Search results

  1. Starboywiz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah mmepoa sana humu..ligi ndo hizo zishaanza kurudi wadau.. Kwa wale mlio tayari karibu tujumuike katika group la WhatsApp la kubet. Watu hawalali kule PuntersRepublic
  2. Starboywiz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hoffenheim – RB Leipzig | Both Teams to Score @1.45 Goztepe – Trabzonspor | X2 @1.33 Valencia – Levante | 1 @1.73 Hoffenheim – RB Leipzig | Both teams to score @1.45 Lori – Alashkert | Home Over 0.5 @ 1.30 Dynamo Dresden – Hamburger SV | Most Scoring Half Second Half @1.96 Gorodeja –...
  3. Starboywiz

    I don't know if I can make it through this year

    Kweli kabisa mkuu, ipo sehemu nilijikwaa na nmeifahamu. Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Starboywiz

    I don't know if I can make it through this year

    Asante kwa kunitia moyo mkuu, kiukweli nilikua nimevurugika..hata ule mda naandika hii thread nilikua nimekata tamaa kabisa. Pesa ya biashara nataka sana na nitahangaika kuipata, kula nakula chakula kipo, hapana siyo ada..niliamua ku postpone masomo tangu mwaka jana kwa kukosa ada lakin...
  5. Starboywiz

    I don't know if I can make it through this year

    Wakuu asanteni kwa kuchangia huu uzi, hakika mmenisaidia sana. Sasahivi akili yangu imetulia na nnaweza kufanya maamuzi sahihi, mbarikiwe sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Starboywiz

    I don't know if I can make it through this year

    Namsubiri jamaa kwenye frem yake ni fundi simu ndo nimuuzie hii, but thanks bro Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Starboywiz

    I don't know if I can make it through this year

    Chinedu5, Kweli umenielewa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Starboywiz

    I don't know if I can make it through this year

    Da'Vinci,Bless up bro, sometime nafikiria kwamba am too weak to fit in this World. Lakini nikimtazama mama kija wangu naona kabisa siwezi kumuacha peke yake I'll be a coward and dumb na huyo mtoto atakaezaliwa atanilaani sana hata kama hanioni. Juzi nilimfata kwao nikiwa na lengo la kumwambia...
  9. Starboywiz

    I don't know if I can make it through this year

    Na kama nikiweza basi I can make it through any year. Sijui kama hili ni jukwaa sahihi, lakini nahisi ni hivyo. Wakuu shida hazizoeleki, shida zinatweza utu wa mtu, yaani shida zinaweza kukufanya udharaulike mno. Hapa nilipo nimechoka vibaya, zaidi nikifikiria yajayo nafumba na macho nisitake...
  10. Starboywiz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeku pm mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Starboywiz

    Don't forget to slap her booty

    [emoji16][emoji16][emoji16] Mbona kama ume catch bro? Relax Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Starboywiz

    Don't forget to slap her booty

    Suriya, "..alinambia wanaume wengine hutoa miguno..." Okay Mambo yao waachie wenyewe. Cc: mahondaw Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Starboywiz

    Just a reminder: Mwakani watoto waliozaliwa mwaka 2002 wanakua watu wazima, wanaruhusiwa kupiga kura😂.

    Kuna Dada hapo juu amepanic kinoma, comments zipo sita lakin nne zake. Kosa lako mtoa Mada ni kuzungumzia mileage
  14. Starboywiz

    Jamani mi nalala

    Nomaa kekofenicha
  15. Starboywiz

    Wasanii wazuri kwenye "the art of story telling" kibongo bongo

    Nnazo mkuu lkn nimeshindwa kupakia hapaa
  16. Starboywiz

    Wasanii wazuri kwenye "the art of story telling" kibongo bongo

    -Songa (mf. Usiku, Ndege, enzi za utoto n.k) -P the Mc (Baba Msaliti, Huna jipya[emoji91][emoji91])
  17. Starboywiz

    Wanaume wa siku hizi hawawezi kuongea

    Ngoja waje wakupe muongozo Cc. mahondaw
  18. Starboywiz

    Naomba kufahamu wakala mzuri wa kuagiza gari kutoka Nje

    Nilikua natania tuu...kuna jamaa kaleta Uzi wa kuuziwa gari hewa ndo ka attach picha za hao matapeli
Back
Top Bottom