Search results

  1. W

    UDART (Mwendokasi) umulikwe

    Watanzania sisi ni watu wa ajabu sana, tuna tabia ya kuponda na kudharau kila kitu chetu hatuwezi kuendelea kwa namna hii, hata wale tunaotamani kuwa kama wao, walianza hivi hvi kwa shida. wako watu wanatamani aje mzungu au tu kampuni yoyote ya nje itoe huduma watalizika, lakini sasa hivi kwa...
  2. W

    Makonda aporomosha matusi kwa mhariri wa gazeti baada ya kuulizwa kuhusu cheti chake cha Form four

    Ushauri wa bure wa mhariri na mwandishi wake, majanga mengine ni ya kujitakia kama hili la kutukanwa, unakwenda kumhoji RC kuhusu elimu yake kwa hoja ya uvumi mitandaoni? mtu yeyote angeweza kujibu hovyo. Mhariri baada ya kupata tip kazi ya kwanza ilikuwa kwenda shuleni alikosoma, Baraza la...
  3. W

    Rais Magufuli awasomesha namba wakazi wa Ubungo, Kimara na Mbezi kwa mwendokasi

    Huu ulalamishi hauwezi kutufikisha popote, ushabiki ufiotumia fikra wa uchadema na u CCM ni hatari kwa nchi hii kama ulivyo usimba na uyanga kwenye soka letu. unatunyima firsa ya kuyatazama mambo kwa mtazamo chanya. Hivi kila siku mnasifia maendeleo nchi za watu unafikiri yalishuka kama mvua...
  4. W

    Waziri Angelina Mabula apiga bonge la pati kusheherekea uwaziri, tulikunywa kula na kusaza

    wakati mwingine hili jukwaa mnalidharirisha, hivi huyo mama mnamjua kwa misimamo na uwezo wake, au kwa kuwa hamumjuia basi anatupiwa kila lawama. Mleta uzi kama ulikuwepo na hiyo party ingekuwepo unavyoonyesha ungekuw awa kwanza kutupia picha. eti mlikunywa na kusaza halafu hotel mliyokuwepo...
  5. W

    Clouds wawahujumu MCT na UTPC

    Wanajamvi katika pita pita zangu leo hapa jijini Mwanza, nikawa nimepunzika Gold Crest Hotel, Mara nikasikia zogo wadada watatu nikaambiwa wanatoka baraza la habari MCT na UTPC, taasisi hizo kwa pamoja zimeandaa maadhimisho ya Siku ya haki ya kujua Duniani (The right to know day) yanayofanyika...
  6. W

    Onyo: Jesca Kishoa wa CHADEMA-Iramba,viongozi na chama chako wameshindwa huu mziki

    Ninasikitishwa na jambo moja tu kwamba juhudi alizotumia mwasisi wa chama hiki na kujenga misingi ya utu na uwajibikaji, chama kimekuja kuisshia kusikwa na viongozi aw aina hii, what a pity, Kweli CCM ni dodoki, linabeba minyoo funza na kila aina ya uchafu linapoangukia.
  7. W

    Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

    Tatizo la akili ndogo kujadili mambo makubwa ndiyo hili, lakini pia kujadili mambo makubwa ya nchi kishabiki, ishu ya nani anweza au hawezi inakosa mashiko bila kuweka mbele masuala muhimu ya taifa tunayotaka yasimamiwe vyema na kiongozi yeyote yule awaye, lakini lakini mtu anayejidai anafanya...
  8. W

    Majibu kwa Mnyika na CHADEMA juu ya watumishi wa umma na mikutano ya CCM

    Kwanza nikupongeze kwa kutoa huo ufafanuzi, bila kujali ni sahihi au kinyume chake, ulisema pia lazima katika kila kikao cha CCM watumishi wa umma wahudhurie ili kutoa maelezo ya utendaji wa kazi zao, ukiachilia suala kupoteza muda wa kuitumikia wananchi na kuutumia kufukuzana na vikao vya...
  9. W

    Miaka 35 ya CCM: JK, Nape, CCM kuburuzwa mahakamani

    pole kwa kutojua usemayo, watu wamesombwa toka wilaya zote za Mkoa wa Mwanza na mikoaya jirani kwa mallorina mengine yamezibwa mpaka juu kama vile ng'ombe, kama wanadhani wana influence kiasi hicho waitihse tu mkutano ili watu waj wenyewe ila vikolombozwe vya wasnii akina sumarii, tot, vicky...
  10. W

    Magamba Mwanza na miaka 35 - aibuuuu!

