Search results

  1. My Son drink water

    CCM ni hatari kwa Tanzania

    Mtaji wao mkubwa ni idadi kubwa ya Watanzania wajinga, mtu mjinga ni mtu mwenye akili duni iliyochoka hata kifikra, ni mtu hatari ambaye anaweza kufanya lolote ili ashibe tu bila kujali nini kitatokea. Ni CCM ya kina Mwigulu Nchemba wanaokula mishahara ya mamilioni ya pesa kwa mwezi, ndo...
  2. My Son drink water

    Urusi haitashinda hii Vita

    Wakuu,hii vita inayoendelea Ukraine imegawa watu ktk makundi makubwa mawili, yaani Pro -Russia ambao wanaamini kuwa Urusi lazima ishinde Vita, na Pro America ambao wanaamini kuwa Urusi lazima ishindwe Vita. Hii haina Tofauti na ushabiki wa Liverpool na Manchester City, kwamba mashabiki huwa...
  3. My Son drink water

    Kwanini Urio anaishi Hotelini?

    Dhambi ni laana na hakuna atendaye Dhambi akawa salama, Dhambi hutengeneza mimba na hiyo mimba huzaa mauti. Biblia Takatifu ktk kitabu cha Mithali 28:1 inasema,"mwenye haki ni jasiri kama simba". Wewe ni shahidi wa kweli kabisa na kila ulimi wako unachotamka ni kweli tupu,sasa ya nini uishi...
  4. My Son drink water

    Faida ya Serikali kwa wananchi ni ipi?

    [emoji117]Una pesa zako, Police ambao ndo wangekulinda wanageuka kuwa wauaji wako na kukupora Pesa zako. [emoji117]Umeugua unakwenda Hosp, huduma ni mbovu na Dawa zote ni za kununua, kama huna Pesa kifo ndo kitakuwa Rafiki yako. [emoji117]Unampigia kura Mbunge ili akatatue shida zako, badala...
  5. My Son drink water

    Pole Ndugai, Shetani hana Rafiki

    Wakati Tundu Lissu kapigwa risasi ukashiriki kumnyima Pesa za matibabu,ukidai hujui alipo, ukashiriki kumfutia ubunge na kuitisha Uchaguzi kwenye Jimbo lake,ulidhani unamfurahisha Mungu au Shetani? Hakujua kuwa unatenda Dhambi ambayo huwa lazima uilipie? Hukuwa na makosa kabisa kumshauri...
  6. My Son drink water

    This is more than Bizzaire

    Yesterday l wrote about the uncertainty of the certain rumours, that have been swirling around, nevertheless the moderators chose to drop the topic off the platform. I woke up in the morning today and found nix, I was deeply astounded. How would you write off the parable? Therefore,this being...
  7. My Son drink water

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigullu Nchemba, ujue kuna kesho!

    Mwigulu Nchemba, Kaka yangu, shikamoo, natumaini u mzima wa Afya wewe na familia yako. Cheo ulichonacho ulipewa na Mungu na siyo mwanadamu kama wewe uonavyo ktk macho ya Damu na nyama (physical world) ktk ulimwengu wa Roho (Spiritual world) ni Mungu ndo alikufanya uwe Waziri. Mungu alikupa hiyo...
  8. My Son drink water

    Jamani natafuta mke

    Duh...nitazini hadi lini? Mwisho wa siku nitakuja kukanyaga mawaya Bure, nataka mke jamani,nipo extremely serious nataka mke mie jamani. Sifa Awe kutoka kabila lolote na Taifa lolote Duniani...
  9. My Son drink water

    Hatutaki Mbowe aachiwe huru, tunataka Serikali iliyomshitaki kwa ugaidi iithibitishie dunia ugaidi wake

    Kuna nyuzi nyingi mno humu hasa za mataga zikimshauri Rais Samia asimwachie huru Mbowe. Kosa yote usikose akili, mataga hayajui kuwa Rais haruhusiwi kisheria kuingilia Mahakama, shauri la Mbowe lipo Mahakamani kwa hiyo Rais hahusiki. Sisi wanachama wa Chadema hatutaki mwenyekiti wetu Mbowe...
  10. My Son drink water

    Hatma ya Tanzania mikononi mwa CCM

    CCM ndo mungu mtu wa Tanzania, wafuasi wa CCM 98% wapo mentally disturbed kwa kiwango kikubwa mno. Kwao kila kitu ni kizuri tu, yaani hakuna baya lolote ndani ya Tanzania. Kwao Uchumi uko vizuri mno, maisha ya watu yapo salama kila kona ya nchi. Watu wa namna hiyo huwa ni wagonjwa wa akili...
  11. My Son drink water

