Search results

  1. C

    Nauliza wana JF,hivi ni kwangu tu au.....

    Ni wewe tuu, wengine wanatumia mpaka cm ya mchina na mambo yao safi. Anyway who is your subscriber?
  2. C

    Hivi, nani anatakiwa kuchinja nyama?

    Samahani kama nitawaudhi wengine. Kwanza kabisa mimi siamini dini nyingine ila dini yangu. Katika mafundisho nakumbuka wayahudi walipaswa kuchinja mzaliwa wa kwanza mwana kondoo na kupaka damu yake ktk door post ili usiku malaika akipita atambue hapa ni kwa myahudi asiwadhulu. Katika hili...
  3. C

    Wabunge wataka Umri wa kugombea Urais uwe 35; Zitto asema umri mkubwa ni ushamba

    Umri wa kugombea urais ubakie palepale.
  4. C

    Ninani Profesa Mbele??

    Mimi nakubali kafanya safari nyingi katengeneza faida sawa sasa akae tule hiyo faida. Hamna sababu kwenda tena huko apumzike kivulini hapo magogoni ale faida basi na mishahara tulipane kama huu wa mwezi wa kumi. Na wewe uje utusomeshe huku wenzako wengi hawajui kusoma uje uongeze nguvu. Ondoka...
  5. C

    Msaada wabure wa Mawasiliano

    Angalia kwenye site ya bunge utapata.
  6. C

    Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA)

    Wawe wana mhusisha pia mzee wa upako vipimo vyake vinaweza kuwa vinakamata kuliko vyao. Hata hivyo sie hatujawakataza kutupa taarifa kila wanapojisikia haijalishi kama kuna badiliko ikiwezekana watume hata sms kama tigo! Ni heri sana ukipiga cm ukapokea taarifa ya hali ya hewa mara mia kuliko...
  7. C

    self defence na hijab

    Kujilinda na fataki.
  8. C

    Usiombe uumwe USA

    Sisi huku tuna afya tele tunavimbiwa, hospitali kibao unaandikiwa dawa pharmacy kila kona. Daladala tuna mpaka treni sikuizi, bado ya ndege kwenda moshi mbeya mwanza kila mahali magufuli yupo bwana na mwakyembe wataleta kwanini mnapata shida huko si mrudi huku simu sio lazima uweke hela unaweza...
  9. C

    Serikali yawatimua kazi Madatari na Manesi wastaafu wote nchini

    Rejea hotuba ya mkapa aliyosema akiwa dodoma nadhani ilikuwa kanisani kuna askofu alikuwa anastaafu. Kuna mwongozo utapata juu ya kustaafu!
  10. C

    Prof muhongo huu si uongo?

    Alikuwa anashughulikia mafuta kwanza bandarini amemaliza sasa mpeni muda kidogo anakuja kwenye umeme! Tuvumilieni.
  11. C

    madalali wa nyumba dsm

    Wana jamvi naomba kuleta hoja hapa ili mwisho wa siku niwaelewe hawa watu nijue jinsi ya kushughulika nao Julai mwaka jana nilimtuma mwenzangu kulipia kodi ya nyumba miezi sita, akafatiliwa na vibaka wakakwapua mkoba wenye hela na simu na vitambulisho mpaka vile vya benki. Wakakimbia lakini...
  12. C

    Kijana mmoja auawa katika kamatakamata Zanzibar

    Nasikia burudani naposikia mtu kauawa! Yaani ilitakiwa waliochoma makanisa wote wawe maiti sasa ivi na wale wanaoua polisi. Mbona ilikuwa rahisi sana kufanya uhalifu sasa hao wanne tuu mnalalamika nini wangekuwa kama 200-300 hivi tunaweza kuanza kufikiri kupunguza nguvu kidogo. Lakini kwa sasa...
  13. C

    Kwanini Hairuhusiwi kupiga picha za TV mahakamani?

    Zinaweza kuvuruga mwenendo wa kesi
  14. C

    Sababu zangu kuacha kunywa Coco cola

    Huajua utamu wa coca cola barrrriiiidddiiii, na sahani ya wali kuku!! Weeeee wacha ... Kwani linaudhi kuliko yale ya kondom? Na always! Tuko wangapi " bora lile hamia airtel"
  15. C

    Treni yasababisha ajali

    Alikuwa anataka kuona kama inaua, ni sahihi alichokifanya! Jaribio lake limefanikiwa ila majibu hawezi kuyapata, wewe sasa ndiyo unamajibu uwafahamishe na wenzio ulichokiona.
  16. C

    Ponda na wenzake warudishwa rumande, kesi yapigwa tarehe

    Imani hiyo ndiyo inawatuma wakachome makanisa, Waibe mali za kanisani. Wale mikate ya kanisani.
  17. C

    Blackbery 8520

    poa kama unayo cd na unaweza kutusaidia wengine ambao hatuna we toa copy ntalipia nitumie nie nipo dar nina cm hiyo ila nilinunua mkononi nairobi sasa huwezi uliza cd wala cable naomba copy.nipe gharama zake nikupe kwa m/tigo pesa niachie sms kwa namba hii 0766008080 nitakupigia.
  18. C

    Maji Marefu awataka wananchi wasiwape ridhaa wapinzani!

    Ile sheria ya mbunge awe na degree ilishapitishwa? Nadhani itakuwa mwisho wa kusikia upuuzi. Na kuongozwa na mashetani.
  19. C

    Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote - Ramadhan Dau

    Wanajamvi, Nimekereka sana na majibu ya mtu mmoja ktk ITV aliposema " duniani kote hakuna Nchi ambayo wanasheria ya kujitoa kabla ya umri wa kustaafu" habari hii imeniharibia siku. 1) Kwa nini huyu bwana anatushurutisha sisi kufuata taratibu za nchi nyingine ambazo hatuna mkataba nazo. Kwani...
Back
Top Bottom