Search results

  1. NZURI PESA

    HONGERENI WANAWAKE WOTE DUNIANI

    Kupitia siku hii ya wanawake duniani napenda kuwapongeza wanawake woot kwa :- UVUMILIVU WAO PALE WANAPO KUWA KATIKA WAKATI MGUMU 1.KU TELEKEZEWA FAMILIA 2.KUHAKIKISHA FAMILIA INAPATA MAHITAJI YOOTE BILA KUJALI UWEOO AU KUTOKUWEPO KWA BABA Mengine jazieni 3. 4. 5. GOD BLESS THE WOMEN!
  2. NZURI PESA

    unga wa ngano wa mo na mo safi waadimika dodoma kulikoni?

    Habari wakuu,Kama kichwa Cha mada kilivyo hapo juu. Kumekuwa ba uhaba mkubwa wa unga wa Ngano wa Mo,je kunani?
  3. NZURI PESA

    Je, ni kweli kuwa watu wenye kundi la damu "O" huwa wagumba au wenye matatizo ya uzazi?

    Habari wakuu Nimepata fununu kuwa kuna tafiti mbalimbali zinazobainisha kuwa watu wenye kundi O la damu huwa WAGUMBA au uzazi kwao ni nadra sana. Nasikia kuwa hata wakipata watoto huwa hawazidi 3. Sisi wenye kundi hilo la damu ndio tunaujua ukweli hivyo naomba shuhuda zenu. Je, hili suala ni...
  4. NZURI PESA

    Msaada wa mawasiliano tafadhali

    Wadau wa Elimu habari zenu.ninaomba msaada wa namba ya simu ya OFISI YA ELIMU MKOA WA DODOMA au TAMISEMI -ELIMU
  5. NZURI PESA

    Vitambulisho vimeokotwa Mussa Mwamtemi

    Kuna vitambulisho vimeokotwa royal village Dodoma vya mwanachuo wa IRDP jina Mussa Mwamtemi yeyote anae mfahamu huyo bwana mussa mwamtemi tuwasiliane kwa pm ili vimfikie muhusika. Ahsante
  6. NZURI PESA

    Pishi la mlenda wa bamia bila kutumia magadi

    Habari wapendwa. Leo nawaletea pishi la mlenda wa bamia bila kuweka magadi. MAHITAJI: BAMIA MAJANI YA MABOGA AU MATANGO,AU CHINESE KARANGA SUFURIA KIJIKO MPIKICHO AU MWIKO JINSI YA KUNDAA CHAMBUA MAJANI YA MABOGA YAKOSHE KISHA YAWEKE NDANI YA BLENDER YASAGE YALAINIKE. SAGA KARANGA KWA BLENDER...
  7. NZURI PESA

    Hili Jambo llina maana au tafsiri gani?

    Habari zenu wakuu.Kumekuwa na jambo hili MBWA WAMECHIMBA SHIMO KUBWA UWANI KWANGU NA WANAENDELEA KUCHIMBA ENEO JINGINE JE HII INA TAFSIRI GANI KIIMANI. NATANGULIZA SHUKRANI
  8. NZURI PESA

    Tanzania kuna Askari wa kujitegemea?

    Habari zenu wana jukwaa.kama kichwa cha mada kinavyo jieleza hapo juu.HIVI TANZANIA TUNA ASKARI WA KUJITEGEMEA? naomba kufahamishwa kwa yeyote anaye fahamu kuhusu hilo. NATANGULIZA SHUKRAN sent from my xtigi universal chager
  9. NZURI PESA

    Elimu kuhusu kisukari

    Watu wengi huanzishiwa dawa mara tu akipimwa na kukutwa na sukari ipo kuanzia 10 -12 haswaa wale wa aina ya pili ya.kisukari, kimsingi ni makosa.angalia iwapo kiwango cha sukari yako katika damu ni 4-11 ukiwa hujala chochote hiyo ni normal range. Na inapo kuwa 4-14 ukiwa umekula ni normal...
  10. NZURI PESA

    UNGA WA LISHE BORA

    HABARI WAPENDWA NINAUZA UNGA WA LISHE MCHANGANYIKO WA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA UNAFAA KWA UGALI NA UJI PIA.BEI NI RAHISI KWA MAWASILIANO 0754621792.KARIBUNI
  11. NZURI PESA

    UNGA WA LISHE BORA

    HABARI WAPENDWA NINAUZA UNGA WA LISHE MCHANGANYIKO WA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA UNAFAA KWA UGALI NA UJI PIA.BEI NI RAHISI KWA MAWASILIANO 0754621792.KARIBUNI
  12. NZURI PESA

    Nitapataje mashine za kupura mtama(kupukuchua )?

