Search results

  1. gr8 masae

    Unaelewa nini hapa?

    Mr. Truth!! Bei ya Mkaa itapanda maradufu, EWURA yaomba kupandisha bei ya umeme kwa asilimia 18, Wanafunzi 30,000 wakosa mikopo vyuo vikuu, Benki X yafilisika, Bunge halina fedha za kurushwa LIVE. Nchi inabana matumizi, ziara ya Mkuu wa Mkoa "LIVE", Bombardier Zanunuliwa, Nchi ya Viwanda...
  2. gr8 masae

    Ushauri kwa Serikali juu ya elimu bure

    mm naona serikali inapoteza pesa nyingi kusomesha asilimia kubwa ya wanafunzi wasio na moyo wa kusema.Elimu bure ililenga kuwasaidia watanzania wa kipato cha chini ambao walishindwa kusoma kutokana na kukosa ada bila kuchunguza kwa undani kama je wana moyo wa kusoma?!..mimi naona huko cyo...
  3. gr8 masae

    maisha january2017

    *_Najaribu kufikiria tu. Januari huwa ngumu kimaisha miaka yote...sasa najaribu kuvuta picha Januari ya mwaka kesho itakuwaje!* NAJIKUTA NAIMBA ZANGU, #hatunywi_sumu_hatujinyongii[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
  4. gr8 masae

    Walimu kuchangia madawati

    ..soma hii hapa..[emoji30] [emoji30]
  5. gr8 masae

    Walimu kuchangia madawati

    hivi punde kuna taarifa kuwa walimu watachangia madawati kiasi cha Tzs5000 kwa lazima na deadline imewekwa.Hawa watu wako serious kweli coz unakuta shule nyingi apa Tz hazina nyumba za walimu.
  6. gr8 masae

    Lema aachwe jela hadi hamu yake iishe

    dah sas wakimuacha jela tunaoumia ni cc waTz wa Arusha coz nani atatekeleza yale aliyoyaahidi?!
Back
Top Bottom