Search results

  1. Harald Dad

    Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    Ndicho hata mm nakifahamu Hawa akuumbwa sasa nani aliumbwa pale? (Liliath)! Ama kweli binadamu hawapitwi na jambo lolote
  2. Harald Dad

    Ufaransa ilijitoa NATO kwa amani, Urusi anashambulia nchi zinazotaka kujiunga

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Jamii Forum mjadala uendelee
  3. Harald Dad

    Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    JE KABLA YA KUMUUMBA HAWA MUNGU ALIMUUMBA MWANAMKE MWINGINE? Wapendwa naomba mnisaidie ukisoma mwa 1:26 - 27 hapo Mungu alimuumba mtu mwanamke na mtu mwanaume je huyu mwanamke aliyeumbwa hapa ni nani? Wakati huo huo Hawa aliumbwa baada ya Adam kulazwa usingizi na kuchomolewa ubavu? Mwa 2:18 -...
  4. Harald Dad

    Hivi ni mkoa gani Tanzania unaongea lafudhi nzuri ya Lugha ya Kiswahili?

    Hivi ni mkoa gani Tanzania unaongea lafudhi nzuri ya lugha ya Kiswahili?
  5. Harald Dad

    New member

    Nikaribisheni na mm
  6. Harald Dad

    Kujitambulisha

    Karibu nyumban
  7. Harald Dad

    Nawasalimu Wana JF wote

    Nini hasa kimekuvutia haswaa ambacho huwezi kukipata popote
  8. Harald Dad

    New member

    Hivi chakula hiki ni aghali sana ety!
  9. Harald Dad

    Salaam Wana JF

    Hongera mgeni mwenyeji kupokelewa na mwenyeji karibu mgeni mwenyeji nipone
  10. Harald Dad

    Ushauri kwa Serikali: Ajira za mkataba ndiyo suluhisho pekee la uhaba wa ajira nchini

    Nzuri kwa wasioajiriwa tu kwa ss tulio kwenye system ngumu kumeza!
  11. Harald Dad

    Undugu wa Jackline Mengi na mke wa Kagame na madai ya U-honey trap

    K-lyn yuko kwenye kipindi kigumu cha kuondokewa na mzazi mwenza mwacheni kidogo apite kwenye majonzi mazito baada ya hapo ibueni hayo
  12. Harald Dad

    Serikali, msaidieni haraka Ray C kabla hatujachelewa

    Ray c anahitaji faraja zaidi ina maana humu Jf hawezi kujitokeza mzalendo?
  13. Harald Dad

    Watu wanaozungumza kwa kigugumizi wamepotelea wapi?

    Daaaah, huyo dada wa fitina hana kigugu hata kidogo anatema maneno barabara
  14. Harald Dad

    SERIKALI YA TZ IMENITAPELI ZAIDI YA MILIONI 10 TSH .

    Kweli ukipata tumia uwezavyo maana neno mafisadi limekuwa wimbo na kivuli cha kufichia ufisadi wao ili sisi tusione wanavyofuja mali za umma
  15. Harald Dad

    Hivi TUCTA wana ulazima gani wakuendelea kumwalika Rais Magufuli kwenye sherehe zao za Mei Mosi?

    Sioni sababu ya kuwalaumu TUCTA kwani wao hawezi kumpangia kiranja mkuu afanye lipi na lipi asifanye kiranja mkuu anajiona tayari yuko peponi kwa kuupata huo ukiranja mkuu anaishi anavyotaka!
  16. Harald Dad

    SERIKALI YA TZ IMENITAPELI ZAIDI YA MILIONI 10 TSH .

    Teh teh teeeh! Wao wakitumbua hakuna anayewahoji ila sisi watatutafuta kila upenyo wachukue chao na chetu pia hao sio binadamu wenzetu wanajihisi wao ni malaika
  17. Harald Dad

    SERIKALI YA TZ IMENITAPELI ZAIDI YA MILIONI 10 TSH .

    Kwa hiyo serikali ilifanya upuuzi kuziweka hizo coz zingine? Na kwann hadi leo zipo? Kabla haujajibu jaribu kujiuliza
  18. Harald Dad

    SERIKALI YA TZ IMENITAPELI ZAIDI YA MILIONI 10 TSH .

    Aina ya elimu kulinga na mtaala wa elimu unalenga hivyo so kufika mwisho wa safari na kujikuta upo ulipoanzia na kukutaka uanze upya ni kitu kigumu
Back
Top Bottom