Search results

  1. Binti255

    Uchaguzi 2020 Orodha ya kamili ya Viti Maalum Ubunge na Udiwani kutolewa baada ya ushiriki wa kampeni - Katibu Mkuu CCM Dkt. Bashiru

    ORODHA KAMILI YA VITI MAALUM UBUNGE NA UDIWANI KUTOLEWA BAADA YA USHIRIKI WA KAMPENI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ametoa msimamo wa Chama katika kuteua wabunge wa viti maalum, ambapo ameeleza kuwa, kwa upande wa Udiwani aliyeshinda kura za maoni ndio...
  2. Binti255

    Mshahara hautakaa utosheleze kamwe

    Habarini wanajamvi?. Siku zote ziendazo kwa Mwenyezi Mungu mshahara hautakaa utosheleze hata kama ukiongezwa kiasi gani. Sababu zitakazo pelekea mshahara kutokutosheleza ni:- 1. Kukosa nidhamu ya matumizi. Kuwa na matumizi makubwa yanayozidi kiwango chako cha mshahara. 2. Kuendekeza anasa...
  3. Binti255

    UVCCM wamvaa Maalim Seif Zanzibar

    UVCCM wamemvaa Maalim Seif kutokana na Kauli yake alipokuwa ziarani Mkoa wa Mjini magharibi kudai kuwa Makamu wa Rais Samia Suluhu anaunga mkono upinzani. Ndipo kaimu katibu Mkuu wa UVCCM Shaka akalisemea kidogo suala la Maalim Seif, "Maalim Seif amefukuzwa CCM mwaka 1987 kwa jaribio la...
  4. Binti255

    CCM kuandamana Aprili 26 kumpongeza Rais Dkt. Magufuli

    Wanachama wa CCM mkoani Mwanza wanakusudia kufanya Maandamano ya Amani Aprili 26 mwaka huu kuunga Mkono na Kupongeza kazi kubwa inayofanywa na Rais Dkt John Pombe Magufuli hapa Tanzania [emoji1241]. Chanzo cha Taarifa Gazeti la Mtanzania leo Aprili 9.[emoji438]
  5. Binti255

    Kapteni Chilagati Aibukia UVCCM

    UVCCM yashauriwa kumlinda kwa gharama yoyote Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli ili aweze kutimiza na kufanikisha malengo ya taifa. Pia Umoja huo umepongezwa kwa kazi inayofanywa na Viongozi wake kwa wakati huu ya kukabili upinzani bila woga na kujibu upoyoshaji unaofanywa na...
  6. Binti255

    Wema Sepetu apata dili nono baada ya filamu ya Heaven Sent kumpatia tuzo

    USIKOSE: Saa 10:00 jioni ya leo (Aprili 5, 2018), Mkali wa Bongo Movie, ambaye ndiye aliyeibuka Muigizaji Bora wa Kike katika Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF), Wema Sepetu atakutana na vyombo vya habari. Kuna mengi mazito anataka ayaweke wazi. Channel ya Sinema Zetu ndani ya Azam TV...
  7. Binti255

    Mapendekezo 10 yenye kuchagiza Tanzania uwezo wa kushinda katika soko la Mataifa

    Wadau wa Uchumi na watunga sera watoa mapendekezo 10 kwa Tanzania yanayochagiza kuwa na uwezo mkubwa wa kushinda katika masoko ya kimataifa. Source; #Mwananchi [emoji993][emoji1241]
  8. Binti255

    CCM yaendelea kukubalika na Watanzania wengi

    Je, unataka kujua kwanini Chama cha Mapinduzi(CCM) kinakubalika na wanatanzania wengi?. Soma; Gazeti la Uhuru Aprili 5,2018
  9. Binti255

    TRA yazindua utoaji wa vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo na machinga

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua rasmi utoaji wa vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo. . . Katika uzinduzi huo TRA imetoa Masharti manne kwa Wafanyabiashara wadogo na Machinga ili waweze kupatiwa vitambulisho hiyo.
  10. Binti255

    Vyombo vya ulinzi na usalama visipuuze porojo za Maalim Seif(CUF)

    Habari Wanajamvi? Leo nataka kunena kidogo hili jambo. Kama kuna mambo ambayo vyombo vya ulinzi na usalama vinahitaji kufuatilia kwa umakini na ukaribu ni porojo za Maalim Seif Sharif Hamad kudai ataapishwa na kuwa Rais mpya wa Zanzibar na Rais halali Dk Ali Mohamed Shein ataondoka madarakani...
  11. Binti255

