Search results

  1. M

    Je, Nassoro Mazrui bado yuko hai? Kwanini anafichwa?

    Mabomu hayo ulimpa weye,shenzi kabisa,hivi ulimbukeni wa polisi hawa wmkamate na mabomu washindwe kuyaanika kwenye vyombo via habari,hivi inaingia akilini,mbona nyie mijitu munakuwa wajinga hivi. Kweli elimu ni shida kweli hapa tnz,mijitu inacoment utasema inatoka kuzimu.
  2. M

    Uchaguzi Mkuu huu, CCM wameshinda pambano ila wamepoteza vita

    Good analysis, kuna wale vichwa maji lazima wapinge au waje na msg za kindondocha
  3. M

    Umuhimu wa Maalim Seif kuingia kwenye GNU ni mkubwa iwapo tu Jumuiya ya Kimataifa itashindwa kurejesha uchaguzi mpya Tanzania

    Maneno yako maxima,Mwinyi hakubaliki wala hakushinda,wala hatopendwa,ccm wenziwe na wapinzani,na yeye analijua vizuri hilo, kutaka maongezi na Maalim ni kutaka kumtumilia ajisafishe na watu wamkubali,kishiriki kwenye serikali haramu halina umuhimu kwa waznzbar wala kwa maalim,zaidi ya kutaka...
  4. M

    Zanzibar 2020 Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

    Jiulize usikuu huo wanampiga ndani mabomu,au kina vita? musiwe wajinga mpaka ukawapofua, wananchi wameuliwa tena wakiwa kwenye shughuli zao za kawaida, halafu munasema ni uongo,muongo ni huyo jiwe wenu na chama chake,miaka 50 kazi yenu kupanga na kusema uongo mukdhani kila MTU ni muongo. Hao...
  5. M

    Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

    Musishupalie musiyo yajua,hao watu wamepihwa wakiwa katika shuhuli zao za kawaida,wamevamiwa na kurushiwa risasi mabomu waliona hayato watoa roho,wewe unaye sema haya Allah akufungue macho uone dhulma inayo fanywa na madhalim wa CCM, la Kama unajitia upofu wa kusudi,nasi akuoneshe hapa hapa...
  6. M

    Zanzibar 2020 Hamad Masoud Hamad wa ACT-Wazalendo aliyedaiwa kutekwa, afikishwa Kituo cha Polisi

    Wananchi wanapo kasirika na ushenzi huu,kuna mijitu mishenzi inaanza kuwalaumu wananchi kuchukua hatua.
  7. M

    Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

    Kama munaona hakina maana,basi iondolewe kwenye official language, ibakie kiswahili,tabu ya nini, kwa nini munganganie lugha ambayo munaona haina umuhimu. Huyo munae muabudu ndio hakijui musitafite visingizio, aibuuuuu
  8. M

    Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

    waambie serikali iondoe lugha ya taifa English, ibakishe kiswahili tu,musituletee tabu, document zote za serikali zinaandikwa kwa lugha zote mbili, na official languages ni kishwahili na English, iweje basi kiongozi wa nchi asiweze kuongea, halafu munashabikia. Mtu alosoma kwa English mpaka...
  9. M

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

    Utani!!! na kwa mambo ya wanawake tu!, hivi kumbe hizi ndio Sera eeh, badala ya kuelewesha mambo ya msingi,yeye afanye utani, na kila anapo pita lazima huo utani,ingekuwa Mara moja ndio,lakini kila apitapo akifungua mdomo ni wanawake tu, hizi zi kampeni za uraisi, awe serious, Kama ataka...
  10. M

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

    Kwanza angeachana na hiyo dini iloletwa na hao wazungu,ndio afuate mila za kina Mkwawa. Hapo ndio tutamuelewa.
  11. M

    Zanzibar 2020 VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

    Ziulize kabla ya huo uvamizi wenu wa mkoloni mweusi Zanzibar ilikuwa ikisaidiwa na Tanganyika?, musitufanye wajinga Kama munavo fanywa na ccm yenu,Zanzibar ni ilikuwa ni nchi kamili na utawala wake, miaka mingi nyuma,Leo munatufanya mazuzu eti muungano kwa ajili ya usalama,pumbavu...
  12. M

    Rais Magufuli amshauri Waziri kuvuta bangi ya Njombe kisiri siri akienda huko awe mkali

    Jamaa atafuta kila aina ya Kiki ili watu wasahau ripoti ya CAG, lakini Hilo halifutiki,yaani sie wengine tulikuwa hata hatujui mambo haya ya ripoti,lakini utawala huu umefanya kila mtu awe Ni mfuatiliaje was mambo ya serikali kwa ukaribu sana,kila udhalimu ukizidi,raia huzidi kufungua akili zao.
  13. M

    Air Tanzania yakanusha kuuza ndege ya Airbus A220-300

    Na bei hawakuafikiana, wamerudi nayo,Sasa watupiga uongo.
  14. M

    Tanzania inaweza kujikuta kwenye hali mbaya muda si mrefu

    Wakiambiwa ukweli huripuka utasema wale nzige waliongia middle East.
  15. M

    Sheikh Ponda: Tamko lililotolewa na Sheikh Ramadhani si la jumuiya, ni lake mwenyewe

    Takbir haijatajwa popote kwenye hadithi Wala mafunzo ya Mtume wetu (SAW) Kama itajwe sehemu maalumu,takbir unasema wakati wowote na time yoyote,hizi Zi adhkar za kila siku,huyo shehe njaa na akasome Tena.
  16. M

    ACT-Wazalendo yapewa siku 14 kujieleza kwanini isifutiwe usajili wa kudumu kwa kuvunja ‘Matakwa ya Sheria ya Vyama vya Siasa’

    Sijapatapo kuona mijitu mihasidi na roho mbaya kama jiwe na mtungi, yaani watu wako na furaha zao,wao tayari roho zinawatoka,Hasbiyallah,naona hawa viumbe wana damu ya firauni hawa si bure. Tanzania imekuwa ni nchi yenye watu wasio na furaha kumbe sababu ni hawa maluuni,wakiona watu wanafuraha...
  17. M

    CUF kuwachukulia hatua wanaochoma kadi na bendera zao

    Kafungueni tu hizo kesi mumalizie pesa ya ruzuku ilobakia
  18. M

    Mpasuko wa CUF, ni matokeo ya kuvimbishwa kichwa kwa kadi # 1? je, nani kapoteza?

    Shusha tanga pandisha tanga,limbumbavu na vibaraka wake wakafie mbele huko.
  19. M

    Mpasuko wa CUF, ni matokeo ya kuvimbishwa kichwa kwa kadi # 1? je, nani kapoteza?

    Mutamaliza maneno yote,ndio hivo Tena maalim kawaachia chama,Sasa Kama unasema atakuwa Kama mrema basi jitazame Tena,naona huyo lipumbavu lenu ndio litaungana na mrema kwa maalim mutasubiri sana anguko lake.
  20. M

    Mtatiro: Hatua za Bunge, Lipumba na msimamo wangu! Na maajabu ya Bunge na serikali ya CCM

    Hili mbona liko wazi,kesi hii ilifunguliwa zamani iko mahakamani,kwa vile ni mpango maalumu wa kuia cuf,hii kesi haija sikilizwa.
Back
Top Bottom