    Natafuta Mawasiliano ya Ma DJ wanaotafsiri Movie

    Kijiji flan kipo Kondoa Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
  12. Mjina Mrefu

    Natafuta Mawasiliano ya Ma DJ wanaotafsiri Movie

    Wakuu, Kuna gape nimeliona mahali la kutengeneza pesa kidogo. Eneo lina uhitaji sana wa movie zilizotafsiriwa kuanzia single na series. Well, nina mpango wa kufungua ofisi yenye ina deal na hivyo vitu plus stationary. Shida yangu ni napataje mawasiliano ya hawa ma DJ wanaotafsiri Movie ili...
  13. Mjina Mrefu

    Bro Maliza mapema tu usiwaze. Ukikaa sana utaharibu

    Wakuu Bango linajieleza. Kama unapata shaka kuwa unamaliza mapema mno kwenye show, relax. Ni vigumu kujua hawa watu wanataka nini. Kumbuka, there's always a second chance. So usiteseke bure. Chukulia hilo jambo kwa mtazamo chanya kwamba mwanamke wako is sexy enough kufanya ukojoe mapema...
  14. Mjina Mrefu

    Naomba Ushauri: Nimempa ujauzito mke wa mtu ambaye ameachana na mmewe miaka miwili iliyopita bila talaka

    Ndoa za hiyo haivunjiki. Kuna maagano tayari kuwa Kifo pekee ndio kitawatenganisha. So, hutoweza kuishi nae
  15. Mjina Mrefu

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    ,,,Nilikula kimasihara pisi moja juzi weekend. Niliikuta kitambaa cheupe. Inafanya kazi benki moja maarufu hapa nchini. Niliikuta imekaa yenyewe inakula zake savannah. Nikaomba kama naweza join meza. Ikanikaribisha. Kula zangu Bia laini laini. Kaka nusu saa hivi kila mmoja na simu na vinywaji...
  16. Mjina Mrefu

    Series (Special thread)

    Asante mkuu
  17. Mjina Mrefu

    Series (Special thread)

    Series zenye mazingira kama Vikings, Kingdom, See et al Naomba mwenye kuzijua
  18. Mjina Mrefu

    Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

    Nikiwekaga picha mods wanamind, mcheki anaitwa Lethie
Back
Top Bottom