Search results

  1. Da'Vinci

    Nikiwa njiani kwenda uwanjani nilikuta mpita njia kagongwa na Boda boda, sijui kama alipona!

    Juzi ijunaa saa mbili unusu nimepiga jezi ya mwananchi, nimejiandaa maalumu kwenda kuwacheka Makolo watakavyokandwa na al ahly nimefika panda njia ya kuingia barabara kubwa na haraka haraka zangu za kuwahi ball nilikoswa koswa kugongwa kuna afisa usufirishaji alikua anashuka kaiva yaani hadi...
  2. Da'Vinci

    Naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai

    Habari, wataalam na wenye uzoefu wa jambo hili naombeni muongozo katika jambo langu hili. Ili kujikwamua na ufukara uliokithiri Nilitaman kufanya biashara ya ufagaji.. Nilionelea nifanye ufagaji wa kuku wa mayai. But sijawah kufanya hii kitu uzoefu nilionao ni wa kuhudumia kuku wetu wale...
  3. Da'Vinci

    Msaada: Nina aibu kupita kiasi, nifanyeje kuondokana na hali hii?

    Wakuu, sorry if I will sound weird, ila hakuna jinsi bora kusema labda naweza pata tiba. Nifanyeje ili niweze kuondoa aibu? Mwanzo jilijua ni utoto itapotea with ages ila mpaka umri huu hali iko vilevile na ndio kwanza inazidi kukua. Huwa nawaza hivi siku nafunga ndoa mimi nitafanyaje? Naamini...
  4. Da'Vinci

    Hii ni dawa gani?

    Kuna jamaa angu amekua akiniambia kua anatumia vidonge vikali vya UTI nikawa namuuliza ni ipi Ciprofloxacin au Azythromycine?? Akawa anashindwa kuvitaja. But leo nimeenda kuncheki kwenye shughuli zake katika stori stori akanionyesha chupa la dawa anazotumia.. Yeye akawa anasema ni PEP. Kwamba...
  5. Da'Vinci

    Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

    Salute, Kwa vijana wote specifically wa kiume waliozaliwa mwaka 1990s ambao wanataka kuingia maisha ya ndoa. Basi wajitatahidi sana kuzingatia mambo haya wakati wanapochagua wenzi wao wa maisha. ✔️Mwanamke awe anaishi kwao na wazazi wake , sio anaishi geroo ✔️Hakikisha huo mwanamke aliyekwisha...
  6. Da'Vinci

    Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

    Salute.... Mwaka huu nimeamua kutumia platform hii kuongea na vijana wenzangu hasa waliozaliwa 90s. Mada zangu zote kwa mwaka huu 90% zitakua zinahusu miongozo na ushauri nasihi wa masuala ya ndoa na mahusiano. Let's dive in.... Kwa kipindi zaidi ya mwaka humu Jf kumekua na movement ya kijinga...
  7. Da'Vinci

    Mwanzo mwisho jinsi Filamu ya Moana ilivyotengenezwa. What a masterpiece!

    Aloha kakahiaka.... 👋👋 Kama wewe ni mpenzi wa kutazama mieleka kwa muda mrefu na unawafahamu baadhi ya wacheza mieleka utagundua kwamba michoro/tattoo zilizopo kwenye mikono na mabega ya The Rock (Dwayne Johnson), Roman Reign, Jimmy and Jey (the Usos), umaga nk zinafanana. Sababu inayofanya...
  8. Da'Vinci

    Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

    Salute NB. Ujumbe huu ni maalumu kwa ajili ya vijana wanaotafuta mwanamke wa kufanya nae maisha yaani Kutunza na kulea familia wakati mume akiwa katika harakati zake za kutafuta kipato cha kutunza familia na sio kwa wale wanaotafuta wanawake ambao watasaidizana kiuchumi. Ningependa kuongea na...
  9. Da'Vinci

    Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

    Kwanza naomba radhi kwa hili nitaloeleza hapa maana naenda kinyume na codes za kiume "What happens in Vegas stay in Vegas" Sio vizuri sana kuzungumza mambo yako yahusishayo wanawake mitandaoni. But I have to do this coz sitaki kutumia akili yangu mwenyewe nisije haribikiwa mbeleni huko. ====...
  10. Da'Vinci

    Kwangu huu ndio wimbo bora wa mwaka 2023

    I must confess that nilikua sijui kama kuna rapper anaitwa Lil Durk, But I'm a big fan of Jermaine Cole (J Cole) so involvement ya J Cole kwenye huu wimbo ndio umefanya niupende sana na beti yake kaua kinoma noma. Wimbo umekua national anthem ya dunia zima Beat kali flow za kibabe za Cole...
  11. Da'Vinci

    Jonathan Majors ametolewa mchezoni na wanawake

    Kuna wakati nataka kuamini conspiracy za kwamba Hollywood kuna figisu zinazofanywa dhidi ya Actor weusi juu ya mambo fulani fulani yanayowatokea Black actors. Btu lets keep it as a Conspiracies. Kwa kipindi hiki A list Actors ambao wengi ni weusi zama zao zimeisha kutokana na umri masna wengi...
  12. Da'Vinci

    Je, maneno haya kuhusu hasara za kuoa mwanamke mzuri ni kweli?

