Search results

  1. DUBULIHASA

    Utabiri wangu kuhusu Rais Samia kabla ya 2030

    Salamu, huu ndio utabiri wangu kumhusu mama kabla ya 2030. Haya yote anayoyafanya ni calculated issues. Haya Mambo yanaenda kwa mpangilio ufuatao 1) 2025 Rais Samia atashinda Mama atashinda uchaguzi wa 2025. Atashinda uchaguzi kwa sababu hakutakua na katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi...
  2. DUBULIHASA

    Kitu rahisi kuliko vyote dunia ni kulalamika

    Habari wakuu, nimefanya utafiti mdogo nimegundua kitu rahisi kuliko vyote dunia ni kulalamika. Asilimia kubwa ya watu wanaopenda kulalamika huishia kuwa masikini, na ndio maana umasikini ni synonym ya kulalamika. Na pia nimegundua kitu kigumu zaidi duniani ni kuwajibika. Kuwajibika na kutimiza...
  3. DUBULIHASA

    Hivi ni mimi tu naona kama miaka inakimbia sana(nyakati zinapita haraka sana)

    Salamu wakuu, niende moja kwa moja kwenye maada. Hii kitu huwa najiuliza sana. Hivi kwa nini nyakati zinakimbia sana, kwa mfano kutoka mwaka mmoja kwenda mwingine naona unaisha haraka sana, mwezi mmoja kwenda mwingine, vile vile wiki moja kwenda nyingine. Hebu just imagine mtu kama Magufuli...
  4. DUBULIHASA

    Hawa ndio wanasoka wanaopewa kick sana kuliko uwezo wao

    Wakuu habari za week end. Natumaini wote ni wazima na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Leo ningependa Ku share kidogo mawazo yangu kwenye mchezo wetu Wa soka tuupendao sana. Huu mchezo unatufanya tufurahie huu ulimwengu wetu japo tuna changamoto nyingi zinazotukabili kila siku. Leo...
  5. DUBULIHASA

    Ni wanaharakati gani ambao sio wanasiasa ambao moto wao sio wa nchi hii?

    Habarini ndugu zangu kwenye jukwaa letu pendwa hili la siasa. Natumaini wote tunazidi kusongesha gurudumu la kimaisha. Kidogo leo nataka nijikite kwenye eneo hili la wanaharakati wanaopambania haki zetu. Enzi hizo tunasoma sekondari kulikuwepo na wanafunzi ambao wao walikuwa ni frontline sana...
  6. DUBULIHASA

    Maswali yangu kuhusu tume ya uchaguzi.

    Tayari Rais Magufuli ameteua viongozi wa tume ya uchaguzi hususani mwenyekiti wa tume pamoja na makamu wake. Ningependa niwaulize machache wanaccm, wapinzani pamoja na wasio na vyama maswali machache, unapojibu swali/ maswali unaweza ukasema au usiseme uko kundi gani kutoka katika makundi hayo...
  7. DUBULIHASA

    Sahau maisha yako yote

    Kwa muda mrefu sasa yapata mwaka mmoja nimefanya utafiti na nimejiridhisha baada ya kupata matokeo yaleyale kila ninaporudia kufanya utafiti wangu. Hii ndiyo list ya top ten yangu ya vitu usivitegemee kutokea na sahau kamwe katika maisha yako. (1) Mchambuzi yoyote wa Soka asiyewafahamu...
  8. DUBULIHASA

    Ole wenu watanzania, wanachokisema wanamaanisha

    Amani iwe kwenu wazalendo wa nchi hii. Natumaini mungu yupo pamoja nasi katika maisha yetu ya kila siku. Mungu anatupenda sote bila kujali tofauti zozote tulizonazo kwa kuwa sisi sote ni watoto wake na tumeumbwa na yeye. Ningependa kuwa niwapongeze Watanzania wote kwa kuendelea kulijenga taifa...
  9. DUBULIHASA

    Ni dhahiri kwamba Rais Magufuli hawezi na hatoweza

    Amani iwe nanyi watanzania wenzangu na wapenda maendeleo popote mlipo. Mungu awasaidie muweze kuona mambo katika jicho la ukweli na sio ushabiki. Bila kupoteza muda nijikite kwenye mada tajwa hapo juu. Siku zote kiongozi dikteta ni yule asiyefuata misingi ya kidemokrasia, km tunavyomuona bwana...
  10. DUBULIHASA

    Huyu Mwalimu tumuweke kundi gani

    Nimepata kumfahamu Mwalimu huyu shujaa mwenye hulka yenye kusisimua. Toka anasoma shule ya msingi mpaka Sekondari alionyesha uwezo mkubwa sana darasani, mbali ya kuwa bright pia alikuwa na talanta ya uongozi. Alipokuwa shule ya msingi alipata kuwa kaka mkuu toka darasa la tano kwa sababu ya...
  11. DUBULIHASA

    Hivi sijui kwanini hamnielewi!!

    Mimi nina huruma sana: niwape nini jamani? Au mnataka tugawane mali zangu. Kwa sasa mimi ni bosi wenu, pigeni kazi vinginevyo mtavunia meno. Bosi aliyepita aliyepita aliwafanya muwe mishen town si ndiyo? aahh! Jamani acheni kupenda dili. Mimi ndiye bosi wenu hakuna mwingine: mimi ndiye driver...
Back
Top Bottom