Search results

  1. W

    Nyamongo, Mara: Rais Magufuli aamuru kuhojiwa kwa Bwana King'anya kuhusu pesa za mfuko wa North Mara

    Rais Magufuli akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Nyamongo mkoani Mara amewaamuru Waziri wa madini na Mkuu wa Mkoa kumtafuta mtu aliyetajwa kwa jina la King'anya ambaye ndiye mhusika wa mfuko wa kusaidia Wilaya hiyo toka kwa kampuni ya Acacia uitwao North Mara Trust Fund. Hii ni baada ya...
  2. W

    Mnada wa samani:Je,ikipatikana zaidi ya bil 1.,pesa inayobaki inakwenda wapi?

    Makontena ya Makonda yanadaiwa kodi bilioni 1.2!Baada ya Makonda kushindwa kulipa,imeamuriwa kupigwa Mnada! Ikumbukwe tumeambiwa makontena hayo ni msaada toka kwa wanadiaspora! Sasa najiuliza,iwape itapatikana labda bilioni 10,je pesa yote hiyo inachukuliwa Na TRA au wao wanachukua chao tu...
  3. W

    Namna ya kupaa kisiasa awamu ya 5

    Kwa wanasiasa wanaotaka kuendelea kuwa na vyeo walivyonavyo au kuongezwa madaraka basi lazima waisome game na kufanya haya! *Fanya majukumu yako kwa nguvu(Hakikisha unapata back up ya media mara moja moja kupata kiki)Kiki ikizidi sana utashtukiwa! *Hakikisha penye uchafu unapaka...
  4. W

    Uzalendo unatafsiriwa vibaya na viongozi wengi wa Afrika!

    Tafsiri pana kutoka kwa wana-philosophy waliotangulia! Patriotism means to stand by the country. It does not mean to stand by the president or any other public official, save exactly to the degree in which he himself stands by the country. It is patriotic to support him insofar as he...
  5. W

    Serikali inawatengenezea vipato Wachina, huu ni wizi!

    Nimechukua muda kufuatilia hizi mashine za bonanza,kwakweli ni wizi mtupu! Serikali imebariki machine hizi kuingizwa na wachina na kuzipeleka mitaani kwa sh 100,000 kwa mwezi kila mashine! Nimechunguza,mashine hizi ziko programmed "kula kingi" na "kutoa kidogo"! Randomly,kama wakicheza watu...
  6. W

    Radio,TV na social networks zifungwe mpaka saa 10 jioni!

    Bunge lilizuiwa kurushwa live ili watu wapige kazi ikiaminika kuwa muda huo ni wa kazi,yaani hapa kazi tu!Basi ili kuifanya dhana hii iwe kweli tuzuie TV,radio na social network kuoperate muda wa kazi ili watu wengi wapige kazi! Hii inamaana hata kiki za JPM kupokea gawiwo tuzione kwenye taarifa...
  7. W

    Mishahara ya waliotumbuliwa imefika kiasi gani kwa mwezi?

    Kuna kipindi nilisikia waliotumbuliwa na kurudi home na hawafanyi kazi yoyote mishahara yao ilikuwa mil 300+ kwa mwezi! Kama kuna mtu mwenye taarifa kwa sasa zimefika sh ngapi atujuze hapa.
  8. W

    Magufuli alimlenga nani kusema "hata Obama yuko kimya, haongei ongei"

    Hiyo nimeisikia akiwa anazungumza na viongozi wastaafu!Anasema hata huko duniani wanamuacha Rais anaongoza anavyotaka,kwamba atakuja kuhukumiwa baadae! Akatolea mfano Obama,kwamba yuko kimya kamuacha Trump aongoze kivyake! Kauli hizi zimenishtua sana,kwamba JPM anataka aachiwe nchi aongoze...
  9. W

    Rais Magufuli huwa anaangalia Bunge kupitia chaneli gani?

    Katika hotuba yake wakati wa kuapisha walioteuliwa,JPM alisema huwa anafuatilia mijadala ya wabunge hasa wa CCM! Nijuavyo kipindi cha maswali na majibu ndio huwa kinakuwa live, baada ya hapo matangazo yanazimwa! Najiuliza kama ni kweli kauli yake kuwa huwa anafuatilia mijadala ya Bunge, huwa...
  10. W

    Dr. Bashiru: Nikiwa na hoja na mipango thabiti nitaenda majukwaan kuongea na wananchi!