    Si maneno yangu bali ni maneno yaliyo katika wimbo wa Jimmy soul. Ukizungumzia hasara za kuoa mwanamke mzuri. If you want to be happy for the rest of your life Never make a pretty woman your wife So for my personal point of view Get an ugly girl to marry you A pretty woman makes her husband...
  13. Da'Vinci

    Muvi na series zilizoandikwa vizuri

    Moja ya kitu kinafelisha bongo series ni kutokua na waandishi wazuri wa series na muvi yaani Screenwriter/Scriptwriters. Mtu kwakua ana stori anayo kichwani basi yeye mwenyewe anaiandikia script, lakini hata hao waandishi waliopo hawana uwezo wala elimu ya Screenwriting. Binafsi moja ya vitu...
  14. Da'Vinci

    Mafundisho ya ndoa miezi tisa ni sahihi?

    Wakuu, Kikawaida mafundisho ya ndoa za kikatoliki hua kati ya wiki 2 mpaka mwezi 1 lakini katika jimbo XXX (Jimbo katoliki) na parokia zake zote hali ni tofauti kabisa mafundisho ya ndoa ni lazima uhudhurie kwa miezi 9. Watu wamelalama kuhusu hili lakini askofu wala hana habari sana paroko...
  15. Da'Vinci

    Wamegundua katuni (animation) zimepoteza uhalisia kutokana na kuwa na muonekano halisi kama binadamu

    Kwa wapenzi wa Computer animated movies mtakuwa mnafahamu kua muvi za animation hasa za kati ya mwaka 2008-2023 zipo realistic sana hadi unashindwa kutofautisha kama hii ni animation au Muvi ya kawaida. Kwa mfano ukiangalia muvi kama Frozen2, Coco, Encanto, The Croods, How to train your dragon...
  16. Da'Vinci

    Happy birthday to me D

    Namshukuru Mungu leo nimetimiza miaka 23. Long may I reign.
  17. Da'Vinci

    Ethics/Moral philosophy inaweza kua suluhisho ya matatizo yako

    Wakuu, Moral philosophy ni tawi la falsafa linalohusu nadhalia za maadili (Ethics) na kanuni za maisha. Falsafa hii inamtaka mtu mtu kufanya maamuzi yake kwa kuangalia/kupima faida na hasara, uzuri na ubaya, Haki na dhuruma, na jinsi maamuzi yake yanaweza kuathiri wengine. NB: mtu...
  18. Da'Vinci

    Nini kilikua chanzo cha ugomvi wa Afande Sele na O Ten?

    Kipindi bifu limeiva Oten alimuimba Sele Kwenye wembo wa Mimi, Oten anaimba kwamba! Nilizaliwa Morogoro, hata siku nikifa maiti yangu iende Mor. Naweka wazi adui yangu asinizike, hata muhuni yoyote asiyenipenda asisogee. Kama vipi itupeni maiti yangu porini wale tai, muone mimi sifai. Kama...
  19. Da'Vinci

    Unawafahamu wanawake wa Amazon?

    Umewahi kuitazama muvi ya Wonder Woman iliyochezwa na mwadada Gal Gadot? Ni muvi inayohusu wanawake Fulani wanaofahamika kama Amazon Women. Kwa mujibu hadithi za uhiriki (Greek mythology) zinasema kwamba Amazon Women walikua ni jamii ya wanawake ambao walikua hatari sana katika medani za...
  20. Da'Vinci

    Wamisri wachukia dhana kwamba Malkia Cleopatra II alikuwa ni mwafrika mweusi

    Juzi hapa Netflix waliachia Trailer la series inayohusu maisha ya Malkia Cleopatra wa Misri. Baada ya trailer hiyo watu(ambao sio Negro/Weusi) wameponda sana kumuweka/kumuonyesha Cleopatra alikuwa mweusi. Wanasema hawataitizama kwakuwa haikisi ukweli kwamba Cleopatra alikuwa mweusi. 👉Kuna watu...
Back
Top Bottom