Search results

  1. Nathd

    Tamthilia ya Kichina 'DODOU NA MAMA WAKWE ZAKE'

    Habari wana Jf Ni muda mrefu nimekuwa nikiitafuta hii tamthilia ya Kichina iliyokuwa ikioneshwa TBC kwa lugha ya kiswahili lakini Sijafanikiwa kuipata. Nimejaribu kugoogle kila aina ya context pia sijafanikiwa kuipata na kwa bahati mbaya hata sijui inaitwaje kwa lugha ya Kichina Mtu yeyote...
  2. Nathd

    Laptop yangu imegoma kuwaka

    Habari Jamii technology. Kwa anaefahamu naomba anisaidie kuelewa ni nini- Laptop yangu aina ya Acer Aspire window 8 imegoma kuwaka na imechemka sana, mara ya mwisho kuitumia ilikuwa ni jana usiku ambapo baada ya kumaliza kuitumia niliiweka kwenye charge na Ilipoonesha kuwa imejaa niliitoa na...
  3. Nathd

    Funniest quotes from famous people

    Hellooooo wana jf chitchat! andika any funniest quotes kutoka kwa watu maarufu duniani tofauti na tulivyozea kwamba wana quotes nyingi za kuelimisha, pia wanazo za kufurahisha, hebu andika unazozijua wewe Baadhi ni kama-: "Behind every great man is a woman rolling her eyes" -Jim Carey "The...
  4. Nathd

    Nataka kupima UKIMWI

    Nimekuwa na wasiwasi kutokana na kutomwamini mpenzi nilie nae hivyo nahitaji kwenda kupima UKIMWI. Je ni hospitali ipi ambayo vipimo vyao ni vya uhakika na je huwa kuna gharama yoyote ile ya kupima ukimwi au huwa ni bure?
  5. Nathd

    Lugha ya Kichina UDSM

    Habari wana Jf. Anaeelewa utaratibu wa pale UDSM kuhusu kujifunza lugha ya Kichina chini ya taasisi ya confucius anifahamishe, na hizo scholarship zao zinapatikana kwa vigezo vipi? Na ni za aina gani?
  6. Nathd

    WANAUME ambae anatafuta mke azingatie sifa zifuatazo kwa mwanamke na kwako pia

    Threads za kutafuta wake zimekuwa nyingi sana siku hizi, wanaume wengi siku hizi wanadai wanawake ni pasua kichwa. La mwanamke sio pasua kichwa endapo utakuwa umempatia wa kwako na kujua jinsi ya kudili nae. Mwanaume usitafute mke kama unabahatisha ili mradi na wewe uwe na mke usiwe kwamba...
  7. Nathd

    Natafuta sehemu inayofundisha kudance kwa hapa Dar

    Wakuu anaefahamu popote ambapo inaweza patikana dancing class kwa hapa Dar naomba aseme, sio dancing ya watoto ila ya watu wakubwa angalau kuanzia miaka 20
  8. Nathd

    Gharama ya kufanya mazoezi Gym

    Habari wana jf.Nauliza gharama za kufanya mazoezi ya kupunguza uzito gym ni sh.ngapi? Na ni gym zipi zilizo karibu na posta?
  9. Nathd

    Chumba cha haraka kinahitajika

    Chumba cha kupanga kinahitajika haraka,kiwe maeneo ya Kigamboni,gharama idizidi elf 50 pia kiwe na choo cha ndani
  10. Nathd

    Computer4Sale Laptop bado ipo sokoni

    Habari zenu! Laptop ya Acer aspire bado ipo sokoni, 500GB HDD, 2GB ram, 8.1 window, processor 2ghz Yeyote anaehitaji ani PM au tuwasiliane 0767871819
  11. Nathd

    Computer4Sale Nauza laptop

    Nauza laptop aina ya Acer aspire,ina inch 14,inatumia 8.1 window,Intel celeron 2ghz,ina 2GB ram na 500GD HDD Ni mpya iliyotumika wiki tatu tu,ni nyepesi kubebeka ina uzito mdogo hata kwenye mkoba wa kidada inabebeka tena bila kukuchosha. Bei ni laki tano tu Tuwasiliane wa hii namba 0767871819...
  12. Nathd

    NAUZA LAPTOP

    Nauza laptop aina ya Acer aspire yenye inch 14,inatumia 8.1 window,Intel celeron 2ghz,ina 2GB ram na 500GB HDD. Ni mpya iliyotumika wiki tatu tu,ni portable nyepesi kubebeka inauzito mdogo hata kwenye mkoba wa kidada inabebeka tena bila kukuchosha Bei ni laki tano tu.tuwasiliane kwa...
Back
Top Bottom