Search results

  1. Ultimate

    Hamna haja ya kusema nafasi ya mwanafunzi darasani kama darasa lina wanafunzi chini ya 50 darasani

    Leo siku ya tatu rafiki yangu ananisumbua kutimiza ahadi niliyompa mtoto wake Ipo hivi mapema mwaka huu, nilikutana na huyo mtoto sasa kwenye story za hapa na pale, akaniambia mwaka huu anaingia darasa la nne. Kiroho safi nikamwambia akiwa kwenye top 10 aniambie kuna zawadi yake. Sasa juzi...
  2. Ultimate

    Nani ana nguvu kwa mchezaji kati ya Timu ya Taifa na Klabu anayochezea?

    Messi anacheza Inter Miami, kwenye mechi ya leg 2 kati ya Miami na Nashville alikua anapata maumivu msuli wa paja. Kocha wa Miami aliulizwa kama messi hali ya messi kuelekea mechi ya Jmosi hii, alijibu hali messi itatolewa na Nation Team (Argentina). Pamoja na hayo missi hayupo kwenye kikosi...
  3. Ultimate

    Malipo ya kufundisha tuition ni kiasi gani kwa mwezi mtoto akifatwa nyumbani kwao?

    Tumia hawa: https://silabu.com/ Rafiki yangu watoto wake wanasoma kenya, walimu wa tuition huwatoa hapa Huwa wanawafata watoto hadi nyumbani
  4. Ultimate

    Nahitaji wazo la biashara linaweza kulipa

    Labda aitumie nyumbani kwake, tozo na kodi zitalipwa na nani?? Vibali ya ku run iyo system vyote vinatolewa na BoT
  5. Ultimate

    Nahitaji wazo la biashara linaweza kulipa

    https://www.jamiiforums.com/threads/baadhi-ya-njia-unazoweza-kutumia-kupata-wazo-bora-la-biashara-business-idea.395082/ Pita hapa kwa chasha
  6. Ultimate

    Ikitokea umefariki kama "Atheist" hauamini uwepo wa Mungu, Ikienda ukamkuta utamwambia nini?

    Deep down, kuna vitu vinakua overrated sana Wengi huwa wanasema ni bora uamini yupo, uende ukute hayupo. Kuliko uamini hayupo, uende umkute Ukiwa hauamini uwepo wake, ukaenda ukamkuta, nini jambo gani utalitumia kujitetea
  7. Ultimate

    Hapa serikali imefikiri mpaka mwisho, imekuja na dawa ya kuzivusha Simba na Yanga

    Watu ni wajinga. Wanazuia watu kuvaa jezi badala ya ku honga marefa
  8. Ultimate

    Kijiweni kwako wanasemaje kuhusu hawa wauza madafu ikulu?

    Hawana tofauti na wale wachoma mahindi wa chato
  9. Ultimate

    Hizi ni dalili 7 kuwa una Uraibu (Addiction) ya matumizi ya Simu

    Tokea Jan 1, simu yangu natumia saa 6 kwa siku. Mwaka jana nilikua natumia saa 5. Mwaka huu nimeongeza saa 1 la kujipongeza kwa mafanikio ya mwaka jana
  10. Ultimate

    Tech Hubs za bongo ni miradi ya watu wachache kupiga pesa za misaada (grants) za wazungu ? mbona hatuoni startups zikifanikiwa?

    Mbona watu wanapewa fund. Sema hizi fund zinatolewa ovyo ovyo, mtu ameonganisha vi-html na vi-api anasema ni AI anapewa USD 250,000
  11. Ultimate

    Elon Musk ameokoa $ 25 billions kwenye kodi kwa kubadili jina la ''twitter'' kuwa '' x''

    Mfano: Wewe umesajili kampuni yako Mauritania, ukitaka ufanye kazi Tanzania lazima isajiliwe brela. Ukifika brela unsema kampuni yangu ina operate kama subsidiary (kampuni mama ipo Mauritania) au kama tawi hapa TZ kwa lugha yepesi
  12. Ultimate

    Elon Musk ameokoa $ 25 billions kwenye kodi kwa kubadili jina la ''twitter'' kuwa '' x''

    Mauritius tax ni 15%, hapa kwetu ni 30%. Nikisajili kampuni Mauritania alafu nakuja ku operate hapa tanzania kama subsidiary TRA wakuja nawaambia mm nalipa kodi nchi nilipokua incorporated (ambapo wana kata 15%). Japo TRA watakulazimisha ulipie gain 15% iliobaki lkn kukwepa kulipa hii...
  13. Ultimate

    Elon Musk ameokoa $ 25 billions kwenye kodi kwa kubadili jina la ''twitter'' kuwa '' x''

    Sio US au Europe tu, tax avoidance hata hapa kwetu ipo. Anglia kampuni ya TIGO juzi juzi hapa imeuzwa tena, hii kampuni kila baada ya miaka mi 5 utaskia umeuzwa kwa mmiliki mwingine. Kila mmiliki mpya ana omba tax holiday hadi 3-4yrs. Sisi tutafanyaje?? Sheria ina ruhusu Honestly, Mm mwenyewe...
  14. Ultimate

    Pantheon Show: Moja ya series bora zaidi upande wa TECH

    Aisee Hii series nimekua recommended na moja ya jamaa yangu Nimemaliza kuangalia pantheon S02 itoshe kusema ukiachana na mr robot hii animation series kutoka studios za amazon prime ni kali Kiufupi hii series inaongelea UIs (Uploaded Intelligence) na CIs hii ni mbali zaidi ya AI...
  15. Ultimate

    Gaming Desktop Kwa kazi zote ngumu

    Wewe ni mjinga. Hamna IST number A. IST zimeenza kungia sokoni 2002. 2002 tulikua tunamalizia B tunajiandaa kupokea C
  16. Ultimate

    Tafiti za kisayansi

    Nimekuja mbio mbio, Nimejua labda ni tafiti za mambalo ya energy, nuclear power, NL kumbe bado tupo kwenye kubadilisha karatasi kua mbolea na mambo ta asali Sio mbaya. Scientific research mara nyingi ni paper. Je umeandika paper kuhusi hizo tafiti?, Siku ukipotea na tafiti zako ninapotea au...
  17. Ultimate

    INTERNET SPEED: Tuone internet speed Yako ya leo

    Kama unajiunga bado la jero au buku usijaribu hii kitu, au unatumia voda. Speed ikisoma 100Mb inamaana mb 100 zemeenda na maji
  18. Ultimate

    The Beekeeper (2024) Movie

    Nimeangalia hii movie, kusema ukweli niya kitoto sana. Wamejaribu ku copy john wick na equalizer lkn bado. 3/10
Back
Top Bottom