    Mkutano wa leo wa CHADEMA kwa waandishi wa habari waacha maswali mengi

    Habari wanajamvi? 1. Inakuwaje mnasema ni suala la kitaifa lakini kujua afya yake ni siri na haki ya mgonjwa? Kama ni la Kitaifa basi Taifa lijulishwe hali yake pia ya kiafya ilivyo kiundani na sio kuliacha Taifa na maswali mengi. Let's Pray 4 Him 2. Maombi ni kwa Lissu tu? Mbona hawakuhimiza...
  12. Binti255

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atoa onyo kali kwa Viongozi wa Serikali wasio na Mashamba

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amepiga marufuku Viongozi wa Serikali wasiokuwa na mashamba ya mikorosho kutojihusisha na biashara ya uuzaji wa zao hilo. Ametoa agizo hilo hii jana wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa korosho uliofanyika mkoani Tanga, ambapo...
  13. Binti255

    Hatutarudi nyuma katika jitihada zetu za kupinga udhalimu nchini

    Habari wanajamvi? Uhuru wetu wa kisiasa ni kazi bure pasina kuumiliki na kuudhibiti uhuru wetu wa kiuchumi Mageuzi Makubwa ya Chama na Serikali Tunapitia kipindi cha tofauti katika historia ya Taifa letu, kipindi ambacho naweza kukiita kipindi cha mpito, hiki ni kipindi ambacho tunatoka...
  14. Binti255

    Dhambi za CHADEMA na Viongozi wake Zitaendelea kuwatafuna.

    DHAMBI HIZI CHADEMA NA VIONGOZI WAKE ZITAWATAFUNA Habari wanajamvi? Leo nimepata wasaa wa kusikiliza zaidi ya mara 5 Mkutano wa Chadema na waandishi wa habari, Nimegundua mambo mengi kama yafuatayo;- 1. Chadema sasa hawana agenda za kimaendeleo bali wapo busy sana na matukio yanayotokea...
  15. Binti255

    GUMZO la Magufuli Uchaguzi Wa Kenya

    Habari Jamvini?, Uchaguzi Mkuu wa Kenya [emoji1139] umefanyika siku ya Jumanne Agosti 8, 2017 ambapo kulikuwa na mchuano mkali kabisa kati ya Uhuru Kenyatta mgombea wa Jubilee na Raila Odinga mgombea wa NASA ambapo matokeo yanaonyesha Uhuru Kenyatta kumzidi Odinga kwa asilimia 10 ya matokeo...
  16. Binti255

    Mwenyekiti wa CHADEMA Misungwi ajivua uanachama na kujiunga CCM

    Taarifa kutoka Jimbo la Misungwi- Mwanza mchana huu zinasema kuwa Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Misungwi, Ndugu Richard Budigila amejivua uongozi na uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM mbele ya Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, Ndugu Rodrick Mpogolo. Kwa hali wewe unayejiita...
  17. Binti255

    UVCCM kuendeleza Chuo chake IHEMI.

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) umesema utakifufua na kukiendeleza Chuo cha Siasa, Uongozi na Ujasiriamali kilichopo Ihemi Mkoani Iringa kwa lengo la kuwapika, kuwafundisha na kuwaandaa kiujuzi na kisaikolojia vijana kwa kuwapatia stadi za maisha ili kujitegemea kiuchumi na...
  18. Binti255

    Lowassa na Sumaye wametufikisha hapa Tanzania

    Sikilizeni ninyi.... Waambieni hao wanaosema kuwa ccm ndo imetufikisha hapa, Enzi ya Mhe Mkapa mshauri wake Mkubwa alikuwa SUMAYE, na enzi ya Mhe Kikwete wakati Madudu yanaanza Mshauri wake Mkubwa alikuwa LOWASSA. LOWASSA na SUMAYE wamechangia kutufikisha hapa tulipo na haya ndio matunda yao...
  19. Binti255

    Tukio la UVCCM Taifa la kumuunga mkono na kumpongeza M/Kiti wa CCM na Rais Dkt. Magufuli

    Leo tarehe 25/5/2017 MATUKIO MBALIMBALI YANAYOENDELEA VIJANA SOCIAL HALL Katika Tukio la Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM)Taifa na Vijana wa Dar es salaam kumuunga mkono na kumpongeza Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. #UongoziThabiti #TijaKwaUmma #HongeraJPM UVCCM IPO...
Back
Top Bottom