Search results

  1. G

    Jinsi wenye mafanikio wanavyotudanganya

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  2. G

    Naomba msaada kuhusu kufanya top up ya mkopo CRDB

    Habari ya muda huu wapendwa. Naomba msaada kuhusu kufanya top up ya mkopo crdb. Huwa inaruhusiwa muda gani baada ya kupata mkopo wa kwanza?;msaada wenu please. Mimi ni mtumishi wa umma
  3. G

    Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

    nimecheka hadi machozi yamenitoka!
  4. G

    Tatizo la kula/kutafuna kucha

    A victim here...
  5. G

    LAPF waanza kuita watu kwenye interview

    duuh! hili nyomi la hapa balaa! halaf hadi saa hizi bado hakijaeleweka
  6. G

    Ajira Utumishi - Recruitment portal

    hii portal naona kama ni magumashi matupu alafu ni ya kidwanzi! mtu wanamuandikia First Interview alaf baadae tena eanabadili status kuwa Application review in Progress...sasa which is which? Mi wamenikera kis....
  7. G

    Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Asante Mkuu..... mimi ni ke.
  8. G

    Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Inshaallah Mkuu...thanks.... ila naona kama hawana umakini coz juzi nlivyocheki nikakuta status First Interview kwenye kazi zote nlizoapply...leo nacheki naona Application Review in Progress! au ndo kuchinjiwa ocean kwenyewe...
  9. G

    Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Mkuu hata mimi nimekuta zote nilizo apply nimeandikiwa First Interview ila nimecheki majina hakuna... mfano hawajaweka applicants wa Tanzania Tree Seed Agency....sasa sijui inakuaje? au watatoa baadaye tuendelee kusubiri mkuu wangu au tumuite kuku wa kienyeji atusaidie hapa...
  10. G

    Kutoa ushuhuda kuhusu suala la ajira

    Hongera na ubarikiwe sana! usisahau kutoa zaka....
  11. G

    Viettel Telecommunication Company

    Aisee! kumbe!!! basi majanga... nilivyoona maelezo ya kampuni kwamba wana cut across Africa na Asia nikafikiri watakua na mishahara mizuri kumbe hamna lolote
  12. G

    Ajira Utumishi - Recruitment portal

    thanks Mkuu... ila bado sijapata majibu ya vipengele vingine hapo juu! Thank you once again...
  13. G

    Ajira Utumishi - Recruitment portal

    na je? kwa asilimia hizo 70 ninaweza kutuma au hadi ifike 100%?
  14. G

    Ajira Utumishi - Recruitment portal

    wakuu samahani naomba kuuliza kwenye kile kipengele cha profesional qualifications kama huna hizo CPA CIA ACA unajaza nini? au unaacha blank? na kwenye kuattach application letter inabidi ucheki kwanza tangazo uweke kutokana na tangazo au utaweka moja tu kama sample? bado naendelea kujaza...
  15. G

    Namna ya kujibu maswali 25 kwenye Oral Interview

    Asante muanzisha mada! Barikiwa sana
Back
Top Bottom