Natafuta mke Wa kuishi nae awe tayari kuanzia chini na kuhangaika pamoja ktk utafutaji.
Awe mcha Mungu sibagui dini
Mimi Nina kipato cha kadiri hatuwezi lala njaa
Kama wafuatao wangekubali kuwa katika mitaala wangependeza
1
Khantwe mzigua daby
2
Emmyta stable woman mshana Jr
3
Miss natafuta Kapeace behaviorist
4
Kasie mahondaw smart911
5
Joanah demiss DJ sepetu
6
Khantwe husna muba joseverest
Kama kuna wengine taja
Huyu jamaa anapost vitu vingi visivyo Na maana ila hapigwa ban!
Mara aweke avatar ya kike Mara aanzishe mada za kitoto wakati mwingine anaanzisha majukwaa mapya humu ila hajawahi kupewa hata kabani ka siku tatu!
Dah!
Gazeti moja limelipoti taarifa kuwa
Jamaa mmoja amemfungulia mashtaka mkewe kwa kumzalia watoto wenye sura mbaya kiasi cha kuwaogopa
Bwana Feng alilalamika kuwa licha ya yeye Na mkewe kuwa Na muonekano mzuri alishangaa namna watoto hao walivyo Na sura ngumu
Baadae vipimo vya DNA vilithibitisha...
Naomba kujua wanabodi kama Wakili Fatma Karume ana undugu na familia ya Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume.
Na Je ni mwanachama wa CHADEMA?
======
Fatma Amani Karume
Brief biography:
Age: Born June 15, 1969 in Zanzibar, Tanzania
Advocate: Admitted, 1994 in Tanzania
Education...
Kutokana Na masaibu ya maisha nilichelewa kuoa mke mwema
Ila nimebahatika kupata zawadi ya mtoto wa kike mwenye miaka 2 Na nusu
Mama yake tumeshindana tabia kutokana Na mienendo yake isiyo mizuri
Mtoto atakaa Na mamaye ila Mimi nitakuwa natoa matunzo
Nakaribisha kila mwanamke mwenye mapenzi...
Habari wakuu
Kuna dada mmoja nilikuwa naishi nae kama mwaka bila kufunga ndoa Yale mapenzi ya sogea tuishi. Kwa bahati nzuri akapata mimba na kujifungua mtoto ingawa kiukweli mimi sikuwa na nia ya kuishi nae baada ya kuwa tabia zake ni za ovyo sana.
Siku moja nilikuta mazungumzo ya kurekodiwa...
Kwa mujibu Wa misahafu mitakatifu
Binadamu tumetokana uumbaji Wa mwenyezi Mungu
Kwamba sisi sote tumetokana Na Adam Na Hawa kuanzia wazungu waafrika waarabu Na Asians wore
Ila Sayansi Na history zinatuambia eti sisi tumetokana Na nyani
Pia ukitazama kuna aina mbalimbali za nyani weupe wekundu...
Kwa kweli ngao hii ni ya kiubunifu sana mfano shoka linaonyesha jinsi kila mzanzibar afanye kazi
Pia panga ni alama ya ulinzi Wa taifa
Hongera sana mtu aliyebuni ngao hii
Wakuu wenzangu poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa letu.
Naomba nijitambulishe, mimi ni mwalimu wa shule za English medium, yaani shule za mchepuo wa lugha ya kiingereza.
Huwa nafundisha madarasa ya mtihani, wale darasa la saba na darasa la nne. Tatizo limeanzia baada ya mwalimu mwenzetu...
Jamani nimeshangazwa na jinsi mke wa rais wa Marekani, Donald Trump kuacha kuvaa ushungi akiwa nchi ya kiislamu na kitovu cha dini hiyo duniani.
Angeweza kuonesha utengamano na kuheshimu dini ya wenzake,hii imenikera sana ingawa nina imani nyingine.
Watu wengi hudhani Na ndivyo tulivyoaminishwa katika magazeti,majalida Na runinga kuwa wanawake humpenda Na kuvutiwa Na mwanaume mwenye pesa,sura nzuri umaarufu au mwili Wa kimazoezi.
Pia tumeaminishwa kuwa mtu akiwa hana pesa, sura mbaya,aside Na umaarafu wowote hana nafasi kumvutia mwanamke...
Habari wakuu,poleni kwa ukata,Na hongereni kwa sikukuu ya pasaka.
Wakuu mshahara wangu ni nusu kipenyo sasa nikaona nijiongeze kwa kulima bustani ya Nyanya.
Kwa wale wataalam Na wazoefu naomba ushauri ili uweze kuvuna Nyanya bora.njia za kufuata Na mambo ya kuzingatia toka kulima,hadi kuvuna...
Wakuu habari za mihangaiko
Bila kupoteza muda niende madani kuna rafiki yangu kipenzi ameniomba ushauri ila nimekosa jibu.
Jamaa kaniambia kuwa Jana wakati anasex na mpenzi wake kitu cha ajabu kilitokea baadae baada ya jamaa kuona kinyesi katika shuka,na staili ilikuwa ya kifo cha...
Je umewahi kupendana Na sister?Mimi kuna sister mmoja ametokea kunipenda kinyama.tulikutana mazingira fulani ya kielimu tukapeana namba kwa mawasiliano ya kawaida.baada ya shughuli kumalizika kila MTU alienda kwao(mkoani).
toka Siku iyo huyu mtumishi wa mungu ananitumia SMS za mahaba...
Msema kweli mpenzi wa Mungu. Jana nilileta uzi hapa kuhusu wanawake wa kimbulu jinsi walivyo wazuri, hapo nilikuwa Babati. Leo bwana nikaenda Katesh, mama yangu!!
Huku ndio utajua kwanini Mungu anaitwa Mungu. Hawa viumbe bwana wazuri kinomaa msomali si msomali, mwarabu si mwarabu, mzungu si...
Wakuu shikamooni,wadogo marhaba.
Jamani mwenzenu nina kahela kidogo, sasa nawaza cha kufanya. Kwanza niliwaza kujenga chumba na sebule ila nikaona labda niiwekeze katika biashara ili izae ndio nijenge. Hela nimerithi, nimefikia hitimisho ninunue Noah ili niitumie katika biashara ya usafiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.