Search results

  1. Kazubha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ya kwanza ishatoa kwa walioplay single
  2. Kazubha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Humu pasapoteza mvuto aisee yaani pipo zinauza odds kama fb
  3. Kazubha

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nitumie link ya kundi lako
  4. Kazubha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mimi nina mashaka na hiyo perfect 12 jamaa anaweza jifanya kuna mtu kashinda ilo kuishusha hiyo hera coz zimetoka draw 4 dah hapo ndo nazidi kutokuamini
  5. Kazubha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mbona watu tunakula basket
  6. Kazubha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    jambo bovu sana mkuu watu hawajui tu
  7. Kazubha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nunua na usijali kama wao ndo wanacheza uwanjani zitakuwa fixed match lakini kama wanacheza wengine acha Mkuu
  8. Kazubha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kama ni visa card sawa kama ni kad ya kawaida kaifanye iwe visacard
  9. Kazubha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tunatest mitambo betpawa
  10. Kazubha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hawakati na unabetia kuanzia 1-9999999 jackpot yao n shiling 100
  11. Kazubha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    siwez kuwa wakala kwa ujinga kiongozi hao sio wema
  12. Kazubha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jmosi tulichanga na wadau hera ili tuliipie mkeka wa odds 10+ per day shiling 10,000/= kwa sundi then baada ya hapo tukapewa fake odds... ikamake loss then jpili ikatumwa slip nyingne then ilifell sasa jamaa mwenyewe akasema atarefund tukasema poa the akablock mpk leo hapatikan so kuweni nae makin
Back
Top Bottom