Search results

  1. M

    Siku inakuja Magufuli atatamani kuyasikia maneno ya wakosoaji na washauri.

    Heri ya kitu gani au mtu gani mnachokihitaji au kumhitaji? Ipo siku mtakumbuka na kujuta maana hata Mungu nadhani mpaka sasa hawajui nyie ni wamoto,baridi au vuguvugu.
  2. M

    Wabunge wa Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

    Hicho ni kijembe kwa ccm sasa kama kweli wameimba hivyo na kejeli kubwa hasa kwa wana ccm waliokua wanaimba wanaimani na Mkapa akaja Kikwete enzi hizo.Mmenielewa?
  3. M

    MASAHIHISHO: Report ya mchanga ina maswali mengi ya kujibu

    Ila acheni masihala kwenye mambo muhimu,wakati hii ishu inaanza niliisha wahi kuwaambia kama mchimbaji mdogo anapata 2gm hadi 5gm katika mfuko wa 25kg na maisha yanaenda? mzungu je aliefika chini kwenye miamba ya dhahabu itakuaje?
  4. M

    MASAHIHISHO: Report ya mchanga ina maswali mengi ya kujibu

    Mbona mnakua waoga sana?kwani Raisi anapo apishwa nini maana ya kuilinda nchi yake? Raisi ana mamlaka yake,serikali na bunge pia.Je mikataba yote hata ikiwa mibovu sababu niya kimataifa kuna sehemu inasema iko juu ya sheria za nchi mpaka mwisho wa dunia?Wakati umefika sasa Afrika kuamka,kuungana...
  5. M

    Rais Magufuli anaingia kwenye vita kali

    Huu ni mwanzo na isiwe kwa Tanzania peke yake bali nchi zote za kiafrika ni muda wa kuamka na kuungana kupigania rasilimali zetu.
  6. M

    Serikali yakanusha kununua ndege “Kimeo” aina Boeing & 787-Terrible teen

    Sasa kama ni hivyo na serikali inaongea ukweli? kwanini hawa wapotosha habari kama wakina Zitto Kabwe msiwashughulikie kwa kupotosha wananchi?
  7. M

    Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

    Watanzania hatuna hata cha angalau ni bora tungepata uongozi wa kuendelea kutumaliza kuuza mashirika ya umma,wanyama,madini,usafiri tukose hata bajaj ya serikali wabaki kutesa wanasiasa na mashangingi yao.Mwisho tuuzwe na sisi ndio watu tungefurahi.Mtu huna hata nguo unatembea matako nje,unapewa...
  8. M

    Natafuta rafiki mwanaume

    [emoji1474]
  9. M

    Natafuta rafiki mwanaume

    Muda ukifika kilio chako kitaisha mdada,nitafute.
  10. M

    Dr. Dalaly Kafumu: Kusema ukweli uamuzi wa Rais katika suala la mchanga utaligharimu taifa baadae

    Tuna muda gani toka Raisi alaumu hili swala la kubeba mchanga kupeleka nje? si toka kampeni anaimba watanzania tunaibiwa hadi mchanga unabebwa? tupe jitihada yoyote kuanzia kwako au wizara ilikaa kujadili hili swala? ndio maana tunaona bora watu kama wakina Makonda,Lukuvi wangekua wengi Raisi...
  11. M

    Usomi wa Rais Magufuli na Kasumba ya Kiingereza

    Msukuma hata kiswahili shida sasa unauliza kizungu? mimi mwenyewe mtihani wa kuongea ni shida lakini njoo kwenye writing uone.
  12. M

    Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu, nafahamu ukweli wa ndani

    Mkuu dhahabu ipo na juzi tu nimetoka jikoni kuchoma nikwa vile kutuma picha jamii forum inanichanganya ila ukitaka nikupe udhamini watu wafanye kazi kubwa ili tupate uzalishaji mkubwa tuwasiliane kama utaweza fanya kazi maporini ila dhahabu ipo mpaka mfuko wa kilo 50 unatoa zaidi ya 2gm pump ya...
  13. M

    Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu, nafahamu ukweli wa ndani

    Poleni na hongereni sana kwa mjadala huu makontena ya dhahabu mimi naomba unieleweshe hiyo hesabu yako ya 0.012-0.02,g/t maana mimi ni mchimbaji na dhahabu ndio shughuli zangu.Kuna duara yangu inatoa mfuko wa kilo hamsini 0.5 gm natoa gharama zangu napata na mimi ya kula,sasa leo mzungu abebe...
  14. M

    Bulaya: Makonda amenipigia simu na kudai wabunge sio chochote kwake, yupo karibu na bwana mkubwa

    Usifikiri kila kiongozi au mwanasiasa aliomba uongozi au kuingia kwenye siasa ili aisaidie jamii,bali mambo yake yaende hasa biashara ziwe halali au haramu.Hawa viongozi wa dini nao sio wa kuamini wengi wako kimasilahi yao na biashara zao,wamewateka watu au waumini wao sababu hawana maarifa ila...
  15. M

    Bulaya: Makonda amenipigia simu na kudai wabunge sio chochote kwake, yupo karibu na bwana mkubwa

    Bongo ya zamani ilijaa usanii watu walitafuta jinsi ya kutoka kimaisha.Wakagundua siasa na dini vinaweza kuwatoa au kutumia kama kichaka cha kujifichia maovu yao,ukweli ndio huo.
  16. M

    Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

    Umefunguka mdada kama ni kweli mungu akusaidie umpate huyo mume wa kweli.
  17. M

    Tunataka wawekezaji, mara wanyang'anyeni leseni!

    Umeenda mbali sana,kama huyo mwekezaji angeenda mbali kama wewe basi lazima angetafuta jinsi ya kusaidia wananchi wapate hilo eneo la kujenga tank ili wapate maji,maana maji ni uhai.
  18. M

    Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara

    Enzi hizo hadi bush nyumba itajengwa lakini hawatasahau ghala la chakula,mahindi ya msimu huu yanakutana na msimu ujao,sasa hivi tunajenga selfcontainer bila stoo ya chakula,kila siku ni kukimbia dukani kupima unga robo.Mwezi wa nne nikinunua mahindi sehemu za Geita debe 8,000 lakini leo ukienda...
  19. M

    Rais Magufuli na Buhari watajwa kama marais walioangusha matumaini ya wananchi

    Wote mmechangia kwa mawazo yenu ila wengi nimeona hamna moyo wa matumaini kabisa,mkiwa kama wasomi huwa tunagawa kitu kizima katika sehemu nne,unapata nusu hatimae robo. Tusiwe watu wa kuhukumu nakua wepesi wa kuongea kabla hatujaona hata ile robo. Tukiwa kama vijana ni mengi yametukuta nguvu...
  20. M

    Wanaume kuogopa wanawake

    Muda mwingi mwanamke huwa sio mtu wa kujizuia maneno mdomoni,kila kukicha huja na jipya na kabla halijakuchwa humalizia na kingine,una gari,nyumba,kazi nzuri labda umpate mwenye uwezo zaidi yako ili siku utakapo mletea maneno na madharau akuone kama kinyago vile! lakini kupata mwanaume asie na...
Back
Top Bottom