    Wadau hayo maneno aliyasema wakati akihojiwa na Tido Mhando katika kipindi cha funguka!Bahati mbaya JF haikuwa hewani! Swali no je,yeye ni mbunge wa jimbo gani?Maana mwenyekiti wake amezuia watu wengine tofauti na wabunge kufanya mikutano ya hadhara,na zaidi hao wabunge wafanye kwenye maeneo...
  11. W

    Mbunge kuzawadiwa uwaziri kwa kuitetea na kuisifia Serikali bungeni,hii inaleta picha gani?

    Kazi kubwa ya bunge ni: 1.Kutunga sheria 2.Kuisimamia na kuishauri serikali 3.Kupitia,kurekebisha na kupitisha bajeti inayopendekezwa na serikali. Nimepata wasiwasi pale wabunge wanapogeuka kuwa serikali kwa maana ya kujikita kutetea jambo lolote linaloletwa na serikali badala ya kuwaachia...
  12. W

    Ahadi ilikuwa Mahakama ya mafisadi au Mahakama ya kushughulikia wapinzani?

    Wakati huu ndio tunashuhudia dola ikiwa Na double standard ya hali ya juu! Jambo moja likifanywa na mpinzani hasa wa Chadema, basi utaona vyombo vya dola vilivyo active, lakini jambo hilo hilo likifanywa na mwanaccm basi ni suna na kuona ni jambo la kawaida tu! Mpaka siasa,kuanzia Lema, Msigwa...
  13. W

    Itifaki ikoje kati ya Mkuu wa Mkoa na Makamu wa Rais katika kufika sehemu?

    Leo kwenye ufunguzi wa hospitali ya taaluma na Tiba huko Pwani,nimeshangaa Makamu Wa Rais kufika kabla ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda! Kiitifaki hii ikoje?? Source:TBC1
  14. W

    Polisi wengi ni wezi!

    Takribani mwezi mmoja uliopita nilienda kigoma wilaya ya kasulu katika kijiji cha kabanga! Kulitokea tafrani ambapo mwananchi mmoja aliuwawa na wananchi wenye hasira kal(sitalizungumzia hili)! Baada ya tukio hilo, waliletwa kikosi FFU na askari wa kawaida kurejesha amani! Wananchi wengi...
  15. W

    Kikwete alipatana na Uhuru,ndege wafananao huruka pamoja!

    Nadhani uhusiani wa Kenya na Tanzania umeyumba,hili linapata back up ya maneno aliyotoa Raila Odinga wakati wa kampeni,aliwaahidi wakenya kurudisha uhusiano mwema uliokuwepo baina ya Tanzania na Kenya na hasa suala la trade kati nchi hizi mbili! Kwasasa uhusiano wa Tanzania umeimarika na nchi...
  16. W

    Kumbe nchi hii kuna watu bado wanajilipa posho 400,000 kwa siku?

    Au kwasababu ni mtoto wa dada??? Wakimaliza siku 90,kila mmoja anaweza kununua gari 5 aina ya Noah!Yaani kama zile tunazosubiri za makinikia!
  17. W

    Huyu video queen ni nani?

    Naomba kumjua tu!!Dunia hii,mmmh!
  18. W

    Kesi ya wavamizi waliotumwa na Lipumba imefikia wapi!

    Wote tulishuhudia jinsi waandishi na viongozi wa CUF walivyovamiwa na kupewa kichapo wakiwa wanafanya press! Kambaya alikiri kuwatambua na yeye na lipumba waliwatuma wavamizi hao kuimarisha ulinzi wa chama! Mmoja wa wavamizi alikamatwa na kupigwa na wananchi wenye hasira na yeye kukiri...
  19. W

    Polisi Oysterbay, toeni mrejesho kesi ya uvamizi clouds media imefikia wapi!!

    Makonda amekuwa akirudia kauli kuwa clouds hawajafungua kesi ya uvamizi dhidi yake! Ikumbukwe kitendo anachotuhumiwa kukifanya ni kosa la jinai!!!! Jana Ruge kaweka kuwa si kweli kuwa hawajafungua kesi,kesi walifungua Polisi Oysterbay! Ni wakati sasa wa polisi kutueleza kesi hiyo imefikia...
  20. W

    WITO: Vyombo vya Habari endeleeni kugomea habari za RC Dar kimya kimya!

    Tukio la jana hakika limewaacha wadau midomo wazi!TEF imeidhalilisha sana tasnia ya habari nchini!Nilitegemea mkutano ule, Makonda aombe radhi japo bado kungekuwa na kasoro fulani maana alitenda jinai na kesi ilishafungukiwa Oysterbay! Lakini kwa jeuri, Makonda akasema kuwa hawezi kuomba...
Back
Top Bottom