Search results

  1. dumesuruali

    Ukininyima nakununia mwaka mzima

    Shida imeanzia hapa Mr Objective Football..
  2. dumesuruali

    TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

    alishatoka Manyara muda sasa.. Yupo Rukwa huko.
  3. dumesuruali

    Hivi kuna barabara ina trafiki wengi kuzidi Arusha - Moshi?

    Kilometa 5 nyingi sana…wanaachana umbali wa mita zipatazo 100 au 200. Bila kuwa poti mwenzao Arusha-Moshi hutoboi bila kuacha ya kipigia kiwi.. Na kubambikiwa speed zaidi ya 50 kwenye tochi zao ni kawaida kabisa..
  4. dumesuruali

    Daktari wa Moshi Healthy Centre ni ovyo kabisa

    Ni kweli kabisa. Kuanzia vile vidada vyenye sura ngumu pale mapokezi mpaka madaktari ni kufanya kazi kwa kujuana tu. Nilimpeleka mwanangu pale wiki mbili zilizopita nimekaa reception lisaa lizima ikabidi niende kuomba kadi ya bima ya mtoto nikaondoka zangu. Utashangaa tu kuona wanakuja watu...
  5. dumesuruali

    Uzi maalumu wa Mashujaa wa ziwa Tanganyika, Mashujaa FC

    Bila bila dakika ya 84 sasa.
  6. dumesuruali

    Hivi inawezekana Mwanaume kuishi na Dada wa kazi nyumba moja?

    Kimsingi hapo unaoa in advance..🫡
  7. dumesuruali

    Mirungi ni hatari ya akili kuliko pombe na bangi

    Its a weekend Kaka ake shetani… Karibu tuitafute Jumatatu..#Full Handasi..[emoji95]
  8. dumesuruali

    Msaada: Kila nikitongoza mwanamke naishiwa kutukanwa

    Maneno matupu hayavunji mfupa... #dumesuruali...
  9. dumesuruali

    Hoteli za Tanga mjini

    Dolphin Hotel au Nyinda mitaa cha Chuda..
  10. dumesuruali

    Matumizi yangu Juni

    unakopesha elfu tatu halafu the girl unampa elfu kumi??ndugu 'ulfu 23'[emoji23][emoji23] [emoji119]
  11. dumesuruali

    Kwa mwenye private car anaetoka arusha kwenda dsm nichangie hela ya mafuta

    nauli Arusha- Dar elfu 40 luxury.. Utachangia mafuta ya shilingi ngapi? au lengo lako ni kusafiri na private car?
  12. dumesuruali

    Ushauri wenu kwa huu mtihani

    baharia anaomba ushauri...badili Id. #dumesuruali...
  13. dumesuruali

    Matokeo ya kauli "Maisha yenyewe mafupi" huwa ni mabaya

    Ni kweli ila maisha yenyewe mafupi sana... #dumesuruali... Sent from my TECNO BC2 using JamiiForums mobile app
  14. dumesuruali

    Nick Minaj akataa kuchanjwa adai rafiki amepoteza korodani.

    Sasa anaogopa nini kwani yeye ana korodani??? #dumesuruali... Sent from my TECNO BC2 using JamiiForums mobile app
  15. dumesuruali

    Nimezama kwenye penzi la mjeda, sioni sisikii

    wewe huwajui vizuri hao watu... utakuja kuleta mrejesho humu... #dumesuruali... Sent from my TECNO BC2 using JamiiForums mobile app
  16. dumesuruali

    Mlinzi wa Rais Samia Suluhu ajikwaa, almanasura aanguke

    kuku mwenyewe yupo chinichini ila anaanguka seuze binadamu?? #dumesuruali...
Back
Top Bottom