Nadhani wapinzani mmevuna mlichopanda katika uchaguzi wa juzi.Kama viongozi wafuatao ni makada wa CCM Na ndio wanasimamia chaguzi zote Wapinzani mnategemea kushinda kweli?
Mkuu wa mkoa
Mkuu wa wilaya
Ras
Ded
Das
Mnachotakiwa kufanya ni kushughulikia mabadiliko ya Katiba ili utitiri wa hao makada...
Makada wa ccm mnahangaika sana Na mbowe kwanza tunapata picha kuwa kumbe uwepo wa Mbowe Lowassa Na Sumaye kunawapa HOFU Kwa hiyo Mbowe Hajiuzulu, Lowassa Na Sumaye hawaondoki NG'OOO
Nimekuwa nafuatilia chaguzi mbalimbali hapa Nchini Na kubaini kuwa
1.Katiba ya Tanzania inatakiwa ibadilishwe
2.Tume Huru ya Uchaguzi
3.Watendaji kama Vile DED wasiwe wakurugenzi wa Chaguzi
Bila hayo niliyoyaandika nawahakikishia Wapinzani kuishinda CCM haitatokea kamwe hata pale ambapo CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.