    Habari wakuu napenda kufahamu zinapopatikana mashine za kupura au kupukuchua mtama wauwele na mtama wowote kwa ujumla. itakuwa vema kama tajulishwa aina na bei zake.Mimi nipo Dodoma NATANGULIZA SHUKRAN
  13. NZURI PESA

    Nauza ubuyu mzuri bei rahisi

    Wakuu mu hali gani.Ninao ubuyu mzuri bei ni tsh 15000/= kwa gunia la debe 6
  14. NZURI PESA

    Ufafanuzi tafadhali madaktari

    Habari zenu wandugu,naomba ufafanuzi wa kitabibu juu ya suala hili:- Inasemekana, ukijisaidia choo kubwa na kikaelea kwenye sink la choo una matatizo ya kiafya, je hili lina ukweli? Ahsante natanguliza shukrani
  15. NZURI PESA

    Hali hii kwa mtu mwenye kisukari ni nzuri au si nzuri?

    Wakuu mu hali gani? hali ya unywaji mwingi wa maji takribani lita 3-5 kwa siku na kuto kukojoa mara kwa mara au mara nyingi kwa mfano:- MCHANA KUKOJOA MARA 2 USIKU KUKOJOA MARA 1 NA HAJA NDOGO INA RANGI NYEUPE KAMA MAJI JE HALI HIYO NI NZIRI AU SI NZURI KWA MTU MWENYE KISUKARI?
  16. NZURI PESA

    Naomba msaada wa ufafanuzi kuhusu hili

    wakuu ninaomba ufafanuzikuhusu hili jambo hivi: Hivi Watanzania wenye asili ya mataifa mengine kwa mfano WAHINDI,WAARABU,WASOMALI,WANGAZIJA,WABAAJUN n.k wanajazaje kipengele cha "KABILA LAKO"katika fomu ya kuomba kitambuliaho cha Taifa? Na je kwa mfano ukajaza "Mhindi"je utatambuliwa kama raia...
  17. NZURI PESA

    Hizi ndege za kivita Dodoma ni mazoezi au!!

    Zimepita ndege angani mjini kwetu aina ni kama za kivita je ni mazoezi au kwakweli tulio ziona tumeshtushwa mno.kama ni mazoezi muwe mnatutangazia ili tusianguke kwa presha wenzenu
  18. NZURI PESA

    Ninalaani kitendo cha mwanajamii kumpiga mwalimu

    Habari zenu wakuu natumai kumekucha salama. Jana nikiwa matembezi ya kawaida mida ya jioni nilikuwa nimetanguliwa na wanafunzi wa shule ya sekondari UMONGA iliyopo manispaaa ya Dodoma walikiwa wakisimuliana tukio la kupigwa mwalimu wao na mlezi wa mwanafunzi mwenzao ndani ya eneo la shule kwa...
  19. NZURI PESA

    Nimeonja joto ya lami kutoka kwa mwanausalama barabarani

    Leo nikiwa katika gari ndogo ya rafiki yangu tukitoka shamba maeneo yakisasa mida ya saa 5.27 asb tulisimamishwa na na ubu huyo basi tumewekwa hapo kwa zaidi ya masaa 3 kisa triangle mbovu.baadaye tumeruhusiwa ila tukanunue nyingine mpya!
  20. NZURI PESA

    Wanasayansi: Msaada kuhusu hii nyota

    Habari wakuu nipo nje nimatazama angani upande wa magharibi nimeona ile nyota kubwa ana mng'ao mkali si wa kawaida pia ina kama muingiliano na nyota nyingine je wanasayansi hii ni hali gani kisayansi? natanguliza shukran
Back
Top Bottom