    Wawekezaji hawavutiwi kwa kusafiri

    Rais wa zamani wa Zaire (sasa Congo) Mobutu Seseseko alisafiri kwenda Ulaya, Marekani na Asia zaidi ya mara 890 kwa muda wote aliokaa madarakani kwa miaka 32, lakini hiyo haikuwafanya wawekezaji wavutiwe kuwekeza Congo. Si tu kwamba alisafiri na kila aina ya mbwembwe bali alikutana nao na...
  12. My Son drink water

    TANESCO Shinyanga inaihujumu Serikali

    Ni mara nyingi mno niwalalamikia TISS kwa uzembe wa kutojua na kufuatilia mambo yenye tija kwa Taifa, badala yake wamekuwa wepesi kujua ni wapi wapinzani wanakutanika ili kudai katiba mpya. Lakini kujua hujuma zinazofanywa na wafanyakazi waovu wa Serikali eti hawaijui. Taarifa za uhakika kutoka...
  13. My Son drink water

    Poor Intelligence system inavyotesa Marais

    Unapochaguliwa kuwa Rais wa nchi ni lazima kwanza uhakikishe kuwa Intelligence ya Taifa unaloliongoza iko imara kuliko chochote. Yaani hata panya lazima ujue anawaza nini,siyo rahisi kwa Taifa lenye Intelligence imara kukumbwa na mapinduzi ya kijeshi,labda yawe organized na Taifa kubwa,na hata...
  14. My Son drink water

    Watanzania zindukeni, Taifa linazama

    Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia. CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona. Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000. Tanzania ni...
  15. My Son drink water

    Ni raha sana kuwa CCM

    Ukiwa mwana CCM utaishi kwa Raha sana, maana yake ni kwamba, hutaweza kuhisi maumivu yoyote ya maisha. Kila baya kwako litakuwa ni zuri tu, na kila zuri kwako ni zuri tu, kifupi ni kwamba hakunaga stress ukiwa mwana CCM. Bidhaa zikipanda Bei kwako ni sawa tu, ukishinda na njaa pia ni sawa...
  16. My Son drink water

    Sabaya ni Sura kamili ya Hayati Magufuli

    Rais wa nchi kupitia Intelligence(Usalama wa Taifa) huwa anajua siri zote za watendaji wake, yaani kuanzia Vice President hadi mkuu wa Wilaya. Rais anajua tabia zao,mienendo yao yote kwa ujumla anajua. Sasa Sabaya kahukumiwa kwa kufanya uhalifu wa kila aina, Hayati Magufuli alimjua vizuri sana...
  17. My Son drink water

    Ole Sabaya kaonewa sana

    Hatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea. Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke yake yapo makumi kwa mamia ya chain ya UVCCM waliotesa Watanzania kikatili kwa sababu ya nafasi zao...
  18. My Son drink water

    Rais Samia, viatu vya Magufuli vimekufaa

    Rais Samia, wala usihofu, hatuoni wapi ambako viatu vya Hayati Magufuli vimekupwaya, unapodai eti havijakufaa hivyo viatu wakati tangu Mungu alipomtwaa Magufuli kila kitu kipo vile vile ndo kwanza unaboresha. Wakati Magufuli akiwa madarakani,Sukari kg moja ilikuwa Tsh3,000,na haijashuka hadi...
  19. My Son drink water

    Rais huwa hatangazi Utalii

    Kwa mara ya kwanza Dunia inaenda kushuhudia mkuu wa nchi, Rais akitangaza utalii. Rais anapoamua kutangaza utalii maana yake ni kwamba hilo Taifa analoongoza ni Taifa mfu, ni Taifa lililokufa, ni taifa jipya kabisa chini ya jua na halina raslimali zozote na wala kitu chochote, sasa inabidi atoke...
  20. My Son drink water

    Rais Samia, nilikutahadharisha mapema

    Nilikuandikia uzi humu kukutahadharisha jinsi walivyojiandaa kukuhujumu Urais wako. Sisi tunakujua fika jinsi ulivyo, wewe ni mama usiye na makuu,una huruma, una utu ,ndo maana kuna kipindi ulianza kutofautiana na JPM enzi za uhai wake kwa sababu ya utu wako. Uliapa kufanya maridhiano na...
Back
Top Bottom