Search results

  1. I

    Nahisi kuna kitu kizito we subiri nione mchezo unapoishia

    Vijana mbona mnapaniki mambi madogo namna hii. Awe wako asiwe wako, as long as unaishi na mama yake na mama yake ni mkeo huyo ni mtoto wako. Imagine watu wanao single maza ana watoto wawili na wanaishi na wale watoto hadi wanakuwa wakubwa bila kujua kama huyo si baba yao. Kwa hiyo...
  2. I

    Nahisi kuna kitu kizito we subiri nione mchezo unapoishia

    Mwisho wa siku wana peleka sample kwa mkemia mkuu. Mashine na mwenye ruksa ya kufanya hiyo analysis ni mkemia mkuu tu.
  3. I

    Tupeane mbinu za ku-save: Unaweza kurudi na posho za kazi za field nyumbani?

    Hakuna anayekula hela zako. Wewe huna hela, una visenti vya kubadilisha mboga tu.
  4. I

    Matumizi yako kwa siku ni shingapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

    Nalikuwa nakuzidi. At 26 nilikuwa graduate Engineer nalipwa 600,000 kwa Mwezi na Field allowance ya 70,000 kwa siku. Na nilikuwa nakaa sana field.
  5. I

    Matumizi yako kwa siku ni shingapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

    Mimi ni mtu mzima nakaribia kuachana na kazi nilee wajukuu.
  6. I

    Matumizi yako kwa siku ni shingapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

    Matumizi yangu kwa siku ni kama ifuatvyo; 1. Mafuta ya gari 30,000 2. Chakula cha nyumbani 30,000 3. Simu data 5000, Voice 1000 4. Chai na chakula cha mchana nikiwa kazini 15,000 5. Misaada kwa ndugu, jamaa na michepuko 100,000 6. Bia jioni 20,000 pamoja 7. Zawadi za watoto 10,000 Akiba kwa...
  7. I

    CCM kutoka madarakani haimaanishi nchi itabadilika

    Wafia vyama hawawezi kukuelewa ila huo ndo ukweli. Matatizo yetu yanatokana na utamaduni na mifumo ya maisha tuliyoichagua. Kwa mfano. 1. Ubinafsi - kila mtu anajiangalia mwenyewe kwanza na si masilahi ya Taifa. Akipewa kusimamia mradi anaona ndo sehemu ya kujinufaisha. 2. Rushwa - kwa sababu...
  8. I

    Naomba nisaidiwe tiba ya harufu kali ya kikwapa

    Kitabibu harufu kali ya jasho inaweza kuwa ni ishara ya matatizo mbalimbali ya mwili, kama bacteria kwenye ngozi yako, figo kutokufanya kazi vizuri, ini kuto kufanya kazi vizuri, kisukari etc. Nenda hospitali wakufanyia vipimo ili wajue tatizo ni nini.
  9. I

    Baada ya sex, miguu yangu huishiwa nguvu

    Sex inatumia nguvu nyingi. Hivyo ni kawaida kwa mtu yeyote mwanamke au mwanamme kuishishiwa nguvu baada ya sex na kujisikia mchovu. Nguvu zinazobaki mwilini inayegemea na fitness ya mwili. Mwingine anaweza kupiga kimoja akachoka, mwingine hadi vitatu. Kama mwili si wa mazoezi ina maana kila...
  10. I

    Chuo cha Ardhi kinapaswa kuchukua hatua dhidi ya mabinti mapacha waliokiri kufanyiana mitihani

    Mbona kama unaelekeza lawama kwa kitu ambacho kiko nje ya uwezo wa Lecturer au chuo? Unapoingia kwenye mtihani unaonyesha kitambulisho, hawatumii DNA kutambua wanafunzi..Sasa kama hao wanafunzi wanafana akichukua kitambulisho cha mwenzake, unategemea mwalimu agundue vipi?
  11. I

    Kadogosa: Tumetumia umeme wa 336,000 kwenda na kurudi Dar - Morogoro

    Ilibeba abiria kiasi gani? Matumizi ya umeme yanayegemea uzito uliobeba. Asije akafikiri umeme unaotumika kuendesha treni tupu ni sawa na ule wa kuendesha treni ambalo lina full load.
  12. I

    Nataka kufanya DNA test ya watoto wa kaka kupitia mimi je inawezekana?

