Search results

  1. A

    Urgent: Natafuta pa system ya kukodi igunga

    Ulipata hiyo PA System? Kama hapana bado unahitaji kwa kipindi hiki cha kampeni?
  2. A

    Ukipenda,fungua usome!

    Aise mi nimeprove iko right. Tunashukuru
  3. A

    Vurugu za Mwanza,chanzo ni Wanasiasa: polisi

    Kwanini hapo nyuma wanasiasa hawakuwashauri machinga walete vurugu? Huyu Siro vipi? yeye akae na machinga wasikilizane aache porojo
  4. A

    Kikwete anasubiri nini kumfukuza kazi Ngeleja?

    Hivi mheshimiwa Rais anataka aelewekeje? Tatizo la umeme utawala wake ndo umeliimarisha kabisaa! Sasa anataka tuamini majenereta makubwa yanayoletwa na kampuni Mantrack hapa nchini yana mkono wake? Inakuaje anasema Ngeleja hausiki halafu hatuambii nani mhusika? Au dhamira inamsuta kwa kuwa yeye...
  5. A

    Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

    Tunamtaka mtoto wa mkulima ila si kama Pinda ambaye ni bendera fuata upepo
  6. A

    Elections 2010 JAKAYA KIKWETE: utakomaa lini?

    Ameshakomaa kwa nafasi yake, akizidi hapo atakatika! ndio maana anauthubutu wa kuwavua magamba/makobe ya CCM, sasa hapo mnataka ukomavu gani?
  7. A

    Nimeamua kujiunga na CCM

    CHADEMA hawatajenga mazingira ya kuwa na mpungufu mengi. Msingi mkuu wa kukosolewa ni utendaji mbovu, sasa kwanini utende makosa ili ukosolewe? CCM ni mabingwa wa kuharibu ndo maana wakosoaji wamekuwa wengi. CHADEMA watafanya kadiri ya uwezo wao kutatua kero zitakazopunguza au kuondoa kabisa...
  8. A

    Kiwanja kinauzwa

    Hakijapimwa ni squater, kiko mita 600 toka stendi ya nyegezi-MZA. Nyuma ya shule ya Mesa Engl. Medium. Nilisema kiwanja kwa sababu nyumba zile ni kama servants' quarter. Mnunuzi ana nafasi ya kujenga nyumba kubwa nyingine kwa ramani yake mwenyewe.
  9. A

    Kiwanja kinauzwa

    Kiwanja kikubwa kipo Nyegezi, kina nyumba ya chumba na sebule na jengo jingine dogo pembeni. Kina sehemu ya Parking. Bei Mil. 13 mawasiliano 0767007830
  10. A

    Kwa hili sakata la mapacha watatu historia uenda ikajirudia.

    Kwa hilo nakuunga mkono mkuu, CCM hawana ubavu wa kuwaondoa Rostam, Lowassa na Chenge. Kipindi cha Nyerere iliwezekana kuwatosa akina Kambona, Babu na wengineo kwa sababu nyerere alikuwa pure clean hivyo kuwasafisha wenzake iliwezekana. Je Kikwette ana sifa hiyo?
  11. A

    Billioni 48 upotevu - Uchaguzi??? Chama twawala?

    Ahsante kwa kutuelewesha, tatizo ni kwamba jamaa wa CCM wameweka pamba masikioni. Hawatishiki na kelele zetu, sasa tunatakiwa kuwa kikazi zaidi yaani kudai kilicho chetu kwa namna yoyote ile maadam ni chetu
  12. A

    Slaa hili mbona hulisemei?

    Hivi mbona watu wanashangaza! Unawezaje kuongeza ajira halafu uzalishaji ukapungua? ARE YOU SERIOUS? Kila unapoongeza ajira mpya tegemea ongezeko fulani la uzalishaji. Huwezi kusema tumeongeza ajira wakati hali ilivyo sasa OUR GENERAL CONSUMPTION EXCEED OUR PRODUCTION. Ndio maana tunagombania...
  13. A

    Godbless Lema kuwa naibu katibu mkuu wa CHADEMA

    Tafuteni mada zilizotulia kwa lengo la kupost na kuchangia. Mi nimeshindwa kuchangia upuuzi huo.
  14. A

    Open-space Jangwani: Kikwete adanganywa tena!?

    Kwa kweli Kikwette mambo yako shingoni, hili nalo litagonga mwamba!!:? Rais anatoa agizo bila hata ya kwanza kuita washauri wake kuwauliza pale kitu gani kinaendelea! Swali je, ili kulinda status quo yake itabidi pabomolewe au ataamua paendelee kujengwa kwa maslahi ya taifa? Nionavyo mimi Rais...
  15. A

    Tundu Lissu: Ngeleja amelidanganya bunge

    Ndugu yangu huyu jamaa hawezi kujeruhiwa, katoka mbali na Rostam Aziz, ni wakina Rostam waliompa kazi pale vodacom na ndo hao waliompa kazi ya kusimamia maslahi yao pale nishati na madini. Hana chochote cha kufanya kule zaidi ya kusimamia maslahi yao, ndo maana hata January Makamba alitaka...
  16. A

    Tundu Lissu: Ngeleja amelidanganya bunge

    Hivi kwa utaratibu huu wa kila waziri anaposema uongo anatetewa na spika maana yake nini? Ule usemi kwamba Anna Makinda amepewa uspika ili kurahisisha mambo yao ndo huo tumeanza kuushuhudia. Ajue wazi kabisa historia itamsuta sana.
  17. A

    Zitto, Lipumba na mkakati wa kuidhoofisha CHADEMA

    Pole sana kaka Zitto, ila hata mimi nilishawahi kuhisi kuwa CCM watakuja kukutumia kuiua CDM. Ninapenda sana namna unavyojenga hoja za kutanguliza utaifa mbele kuliko vyama, lakini hoja hizo zimekuwa ni kama kumpigia mbuzi gitaa na wewe kujiimarisha zaidi kisiasa. Jambo hili linawauma sana...
  18. A

    Zitto, Lipumba na mkakati wa kuidhoofisha CHADEMA

    Pole sana kaka Zitto, ila hata mimi kuna kipindi nilishawahi kuhisi utakuja kutumiwa na CCM. Kwa kweli napenda sana unavyokuwa "nyutro" kwenye mambo mengi ya msingi yanayolihusu taifa letu. Mi nahisi utaratibu wako huu hauwapendezi viongozi wenzako wa CDM ndo maana wanahisi unatafuta umaarufu...
  19. A

    Nguvu ya umma: Eric Shigongo azomewa ashindwa kuzungumza

    Kwa ujumla ni shangwe na vigelegele, hakuna cha pipi, peremende na vizaga zaga vinginevyo. We need changes.
Back
Top Bottom