Search results

  1. wakozuka

    Mradi wa majitama Mwanza umeishia wapi

    Mradi Mwanza wa majitaka umeishia wapi. au ndio mwisho hvyo?
  2. wakozuka

    Stendi mpya ya vumbi Mwanza ni kero tupu

    Ushauri kwa Halmashauri ya Mwanza, kwanini wasingejenga kwanza stendi iishe ndio wahamishe jamani. Hivi mnaona hii kero iliyopo sasa? Vumbi, Usalama wakati wa usiku ni giza tu na mengine mengi tu. Jamani angalieni hili swala tena ==== MAELEKEZO YA NAMNA YA KUFIKA ENEO LA STENDI MPYA YA...
  3. wakozuka

    Wazazi wa mke wangu wamehamia kwangu kabisa, nyumbani hakukaliki

    be a man that they dont think you are, kama wanakutawala hawajaona uanaume wako. simama waeleze umefika mwisho wachape lapa, hata kwenye biblia yenyewe sijaona sehemu inasema wazazi nao watakuja xo hata walaani vipi waondoke tuuuuu, huo sio mji wao. tena 3 years kaka hongera umejitahidi mno.
  4. wakozuka

    Msaada wa elimu nje ya nchi

    jamani mm nina diploma ya computer engineering and networking, kwasasa nataka kusoma hizi professional studies za nje ya nchi. hasa kwenye masuala ya security, nahitaji msaada wenu jamani kwa ushauri
  5. wakozuka

    BINTI KUBAKWA HADI KUFA NA WAHINDI WANNE KATIKA KIWANDA CHA A to Z ARUSHA

    Jamani nimeskia kutoka kwenye kinywa baadhi ya wafanyakazi katika kiwanda cha A to Z arusha kuwa kuna binti kabakwa ndani ya kiwanda hicho na wahindi wanne hadi kufa, binti huyo hajulikani mahali mwili wake ulipo hadi sasa na hana hata miezi miwili hapo kiwandani. Mbunge wa arusha Lema nae...
  6. wakozuka

    Magazeti ya Mtanzania na Mwananchi yafungiwa na Serikali!

    kawaida hii Tanzania haijazoe wananchi wake wakipata ukweli wa mambo na waka react, haya sasa fungieni alafu mfungie na blogs kama mna huo uwezo. ukweli utaskika tu, kama kuna uozo serekalini lifichwe la nini?
  7. wakozuka

    Chuo cha kilimanjaro institute ni kizuri kwa coarse ya IT?

    wakubwa chuo kipo arusha na mimi ni mwanafunzi hapo mwaka wa tatu and Accreditation status yake ni full. pia kiko very modern zaidi chini ya ufaransa na schnider electronics kwa wale wa automation. for more info contact me please
  8. wakozuka

    msaada kwenye hii computer

    another thing u can do nenda kwenye bios setting kisha angalia kama hardisk umeziactivate zionekane?
  9. wakozuka

    kuchakachua receiver za startimes

    jamani wale wanopenda kuumiza kichwa, hivi kuchakachua hizi mazaga ya startimes nipate channel kwa bei nafuuu inawezekana kweli, nipenijibu kama inawezekana nianze kazi ya kuumiza kichwa. :spy::spy:
  10. wakozuka

    nisaidieni kuhusu hili swala la mwalimu kumtaka mwanafunzi wake kimapenzi

    jamani nina mdogo wangu wakike ambaye hivi majuzi tu kanieleza kuwa mwalimu wake wa somo la historia anamsumbua na kkumtaka kimapenzi, kwa kweli niliishiwa pumzi na hata kukosa jinsi ya kushughulikia hili swala. shida ni kwamba asasi gani au kitengo gani katka serekali naweza enda shtaki hili...
  11. wakozuka

    help me please with a driver update utillity with its keys

    i need to update my drivers are way out f date, now i need an utillity that has its activation keys
  12. wakozuka

    Cartoon laws in science

    Cartoon Laws of Physics Cartoon Law I Any body suspended in space will remain in space until made aware of its situation. Daffy Duck steps off a cliff, expecting further pastureland. He loiters in midair, soliloquizing flippantly, until he chances to look down. At this point, the...
  13. wakozuka

    Science facts

    Actual Science Tests Report... These are reputedly real answers to questions on science tests. When you smell an odorless gas, it is probably carbon monoxide. Water is composed of two gins, oxygin and hydrogin. Oxygin is pure gin. Hydrogin is gin and water. Nitrogen is not found in...
  14. wakozuka

    Natafuta Mchumba

    aha jamani do you think that you can get a nice wife in the net aise. kwanza hata pic yako huja weka hujui kma untaka wife hiyuo ni muhimiu ili akujue fiti. pia mi nafikiri yule wamahusiano ya ana kwa ana utapata kumjua fiti zaidi ya huyu wahuku
  15. wakozuka

    Babu + siasa

    Jamani nikweli kuwa babu kawasahaulisha watanzania kuhusu dowans, katiba na maandamano?
  16. wakozuka

    Internet ya bure kwa watumiaji wa Airtel

    wai marai haijakubali kwangu hawa airtell wamekuwa waongo jamani
  17. wakozuka

    The West Policy on Libya Vs Putin

    Je sasa hawa wanasiasa wanaosema kuwa hata maandamano ya amani ya Chadema yanaweza leta vagi kama hilo je ni kweli? au niupumbavu wa fikra zao zimekuwa transmitted through midomo yao kutoa output ya faida zao.
  18. wakozuka

    The West Policy on Libya Vs Putin

    vipi kama siku yao ndio hii?
  19. wakozuka

    The West Policy on Libya Vs Putin

    ila wakae wakijua kuwa hiyo sio iraQ
  20. wakozuka

    zte modem

    jamani nina zte modem ya sudan nataka kuitumia huku tz, kunaanaejua jinsi ya kuiunlock?
Back
Top Bottom