Hao ni waongo azam tax huwa wanajua vipi idadi ya abiria iliyoingia mule ndani mpaka wachaji sh 300 kwa kichwa maana watu wanajaaga tu huwa hawana mahesabu maalum
Ni mwaka wa tatu sasa nipo kwenye biashara ila katika changamoto nilizopitia mojawapo ni kufanya biashara na watu wanaoitwa maaskari aisee baadhi waliwahi kunizingua
Mmoja nilimtumia mzigo mkoa kama mkopo akasema anamchukulia na rafiki yake siku ya kulipa ilipoklfika akamtupia mzigo tafiki yake...
Katika ajira zilizotangazwa juzi na TPA waliita watu wengi hadi ambao hawajasoma course maalu ya mambo ya Bandari ambayo inatolewa na chuo chao cha Bandari, na kwa bahati mbaya wakaita kwenye interview watu ambao hawakusoma mambo ya Bandari kwenda kwenye interview, na kwa bahati mbaya zaidi...
Moda msiunganishe huu uzi.
Kwa kweli hawa watu nadhani wana nguvu ya ziada na nnaamini kuna vigogo wengi wanadeal na hii biashara maana ni kama Serikali inawabeba sana.
Fikiria akiba ya mafuta ni ya miezi miwili nyuma ila bei imepata matuta yamepandishwa hapo hapo ndani ya muda huo huo, mafuta...
huyo mzee naskia ana duka la lampard electronics pale tena kubwa sana kariakoo hana njaa huyo na uzee ni lazima huyo 70 kuendelea haikosi
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Naskiliza hapa kazi Ya Diamond Platnumz Wonder naona kijana anajua sana ana mziki mzuri kwa kweli, sijui wanaosema hajui kuimba wao wanaimba nini
Mcheki hapo akiimba live
maana naona kijana kwa sasa ni Tajiri ana kila kitu ambacho hata sasa akisataafu mziki ataendeea kuishi maisha ya...
una uhakika gani kipindi chake hakuna wizi kipindi cha magu kulikuwa upigaji sana tu hata mayanga ulikuwa ni upigaji
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Ishu ni kwamba wazungu wameshtuka kuwa Putin ni kirusi kingine chenye vinasaba vya Hitler na wameona wakimnyamazia anaweza kuivuruga ulaya nzima so wameamua its over, Putin alianza kuibeba crimea akanyamaziwa akaja tena kuyabeba majimbo mawili ya ukraine napo akanyamaziwa hakutosheka akaivamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.