Search results

  1. I

    Natafuta Flat Tv Led Used inchi 25'-200000/=

    Fast deal tufanye biashara mapema 0674929001
  2. I

    Naombeni msaada...True story

    Naandika mkasa huu nikiwa na huzuni nyingi. Kitu kilichonitokea mwenzenu katika kipindi cha miezi minane iliyopita, nisingependa kimtokee hata adui yangu mkubwa kuliko wote. Huenda kwa baadhi yenu, hiki chaweza kuwa kichekesho cha kuwavunja mbavu, na mkaona ni masikhara tu. Lakini Mwenyezi Mungu...
  3. I

    Hatimaye hatutaishi kama mashetani

    Hayawi hayawi ss yamekuwa, Serikali yatangaza kupandisha vyeo wafanyakazi wake, kuwaongeza mishahara, kuwapandisha madaraja na kuwalipa malimbikizo ya mishahara wafanyakazi wake wote kuanzia januari mwaka 2017. *kupata vichekesho kama hivi Tuma neno VICHEKESHO KWENDA 15671*
  4. I

    Nafasi Ya kazi

    Habari Zenu wanafamilia wenzangu wa J.F?natumaini muu wazima nimekuja mbele yenu maana siku zote mficha maradhi kifo humuumbua mimi ni Diploma graduate niliesomea fani ya Social Work na kuchaguliwa kuendelea na masomo yangu ya Degree in BBA kwenye chuo cha TIA ila nimeshindwa kuendelea na masomo...
Back
Top Bottom