Search results

  1. S

    Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale

    Tuliobahatika kupata wazazi wasomi wenye madaraka hatukuanza shule na umri mkubwa sana,japo ukilinganisha na sasa bado ni umri mkubwa tu
  2. S

    Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale

    Marahaba mwanangu hujakosea kabisa kwa umri huo, aliyesoma nasi alikuwa mdogo kuliko wote darasani kwetu anastaafu 2020 mimi mwezi huu mwishoni naaga serikalini naachia gari za serikali nikajue kununua mafuta sasa [emoji86][emoji3]
  3. S

    Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale

    Aisee nimeamini watu wanajua kutunga jamani daaa, Siwale tunamfaham in and out bidii yake ya usimamizi wa shule, kulikuwa na nidhamu ya hali ya juu, shule ilikuwa safi mno, kilimo kilikubali sana shule ilijitegemea kwa chakula hapo ndipo alipoanza kupata umaarufu hadi Rais Nyerere akaja kujionea...
  4. S

    Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale

    Enzi hizo hakukuwepo na haya maswala ya ngono kwa kiasi kikubwa, na heshina ilikuwepo kwa wanafunzi, hivyo watu wazima waliwaheshimu sana watoto na wanafunzi heshima hiyo imetoweka kipindi hiki cha mitandao na tamaa ya pesa.
  5. S

    Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale

    Hakukuwahi kutokea kiongozi yeyote achukue mwanafunzi pale kwa kweli, na tulifungiwa sana tulikuwa na ruhusa ya kutoka mara moja kwa mwezi kila week end ya mwisho wa mwezi na mwisho wa kuingia shule ni saa 11.30 jioni na si vinginevyo
  6. S

    Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale

    Nilisoma korogwe girls mwl Siwale akiwa Headmistress wangu, tuliingia pale 1973 Korogwe girls ilikuwa ya mchepuo wa kilimo, Siwale alitulimisha mashamba ambayo kila mmoja alipangiwa plot yake kuanzia mwanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha 6 bila kujali ni mtoto wa kiongozi au wa nani, na pale...
  7. S

    Watanzania mapacha wenye miaka 25 wanachukua PhD Harvard

    Uwe na ufaulu mzuri div 1 ya PCB au 2 Labda useme ana Pharmacy hapo tutakukubalia
  8. S

    Watanzania mapacha wenye miaka 25 wanachukua PhD Harvard

    Medicine bila biology kwa nchi yoyote ni ndoto
  9. S

    Angela Kairuki naye akatubu kwa aliyowafanyia watumishi

    Pole sana kwa machungu uliyo nayo ila waase familia na wanajamii kutotumia vyeti au documents zozote zile za kuchonga au bandia ni kosa sana la kushtakiwa sema hao hao wanaotukanwa walilichukulia simple wakasamehe hapo wote tuliwashukuru masna mdogo wangu nae ni mhanga wa hicho kitu
  10. S

    Msaada: Shule ya Serikali nzuri ( Kwa O - Level) ni ipi?

    Mi nakuomba usipoteze muda wa mtoto wakati unatafuta aendelee kusoma alikopangiwa ila kupata serikalini boarding ilikuwa zamani muundo ulishabadilika na sasa hivi hakuna asiyetetea kitumbua chake kila mtu ni muoga ndg yangu kutumbuliwa nakushauri ukaombe apate shule ya kutwa yenye hostel ila...
  11. S

    Msaada: Shule ya Serikali nzuri ( Kwa O - Level) ni ipi?

    Zile nzuri zinajaa kuna kiwango maalum cha idadi ya wanafunzi kwa darasa na wakaguzi wa elimu hupita kukagua ukikiuka unafungiwa shule labda uwe streams nyingi ili uwe na wanafunzi wengi ila ndio ufaulu unakuja kuwa hafifu waalim hawatoshi
  12. S

    Msaada: Shule ya Serikali nzuri ( Kwa O - Level) ni ipi?

    Hata moro kuna shule nzuri sana za binafsi kama unataka mwanao afanye vizuri hangaika kupata hizo kuna shule inaitwa Lamirium girls wanaufaulu mzuri sana ila kusoma awe na bidii asipofikia wastani wao watamtoa tu
  13. S

    Msaada: Shule ya Serikali nzuri ( Kwa O - Level) ni ipi?

    Hawezi kutoka day aingie boarding na sio bonding ndg, sheria hiyo imekuwepo muda mrefu sasa kwa government labda apate shule day lakini zina hostel .vinginevyo mpeleke za binafsi private japo kupata nzuri muda huu umeshachelewa sana
  14. S

    Angela Kairuki naye akatubu kwa aliyowafanyia watumishi

    Ukipatwa na jambo ambalo hukulitegemea na likakuumiza utalaani milele hata kama aliyefanya hakukufanyia kwa makusudi, ukweli kutolewa kwa vyeti feki watu wote tuliumia lakini turudi nyuma pia ingeendelea hii tungekuwa na wasomi wa kweli? Au ni walionunua elimu maana ingekuwa mazoea mwisho...
  15. S

    Natafuta Bustani ya maua

    Napenda sana ila sijawapata wanaotengeneza bustani za maua majumbani
  16. S

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete tafadhali ona hili...

    Pole sana tumelitolea taarifa kwa viongozi husika inatia uchungu sana Wameahidi kulifuatilia ili lisiwakute na wengine
  17. S

    Napangisha nyumba Dodoma

    Kwani hiyo iliyopo hapo ya nani vile pole kwa hisia zako kwa usilolijua utalijua baadae saana nakushauri utulie tu huna haja ya kufuatilia hiyo nyumba kwa kuwa wewe siyo mhitaji mwenye kuhitaji atanitafuta
  18. S

    Napangisha nyumba Dodoma

    Ninayo nyingine ipo Iringa road near kito hotel ina minazi zaidi ya hiyo na ilishaanza kuliwa uliza watu wa SUA wakusaidie jinsi mmea unavyoweza kustawi eneo ambalo mtu anahisi hauwezi kustawi
  19. S

    Napangisha nyumba Dodoma

    Sina haraka nayo mkuu hata ikikaa mwaka bila mteja hainidhuru kitu chochote
Back
Top Bottom