Search results

  1. Binti255

    Kwa Mujibu Wa January Makamba, Marekani nchi ya kwanza kwa uzalishaji wa mafuta Duniani

    Sisi hayo hatuyataki kuyajua kabisa tunataka kujua yeye Waziri anaisaidiaje nchi kuhusu suala la kupanda kwa mafuta anajua amesababisha upandaji wa Huduma mbalimbali nchini.
  2. Binti255

    UTEUZI: Sophia Simba ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii

    Best Sophia amerejea sasa Alhamdulillah 🤌[emoji2535]
  3. Binti255

    Ewe Jasusi uliyenikataza nisimtwange ngumi Paulo Makonda mbona humlindi tena?

    Nitazungumza Wakili wangu akiwa karibu nisinge kuandika mambo hapa kama kinywa cha Tunduli**
  4. Binti255

    Jaji Mustapha Mohamed Siyani aliyekabidhiwa kesi ya Ugaidi ya Mbowe ni nani?

    Ni Jaji wa Mahakama Kuu ambaye anaenda kufanya finishing ya kesi ya Mbowe na wenzie. Hakika Nimefurahi sana nchi hii inaongozwa kwa sheria, haki na usawa. Hongera kwa Chadema mmepewa chaguo lenu huyo sasa tusisikie kelele haki ikitendeka na kusimamiwa na Jaji Siyani.
  5. Binti255

    Rais Samia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Jijini Dodoma

    Dua za kuku hizi Umeuliza kwanini walizuiliwa kufanya wakati huko Chadema wameruhusiwa kufanya?!! Au kwakuwa CCM ndio mnaiona Mbele yenu?.
  6. Binti255

    Rais Samia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Jijini Dodoma

    Tumaini la Watanzania wote na vyama vyote vya siasa lipo kwa mama yetu kipenzi, mama wa Taifa la Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan [emoji3590]‍[emoji91]
  7. Binti255

    Ni miujiza? Mbona viongozi hawazimii?

    Inategemea na maisha uliyoishi na wenza wako kwa madaraja yao
  8. Binti255

    Vyombo vya habari vya nje na msimamo wa Tanzania juu ya Covid-19

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Una Corona wewe
  9. Binti255

    Uchaguzi 2020 Urambo, Tabora: Dkt. Magufuli 'akandia' sera ya majimbo; asema inakaribisha mafarakano na umasikini kwa Watanzania

    Wanawanyima haki yao wananchi katika maamuzi wamekuwa sio watetezi sahihi wa wananchi. Naamini mwaka huu wananchi wanaenda kuwaweka pembeni kupata maendeleo. 2020 Wananchi wanaenda kuchagua maendeleo yanayosimamiwa na Chama cha Mapinduzi CCM
  10. Binti255

    Uchaguzi 2020 Urambo, Tabora: Dkt. Magufuli 'akandia' sera ya majimbo; asema inakaribisha mafarakano na umasikini kwa Watanzania

    STAMINA AKIPANDA JUKWAANI KUIMBA WIMBO WA CCM CHAGUA CCM, CHAGUA DKT MAGUFULI
  11. Binti255

    Uchaguzi 2020 Urambo, Tabora: Dkt. Magufuli 'akandia' sera ya majimbo; asema inakaribisha mafarakano na umasikini kwa Watanzania

    MUBASHARA YANAYOJILI KATIKA MKUBANO WA KAMPENI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM URAMBO TABORA Tarehe 21 Septemba 2020
  12. Binti255

    Tanzania, Taifa lenye nguvu kubwa duniani

    Weee Chagua CCM tunaenda kukamilisha hili jambo na tunaenda kupanda zaidi kiuchumi maana nguvu na nia tunazo zikisimamiwa na Chama cha Mapinduzi chini ya Jemedar Dkt Magufuli basi kila kitu kitakuwa sawaaa.
  13. Binti255

    Uchaguzi 2020 Mzee Membe uko pande zipi? Nini shida sikusomi kabisa.Umemsikia Bashiry Ally? Tupe ukweli

    Amepotea kabisa kweli Siasa hizi bila kuwa na utimamu wa akili utaokota makopo kabisa Anakoelekea sio kuzuri kabisa Mgombea huyu.
  14. Binti255

    Uchaguzi 2020 UDASA yatoa tamko kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2020 kuzingatia Kanuni, Sheria, Katiba

    Tumepokea tamko hili Naomba Upinzani wa Tanzania walisome kwa kutulia maana naona wanatoka nje ya reli mapema.
  15. Binti255

    Uchaguzi 2020 Wapi Mheshimiwa Membe?

    Tatizo kubwa la Membe ni kushinda mitandaoni na kufikiri Kigogo ananguvu na Watu wa maana nyuma yake kumbe anajidanganya jamani amepata aibu ya mwaka hapa hatamani na hana nguvu ya kupanda jukwaani kabisa. mshauri wake wa karibu amwambia ajikaze tu sio kwa ubaya 😂 2020 tunarudi na MAGUFULI tena...
  16. Binti255

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Watanzania gani au wale wa Belgium? oktoba 28 tukamchague Mgombea wa CCM Dkt Magufuli aliyeweza kuunganisha Watanzania wote pamoja. Hakika tuna kila sababu ya kumchagua tena MAGUFULI
  17. Binti255

    Uchaguzi 2020 Orodha ya kamili ya Viti Maalum Ubunge na Udiwani kutolewa baada ya ushiriki wa kampeni - Katibu Mkuu CCM Dkt. Bashiru

    ORODHA KAMILI YA VITI MAALUM UBUNGE NA UDIWANI KUTOLEWA BAADA YA USHIRIKI WA KAMPENI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ametoa msimamo wa Chama katika kuteua wabunge wa viti maalum, ambapo ameeleza kuwa, kwa upande wa Udiwani aliyeshinda kura za maoni ndio...
Back
Top Bottom