Search results

  1. L

    Nachukia hii sana......!!

    yap Blackberry, yan hata mimi huwa nachukia sana hicho kitendo na nimefurah kuckia naww u r one of them, atleast inaonekana kua kweli ni tatizo.... unajua inaumiza sana unapomuandikia message ukijieleza the way u feel..jns unavyomkubali na kila kitu but unaishia kuambulia a short msg km vile " i...
  2. L

    Ukitaka kwenda likizo, harusini, sikukuu nyumbani kwenu unapanda bus la kampuni gani

    mie napanda mundekesye au mpamba lyoto, kwetu mbeya
  3. L

    Huyu dogo kweli hajatulia

    lol...ebu malisia basi mama alimjibuje toto yake
  4. L

    kupotea njia kweli ndio kujua njia

    cna mbavu mie.... kumbe hT maajuza wanamind game,,,lol
  5. L

    Who can say this sentence?

    ha ha hahahhaaaaaaaaaaa
  6. L

    cv ya bibi arus

    nkwazime zangu???
  7. L

    ingekuwa wewe??????

    Siku 1 Mr & Mrswalikuwa sebuleni, Mr akataka "kumsuprise" Mrs wake, akaenda chumbani na kuweka line mpya kwenye cm yake, then akampigia Mrs wake aliyemwacha sebuleni.............! HELLOW DARLING....! bila kujua ni Mr wake..wife akajibu KATA UPIGE BAADAE...hili LINGURUWE lipo ndani...
  8. L

    cv ya bibi arus

    MC katika kumpamba Bi harusi akasema , "sasa nawapa sifa kubwa ya bibi harusi. tangu mi namfaham huwa havai nguo za ndani." watu wakaduwaaaaaaaa...... Akasema "Narudia kwa mcisitizo na sijakosea. Bi harusi huyu havai kabisa nguo za ndani. Yeye ni za kutoka nje Italy,England na USA, hebu...
  9. L

    prevent diabetes

    ANGALIZO! A couple that has been married for 20 years were both recently diagnosed with diabetes. Findings later showed that they both contracted the disease as a result of the names they called each other like; Honey pie, Sweetie, Sugar, Sweet heart, Sugar Banana, Sweet potato, Hot...
  10. L

    ngo ngongo ngo!

    naombeni baraka zenu wana jamvi, mie ni mgeni katika uwanda huu..... nkipata baraka zenu basi mie ntavua viatu na kujikung'uta mavumbi na kuingia rasmi then 2tashare ideas...
  11. L

    Dada zetu Weusi - una matatizo gani hadi mjichubue?

    nowadays sio wadada tu wanaojichubua...also men do it cjui ndo kuwaiga wenzetu wa drc! but this issue is serious jamani kwan as inavoonesha kwenye takwimu kuwa kansa za ngozi zimezid kuongezeka na zinasababishwa na hz cream zetu...... jaman lets be serious black is beauty mi mwenyew ni black...
  12. L

    Mrembo wa Bongo katika Pozi

    hivi hapo akidondoka kinyumanyuma inakuwaje???? jamani mavazi mengine.... any way hiyo ni mojawapo ya outcomes za globalization.
  13. L

    Kafumaniwa

    ilitakiwa waadhibiwe wote y mwanaume tuuuu! namuonea huruma huyo mmama aliyepanga na mume wa mwenzie wafanye fumanizi then kaadhibiwa mumewe tu.... imekula kwake ujue! kwan yupo mbioni kuitwa mjane kwa kujitakia kwan kila ki2 kilikua kwenye mpango ambao na yeye alishiriki! duh! kasheshe kama...
Back
Top Bottom