Search results

  1. McCain

    NEC kumtambua Maalim seif, Msajili kumtambua Lupamba

    Na Margareth Chambiri, NEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekishauri Chama cha Wananchi (CUF) kumaliza mgogoro unaoendelea ndani ya Chama hicho kwani unaweza kusababisha kupoteza nafasi za Udiwani katika Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika wakato wowote kuanzia sasa. Tahadhari hiyo...
  2. McCain

    Je, viongozi wa dini wao ni fursa kula rushwa?

    Siku chache baada ya kutangaza kuwasilisha shilingi milioni 40 katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja amefafanua sababu za kutomrejeshea fedha huyo mfanyabiashara, James Rugemalira ambaye alimpa awali kama msaada. Fedha hizo ni sehemu ya shilingi bilioni...
  3. McCain

    Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

    Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
  4. McCain

    Hapa kazi tu

    jamaa aliona Mambo magumu kaamua kujiongeza simu ya watu kilichomkuta ni siri yake atawapa taarifa na wenzake
  5. McCain

    Mwigulu Nchemba unasemaje kuhusu uvamizi wa jana?

    Ni jambo la aibu sana kuona waziri anayehusika na ulinzi+usalama yuko kimya hadi leo lakini tukio lingewakuta police siku hiyo hiyo angezungumza chechote halafu hizi silaha wizara husika iwe makini on a sasa zinatumika isivyo. Je, Makonda naye anasemaje kuhusu bilirubin?
  6. McCain

    Naomba kujulishwa hoteli nzuri maeneo ya Ilala

    Nimekutana na mke wa DAUDI BASHITE hivyo inatakiwa nizae naye leo leo maana yeye ameshindwa kumzalisha hivyo inatakiwa nispend naye maeneo ya ilala hadi jumapili jioni ila hotel iwe na ulinzi wa kutosha
  7. McCain

    Je, ni kweli bongo movie imekufa kwaajili ya films toka nje ya nchi ?

    Moja ya matukio yaliyoshika headline hapa bongo ni pamoja na bongo movie kudorora baada ya marehemu Kanumba kuaga dunia twende pamoja. 1. Actors/actresses wamejikita zaidi kwenye ngono wakati matatizo yapo mengi nje na ndani ya nchi hadi wateja wa movie zahesabika e.g. mafuriko, vyeti feki...
  8. McCain

    Baada ya kuomba kazi kwa Magufuli na kukosa sasa anaomba sukari

    Mwenyekiti wa bodi ya Parole, Augustino Mrema amemtaka mbunge wa Vunjo James Mbatia atimize ahadi yake ya kumpelekea mfuko wa sukari kilo 50 kila mwezi pamoja na majani kama alivyoahidi kwenye kampeni zake mwaka 2015. Mrema amesema tangu Mbatia amekuwa mbunge hajawahi kwenda kumuona na...
  9. McCain

    Jamhuri ya Kenya yasababisha ajira mpya TANZANIA

    Hongereni Jamhuri ya Kenya kwakuchokonoa ajira mpya TANZANIA maana bila hivyo wengine tungebaki na msoto ni miaka mitatu niko kwenye makampuni ya watu. Pia naishukuru mahakama ya Kenya kwakuweka pingamizi dhidi medics watanzania tunawashukuru pia medics walochujwa maana kuchujwa kwao kumefanya...
  10. McCain

    Je, kisheria Paul Makonda ana mamlaka ya kuzuia usambazaji wa films za kigeni?

    Ukiangalia kwa umakini kuna baadhi ya viongozi tena hasa hawa wa kisiasa huwa wanakurupuka sana wanafanya hata mambo yaliyo juu ya mamlaka na uwezo aliopewa kisheria. Hivi leo mkoa wa mkoa anazuia uwepo wa films za kigeni je anajua biashara vizuri kwa akili zangu nafikiri biashara inapokuwa na...
  11. McCain

    Kumbe serikali haikujipanga kwa matukio ilisubiri hadi yatokee

    Mbunge wa Bukombe, Mhe. Dotto Biteko ametoa hoja ya kuahirishwa kwa shughuli za bunge ili Bunge liweze kujadili hali ya mauaji inayoendelea nchini ikiwemo mauaji ya askari polisi waliouawa na watu wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi katika eneo la Jaribu Mpakani, Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani...
  12. McCain

    Kamati ya bunge ya ulinzi na usalama kujadili Mauaji ya askari 8

    Nikweli Kamati inamipango mizuri kulinga na uwezo na mamlaka iliyonayo lakini ndugu zangu inamaanisha hayo Mauaji yameigusa sana hii Kamati kuliko matukio mengine kama wakulima na wafugaji kuuawa, kutekwa kwa baadhi ya viongozi na wasanii e.g. Roma mkatoliki, ben saanane, suala la DAUDI ALBERT...
  13. McCain

    Matukio yaliyotikisa mwezi March+April

    1. DAUDI ALBERT BASHITE kuvamia na kubaka free flow of mass media 2. Kutenguliwa uwaziri kwa mheshimiwa Nape Mp wa jimbo la mtama pamoja na kutishiwa na silaha na mtu ambaye serikali imeshindwa kutambua na kumpeleka kwenye vyombo vinavyosimamia utekelezaji wa sheria 3.Kutekwa kwa hit maker...
  14. McCain

    Vikwazo vya biashara vinatofautiana sana

    Vikwazo vya biashara vinatofautiana kwa kila mmoja mfano kuna mwingine fursa ya biashara anakuwa nayo ila shida ni mtaji wakati kuna mwingine mtaji anao wakutosha ila hajui auze nini ili kimtoe kimaisha ama wengine mazingira ndio yamewabana
  15. McCain

    Je, sheria ya SUMATRA inaruhusu mabasi kuanza safari saa ngapi?

    Wilaya ya kalambo kuna basi linaitwa kasitu express linafanya masafa yake kati ya Mtutumbe, Matai na Sumbawanga manispaa linaanza safari zake huko Mtutumbe saa nane ya asubuhi linafika matai saa kumi za asubuhi. Swali langu Je DTO afande mila na wenzake wanazingatia sheria au wamepewa rushwa...
  16. McCain

    Tume ya maadili ya viongozi wa uma Tanzania ichunguzwe

    Ndugu watanzania wenzangu kama mnavyojua hakuna mtu aliyejuu ya sheria lakini cha ajabu ndugu DAUDI ALBERT BASHITE anakabiliwa na tuhuma zisizopungua 4 lakini hadi leo bado yuko ofisini. Je, kiongozi anaweza kuwa na tuhuma akaachwa mimi kama laboratory technician kuna vifaa vya 700000 vilipotea...
  17. McCain

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yalaani vitendo vya utekaji kinyume na sheria

    Jana Jumanne Aprili 11, 2017 Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga ametoa tamko lililoambatishwa kwa vyombo vya habari kuhusiana na matukio ya watu kutekwa na kupotea. Soma hapa tamko hilo la Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala...
  18. McCain

    Mwili wa binadamu kuchomwa moto

    Je, mwili wa binadamu kuchomwa moto Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua na hicho kitendo. Mwili ukishachomwa majivu yanapelekwa wapi kwa taratibu na mila zetu mtu akipata ajali hata akisagika kabisa au kubaki majivu unazikwa hivi hivi.
Back
Top Bottom