Search results

  1. Mzee wa kusawazisha

    Kumiliki pesa na kufilisika ni uzembe au ni pito ambalo ni lazima upitie?

    Inauma sana kuna mwaka mambo yanakunyookea unashika adi milion kila mwezi then kuna kaupepo kanakuja vuph! Unajikuta hata Mia unapata kwa kazi. Hivi hii ndo system ya dunia au ni uzembe fulani tunaufanya? Je, wewe kwako unaona ulipoteza pesa zako sababu ya uzembe au nature of system?
  2. Mzee wa kusawazisha

    Mtwara: Jinsi Askari Polisi akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

    Tafadhali Leo ilikua mwendelezo wa kesi ya askari polisi waliomua mfanya biashara musa January 2022. Mwenye mkeka wa nini kilijiri atusaidie hapa
  3. Mzee wa kusawazisha

    Mtoto wa dada ametapeliwa laki tano kuwa atapata kazi ya upolisi

    Sasa mbona baada ya mambo kubuma wanasema?
  4. Mzee wa kusawazisha

    Mtoto wa dada ametapeliwa laki tano kuwa atapata kazi ya upolisi

    Baada ya kutoka JKT, kuna ofisi mmoja aliwashauri walipe laki 5 ili apate nafasi ya kazi ya upolisi cha kushangaza hadi Leo kimya ukiuliza anasema imeshindikana. Lakini pesa hua ngumu kurudi. Mimi sikushirikiswa nakuja ambiwa leo baada ya kuona hakuna kazi. Nimeumia sana kuona ndugu yangu...
  5. Mzee wa kusawazisha

    Mshahara wako wa kwanza ulipopata ajira hukutakiwa kutumia hata shilingi

    Mwanzo ulikua unakula nini? Kazini ulikua unaenda vipi?
  6. Mzee wa kusawazisha

    Mshahara wako wa kwanza ulipopata ajira hukutakiwa kutumia hata shilingi

    Sijawai ona Mungu akisema uongo hata mara 1 tangu mwanzo adi ufunuo
  7. Mzee wa kusawazisha

    Mshahara wako wa kwanza ulipopata ajira hukutakiwa kutumia hata shilingi

    Huu ndo ukweli mkuu japo yataka sana ujizatiti hasa hasa
Back
Top Bottom