Search results

  1. miss charming

    Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Habari za mida wana MMU, Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna wakati huwa anachelewa kurudi ananiambia ni mambo ya kazi tunasort yanaisha. Sasa majuzi nimekuta...
  2. miss charming

    Mrejesho, nimeamua kuachana nae maana nimezichoka tabia zake

    Habari za wakati huu wakuu Kama mnakumbuka juzi nilileta uzi wa kuomba ushauri kuhusu mpenzi niliyedumu naye kwa miezi 5 na kutokana na tabia zake za kununa hovyo na nyingine kama hizo Jana kanitibua tena kwenye simu tatizo likiwa lilelile la kununa hovyo na kutaka abembelezwe kila saa leo...
  3. miss charming

    Mwanaume kuzirazira sababu yake nini?

    Habari za usiku, Kuna mwanaume nimedumu nae kwa takribani miezi 5 mpaka sasa lakini kitu kinachonikera ni mtu wa kuzirazira na kususa susa sana mpaka najiuliza huyu ana mapenzi ya dhati kweli maana mimi najua mwanaume hasusi na hasa kwa mwanamke ampendae na pia huwa sio mtu wa story. Yaani...
  4. miss charming

    Naomba msaada wa fedha kwa ajili ya matibabu ya mama yangu

    Habari za sikukuu wakuu hope ni wazima najua hili ni jukwaa la kazi lakini nimeshindwa kuelewa jukwaa husika pa kuleta Uzi huu nimeona nije huku. Ni hivi mimi niko dar nimepata dharula kubwa ambayo naomba wanajf mnisaidie , mamaangu anaumwa miguu anatakiwa kufanyiwa operation na gharama ni laki...
  5. miss charming

    Lulu wa Majizo na Lulu baada ya Majizo

    Hii Picha imeniaminisha kwamba lulu ameachana na majizo maana sio kwa kukonda huko.[emoji116] [emoji116] Check hii Picha akiwa na majizo[emoji116] [emoji116] [emoji116] Kumbe pesa sabuni ya roho,. Ila niliipenda couple yao coz nakapenda kalulu
  6. miss charming

    Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

    Mimi binafsi nimekosa cha kuongea kama diamond anaamini huyu Mtoto ni wa kwake basi hili limbwata sio La nchi hii, Ila huyu Ivan ana damu kali sana
  7. miss charming

    Mwanaume kuvaa Nguo ya ndani ya mwanamke?? Au hii danganya toto

    Habar za Asubuhi wana MMU . Kuna rafiki amekuja Jana ananisimulia kwamba alienda kwa boyfriend wake wakati anapanga panga vitu ndani akakutana na chupi za mwanamke, kwa hasira rafiki yangu akaondoka maana boyfriend wake hakuepo lakini zile nguo akiziacha kitandani ili iwe rahisi huyo mkaka...
  8. miss charming

    Serious man needed baadae awe mume

    Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza; 1.Awe mchamungu 2.awe mpole kiasi 3.awe tayari kupima 4.awe...
Back
Top Bottom