    Kitanda hakizai haramu. Wewe lea watoto acha story mingi. Kibaiolojia unachotaka hakiwezekani kirahisi Utapoteza muda na nguvu. Ni mpaka analysis ya hali ya juu ambayo haiwezi kufanyika kwenye labs hizi za kawaida. Inaweza kuchukua mwaka mzima mwanasayansi aliyebobea kuweza kutoa majibu ya...
  13. I

    Je, utafanyaje kama umemtongoza mke wa rafiki Yako na amekukataa?

    Mbona issue ndogo hivyo. Yeye akae kimya, aendelee na masha kama kawaida. Asalamiane na kuendelea na kila kitu as nothing happen. Hakuna haja ya kuomba msamaha wala kuhaingaika huku na huku. Hii ni kwa sababu. 1. Shemeji hawezi kumwambia mumewe. 2. Mumewe hawezi kujua kwa nanmna yoyote ile...
  14. I

    DOKEZO Wagonjwa wanapewa magonjwa ambayo hawana ili Zahanati ziuze dawa

    Haya mambo ni ya kitaalamu..Unatakiwa uanze kwa Daktari, yeye ndo akuandikie ukape hiki na hiki na hiki. Sasa wewe unanyanyuka kwenda moja kwa moja Maabara halafu unafika unawaambia nipime taifodi, nipime malaria. Jilaumu mwenyewe kwanza kabla ya kurudha tuhuma kwa watu.
  15. I

    Je Watu wameacha kumwogopa Kikwete? Wameamua tu waseme ukweli?

    Kimsingi waliommaliza Lowasa kisiasa ni CHADEMA. Hii ni kabla Lowasa hajahamia CHADEMA. CHADEMA walikuwa wame mchafua sana sana Lowasa. Kiasi kwamba kwenda na Lowasa kwenye Uchaguzi ilikuwa ni ngumu sana. Maana Dr. Slaa ange mgalaza sana na kwa jinsi walivyokiwa wameaminisha umma kuwa Lowasa ni...
  16. I

    Nimepambana nimeishia hapa, nimelileta jambo langu kwenu Wana-JF

    1. Nyumba iko sehemu gani? 2. Ulikuwa unajenga nyumba ya kuishi au kupangisha? 3. Kwani hizo fedha za kujenga hadi ukafika hapo ulipoishia ilizipataje? 4. Je ulizinganga kwa muda gani? 5. kwa nini sasa unataka umalizie haraka? Kwa nini usisubiri upate pesa taratibu?
  17. I

    Prof. Muhongo: Kazi Zinazohitajika Duniani: Software developer, Data scientist, Information Security Analyst, Nurses, Management Analyst na Artif...

    Elimu lazima iendane na mazingira. Tatizo letu tunachukua elimu ya wazungu kwenye mazingira duni. Hebu niambia nani hapa bongo anahitaji mtu mwenye ujuzi wa Artificial intelligence? Labda kufundisha vyuoni.
  18. I

    Mzee wangu anakaribia kustaafu, uwekezaji upi ni mzuri?

    Achana na UTT, achana na Fixed account, awekeze hela zake kwenye Bond atulie. Atapata hela kila baada ya miezi 6 lakini ni uhakika. Faida ni 10 to 12% kabla ya kodi
  19. I

    Nimepata kazi ya mkataba ila nilikuwa na uhitaji wa kazi ya kudumu

    Walio kwenye mkataba hupewa kipaumbele kwenye ajira za kudumu pale zinapopatikana. Hujapoteza kitu na wala usiwaze sana.
Back
Top Bottom