Nairobi!
Kijana wenu hapa,
Naomba kujua huyu jamaa ni nani, biography yake na anafanya nini?
Huyu alikua mfanyakazi wa safaricom na ndio father wa Mpesa miaka ya 2012, sema hajulikani na founder na mpesa anajilikana kama Nick
Je nini kilimkuta?, alifungua kesi au yupo yupo tu innovation...
Hasa kwa complex project
Mda sasa nimekua nikitumia python kama primary PL
Moja ya sida kubwa sana ni speed, aise python ni tabu sana
Leo nimeanza kufanya project ambayo natumia python na cpp backend.
Python natumia ku fanya API endpoints wakati c++ natumia kufanya business logic na...
Wakuu!
Wazee wa kutafuta vichaka vya kujifichia sasa tumefikiwa.
Nimekua nikitumia linux kama primary kernel kwenye laptop yangu kazi
Moja ya sababu ni usalama, kupinguza attack, virus etc zinazo sumbua kwenye windows os
Sasa kuanzia update ya trh 25 - 29 /3, red hat waligundua backdoor...
Kama haina ulazima usipande boda boda
Leo nime shuhudia ajali ya bodaboda, abiria + dereva wamedondoka (wamerushwa kushoto mwa barabara) kilicho ni shangaza ni kuona pikipiki inawafata dereva na abiria walipondondekea kwenda kuwa bonda.
Kama una pikipiki kuwa makini hasa nyakati za jioni...
Wakuu,
Webservice ndio chanzo kikuu cha umaskini kwa IT wengi, leo nilikua nafanya malipo kwa service nazo zitumia kwenye personal projects, aise ukifanya mchezo fedha zako zote zinaishia huku.
Ipi ivi assume, una webservice backends ipo powered na rails, frontend ipo react:
Serverless...
Wakuu,
Hili jambo linawezekana kuonekana kawaida, lakini limenishangaza kidogo.
Leo nilikua napitia habari huko mitandaoni, nikapata wasaa wa kuongalia taarifa za baadhi ya jamaa tulio kuwa pamoja kipindi cha nyuma.
Kitu kilicho nishangaza ni kuona kuna account moja ya mtu tulikua tunasoma...
Ipo hivi
1. 10-20M/month
2. 80% - Profit Margin (kila elfu 10, elf 8 faida)
3. App/web in yako pekeyako
4. Bootstrapped
5. Uhuru wa kiuchumi
Hii inawezekana kufanyika hapa hapa Tanzania?
Nadhani hii ni applicable labda nchi za ulaya na US huku kwetu elimu ya tehama na matumizi yake bado
Maoni!!
Wengi huwa tuna malengo ya kujifunza mambo mapya huu mwanzo wa mwaka,
Je ni kipi cha kujifunza kati ya animation na programming?
Kama mimi ningeambiwa nichague ningeenda na animation
Animation ina fursa sana na soko kubwa kulinganisha na programming, kuanzia 2D hafi 3D soko...
Ukuaji wa technology pamoja na fild zake kama AI, robots, autonomous na IoT
Umeongeza fursa hasa upande wa M2M.
Kama unampango wa kua billionea miaka ijayo anza sasa, fanya research na kuona fursa zinazokuja na hasa kwenye nyanja ya M2M
NB: Founder wa openAI alianza kujifunza ML and AI...
Wale wote tunaofanya backend kwa python hii ni baada ya mda saaaana kupita ni rasmi django 5 ipo live kwa ajili yetu
Django5.0 nilikua naisubiri kwa mda mrefu ili kufanya baadhi ya project zangu
Moja ya features ambazo nipo excited kuzitumia ni
1. db_default
Hapo kabla kwenye database...
Dell vostro i3 3400 kwa 1.2M
Lipia kwa Installment, 25% kwa mara ya kwanza kiasi kinacho baki utalipia ndani ya miezi 3
Maelezo zaidi, picha manunuzi click link hapa...
Haya sasa
Kumekucha huko marekani CEO wa chatgpt sama mda huu amafukuzwa kazi na management kwa kuonekana hayupo competent kwenye position ya uongozi ( CEO )
Ikumbukwe kwamba idea nzima ya chatGPT ilikua yake, development na programming amefanya yeye na rafiki zake
Kiufupi amafukuzwa kwenye...
Wakuu,
Njia gani bora ya kumwambia mtu sasa ni wakati kwenda kwake?
Mara nyingi wana wakija lbd kuangalia movie au kutumia Internet unawez kumuambia "Aise mda wa kusepa huu" mtu anakuelewa haina hata shida naondoka
Shida ni kwa wadada toka asubuhi mpaka mdaa huu bado mtu hana mpango
Na pia...
GIL ilikua ina tulimit sama ku apply parallelism bila ya msaada wa third-part library.
Asubuhi hii nimekua na furaha kuskia sasa ni rasmi cpython core developers wameamua rasmi kuachana/kuwa option kutumia GIL tutegemee kwenye matoleo mapya python GIL itakua option kwa developers kutumia ldb...
Aise kama unataka kuanza ku code kitu kabla hauja chagua frameworks hakikisha unapitia cost za deployment kwanza, bila hivyo utajikuta system yako unatumia mwenyewe kwenye localhost
Ipo hivi ulitumua python kama backend cost hazishikiki
Web App - Tumetumia Azure web app ($55/mo)
Postgresql -...
Wakuu!
Huwa wanasema sharing is caring.
Ngonja ni wape Tips wapamabanaji wenzangu na watu wote ambao bado wanatafuta nafasi za kazi na pia kwa wanafunzi ambao bado wapo chuo. Hii trick niliitumia mm mwenyewe kama kufanya majaribio ya kupata nafasi amabazo hazipatikani kirahisi
UTANGULIZI...
Sometimes Bhana naona watu wengi aki code style website yake kidogo tu anaanza ku inspect elements aangalie jinsi gani iyo style inaonekana kwenye mobile.
Hii trick pia inakupa access ya kutumia website yako wakati bado ipo kwenye development jinsi gani muonekano wake utakuwa kwenye simu...
He'll bosses,
Wale tulio na games kwenye devices zetu, ni game gani unacheza sasa
Mm sio mpenzi sana wa games lkn sometimes na cheza mara nyingi napenda ku cheza game amambazo zina run online sio kudownload application.
Currently nacheza gama inatwa GO hii ni game origin yake ni huko china...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.