Search results

  1. R

    Postgraduate online application za UDSM zina matatizo?

    Asante mkuu KIBUYU, Ila watanzania wenzangu tujifunze kutiana moyo ili twende mbele. Binafsi nawapongeza UDSM kwa kujaribu kwenda online kwa Postgraduate unlike other Universities/Institutes/Colleges. Ni jambo zuri kwani litawarahisishia hata wenzetu waliopo nje ya nchi kufanya application yao...
  2. R

    Kwa wizi huu wa TANESCO, lazima tufike 1.9tr

    Mkuu, sina hakika sana na data ya mleta mada, lakini hata mimi juzi nilishangaa, umeme wa elfu thelathini.. nilikatwa kodi zao ikabaki elfu 24,000 na kwa kiasi hicho cha pesa nikaambulia unit 65. kwa maana unit moja ilikuwa zaidi ya 360 TSh.!!! TANESCO nahisi kuna kajipu kwenye bei za umeme si bure!
  3. R

    Chopa ya Livingstone Lusinde yapata hitilafu, yashindwa kuruka

    No Deo was so objective hata kama alikuwa ugambani! RIP Deo
  4. R

    Yanayojiri Uzinduzi wa ujenzi wa bandari mpya ya Bagamoyo. Serikali ya Oman, China & TZ wapo

    Mi natamani kujua eneo linalo chukuliwa ni kuanzia baharini hadi wapi? I mean je linavuka ngambo ya pili ya barabara?
  5. R

    Freeman Mbowe amemtaka Rais Kikwete kutovuruga amani ya nchi

    Ebu itendee haki dhamira na nafsi yako kidogo, hivi we unaona kuwanyima wenzio haki yao ni sawa? Eti kuwasha risasi, kwani mnyama pori huyo?
  6. R

    Mpaka hapa Dr. Slaa kubali kuwa Lowassa ni ASSET

    Binafsi hapa naona Dr. Slaa naye katuchuuza, ghafla kageukia upande wa pili na kutaka kutuaminisha kwamba ubaya wooote wa CCM aliokuwa akitwambia na kutuaminisha ni Lowasa tu, jama -hadi Escrow ya juzi, - hadi twiga - hadi sembe - hadi tembo wetu - vitalu vya gesi...
  7. R

    Watanzania kufanya maamuzi magumu tarehe 25/10/2015

    Duu?? jamani wapi hiyo?? hao watu ama?? Ninawasi wasi huenda kura zikashindikana kutoshelezwa kwa mwendo huu:cheer2:
  8. R

    Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

    Labda ilikuwa ile alo isema Mwigamba ya ACT:mad2:
  9. R

    Wake za Magufuli na Lowassa

    unapopotea ni pale unaposahau kwamba.. Utawala si wa mtu mmoja, kwa hiyo 'ccm ni ile ile' kwa maana watu wake, na mfumo wake... By theway magufuli si kwamba ni msafi, ila kwa vile amekaa na wachafu zaidi anaonekana walau... Ila kwa mwendo wa ile ile no please! mabadiliko with no apology! bora...
  10. R

    Wake za Magufuli na Lowassa

    i guess you are missing a point here... Magufuli can be the best but what about 'ccm ni ileile'? Now with this dude being 'ile ile' better lowasa outside ccm!
  11. R

    Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

    Hapo umenena vyema, hakuna mweye hatimiliki, na watanzania tuacheni tuamue wenyewe kila mtu kwa nafsi yake nani anaye mtaka, siyo kakikundi fulani kakae kupanga mikakati ya kung'ang'ania ikulu kama vile ni yao peke yao! eti ikulu hatuwapi? kwani yenu??? 'LET THE TANZANIAN SPEAK FAIRLY...
  12. R

    Lowassa kutekeleza haya ndani ya siku 100 za kwanza

    Unaona sasa akili za Ki CCM namna hii ndo maana hatusogei kwani kigumu ni nini hapo? Ukiondoa mishangingi inayo shinda inazurula eti na wakuu wa wilaya na mikoa tayali unasevu bilions za kufanya yote hayo. Ukisimamia kodi kwa wezi wote wa raslimali zetu, gesi, madini, wanyamapoli... mihela...
  13. R

    Ethiopia iliyokuwa maskini, inajenga bwawa kubwa la kuzalisha umeme sisi Tanzania tunalala gizani

    Mkuu hapo umemaliza, yaani mtu waweza danganywa mara moja lakini ukidanganywa zaidi ya mara kumi kwa zaidi ya myaka 50 inabidi ukapimwe kabisa. HALAFU BILA AIBU WANATWAMBIA WAZI WAZI CCM NI ILE ILE!!! yaani wamtuona Malofa haswaaa..
  14. R

    Ugomvi wa Lowassa na Kikwete wawapumbaza Watanzania

    Mkuu umeamaliza, yaani ifike mahali tujue kwamba TANZANIA ni ya watanzania siyo ya CCM, dharau za kutwambia kwamba kura za rasimu ya katiba zisipo tosha zitatoshelezwa na ifike mwisho! MABADILIKO WITH NO APOLOGY.....
  15. R

    Lowassa kuhutubia kwenye viwanja vya Mwembeyanga ni dhihaka kwa wapinga ufisadi nchini

    Yawezekana hapo kwenye bold ukawa sahihi, kwahiyo unaamini kwamba uchafu wote wa CCM mpaka kutufikisha hapa tulipo, hadi kubaka katiba yetu ni LOWASA? Come on... Ebu fungua ubongo wako kidogo ndipo utagundua kwamba bora Lowasa ambaye atakuja na katiba yetu iliyo bemendwa na CCM kuliko Magufuli...
  16. R

    Polisi hampo fair! Kwa Mabango ya Lowassa ni sawa ila kwa Magufuli ni kosa!?

    Kuna wimbo unasema 'POLSI MSITUPIGE MABOMU CHADEMA NI SERIKALI IJAYO' COME-ON POLISI WATCHOUT!
  17. R

    Mama Magufuli alivyomsaidia Magufuli kwenye Kura za Maoni

    Aisee kweli hiyo angle huo mkono hauwezi kuwa original duu??? yaani wanachakachua mpaka picha za kampeini?
  18. R

    Mbowe na Lissu mpigieni magoti Dr. Slaa na Lipumba warudi kuokoa jahazi linalozama

    Mkuu tupo pamoja, Ni kweli namuheshimu sana Dr Slaa, lakini uamuzi wake huu umejaa ubinafsi zaidi hasa kututosa watanzania katika mpambano mzima wa kurejesha katiba yetu, ambacho hasaaa ndo KIINI CHA UKAWA! Pamoja na yoote, hakupaswa kutukimbia kipindi hiki! all in all we have to stand for our...
  19. R

    Kikwete kumkabidhi Lowassa kijiti!

    Wamewafanyaje mkuu? funguka zaidi
Back
Top Bottom