    Wana JF, Kesho wazee wa magamba wanaadhimisha miaka 35 ya umri wao, maadhimiso hayo yanafanyika Katika uwanja wa ccm Kirumba Mwanza, kwa kuhofia kuaibika na kukosa watu wa kutosha, gari la matangazo ya maadhimisho hayo linapita mitaani na kuwatangazia watu kuhudhuria maadhimisho hayo huku...
  11. W

    Wenje na Highness wabunge CHADEMA MWANZA, msiidhalilishe CHADEMA

    Kwanza nikupe ushauri wa bure, kwamba kabla ya kuandika kitu ufanye utafiti kwanza, vinginevyo ytaonekana hamnazo au unatumika vibaya kama sito kutumiwa. Barabara ya kona ya Bwiru mpaka Nyasaka tayari tenda ishatangazwa na mzabuni keshaptikana, uthamini wa nyumba zilizoko barabarani ushafanyka...
  12. W

    Mabomu ya Machozi yaanza kulia Mwanza

    Taarifa za sasa zinasema majambazi yote matano yameuawa, walikuwa wampaga kwenda kuiba $60,000 kwenye filling station ya mbunge wa Kwimba, Mansoor lakini wameambulia shilingi 60,000 na kifo. Source RPC mZA
  13. W

    Mwanza hali si shwari, risasi za moto na mabom ya machozi yapigwa

    Kwa sasa mji ni shwari, hali ierejea katika hali ya kwaida, lakini hali halisi ni hii Polisi mpakasasa wanawashikilia waandamanaji 19, kuna majeruhi mmoja aliyejeruhiwa na waandamanaji kwa madai kuwa ni kafir, na hali ilivyo Sio kwamba wachungaji wameshinda kesi, wala leo haikuwa siku ya hukumu...
  14. W

    Godbless Lema - aliyekamatwa sio katibu wake ila katibu wake anaitwa Lucy Fransisco

    Ni dalili za kufilisika kisiasa, wana magamba wanadhani wanaweza kushinda hoja za wananchi kwa kutunga visingizio hivyo, wamezoea siasa za maji taka, badala ya kusimamia agenda za wananchi wanaishia kuchafua watu, hatushangai angalia serikali yao ilivyo busy jucgafuana kuelekea 2015,
  15. W

    Chadema yatakiwa kutotumia ofisi ya Meya kama 'Kijiwe'

    Kwa wanaomjua mwandishi wa gazeti hilo Mwanza, hawawezi kushangaa kwa habari hii, anachokitafuta ni sababu ya kuamkia asubuhi kwa mkurugenzi na gazeti ili apate kianzio cha wiki, ni fitna na uzushi, yeye mwenyewe haishi kujizungusha hapo, akiandika habari ya para tatu anapeleka gazeti...
  16. W

    Balaa lingine lamwangukia Dr Slaa

    Kazi kweli kweli, hivi kumbe hata kamati kuu na skretarieti mpya, hawana hoja bado, sorry for them, watuhumiwa wote wa ufisadii anasafishwa wanaweza kuana na top 5 in the list of shame?!!
  17. W

    Ni lini CCM ilibadilika na kuanza kuwa rafiki wa Waislamu Tanzania?

    Bila shaka, ipo ahadi waliyopewa inayowapa matumaini kwamba CCM sasa kitakuwa chama cha kutetea maslahi yao, na hili lilifanywa kusudi baada ya kuona nguvu ya Chadema, na kwa kuwa ilikuwa nasibu "coicedence" kwa chadema kuwa na mgombea ex priest, katika kutapatapa CCM wakaona turufu na...
Back
Top Bottom