Inategemea na maombi ya mawakili wa serikali walivyofanya amendment ya kifungu cha 234 CPA CAP 20 RE 2019 ambacho kina vipengele vingi mahsusi ambavyo sio lazima mashahidi au ushahidi uanze upya
Write your reply...mimi mama alikuwa Mwalimu Weruweru enzi za Headmistress mama Kam ilikuwa ni mwendo wa kuwachungulia tu watoto wazuri wa Weruweru Nakumbuka kulikuwa na dance wanacheza na lyamungo na umbwe The school wa beautiful tulikuwa tunakaa karibu na uwanja wa basketball na kindergarten...
Gari muhimu na hakuna kisicho muhimu mtu anasema gari sio muhimu na anapanda gari tuache kuishi kimaskini maskini kama unauwezo nunua gari imeaharibika na hii inategemeana na kazi unayofanya halafu unajua kwanini japan wanazalisha magari mpaka ya cc 600 ni ili kumsaidia kila mtu apate huduma...
Mimi ni mchaga naishi na mngoni nlikuwa nataka kufunga ndoa ila Tabia za Huyu mmama zimenishinda ni msomi mzuri tu ila kuna sparks za kimangi nazimiss sana
nipo sumbawanga mitaa ya sumbawanga imepangika kuliko Mbeya karibu huku mkuu kizwite, Bible, chanji, majengo, kristo mfalme, sumbawanga asilia, bomani, katuma, mkoani,katandala, majumba sita. Welcome sumbawanga hukumambo ya uchawi hayapo ila zamani yalikuwepo
Attraction has no choice bidada hata siku moja usilazimishe mwanaume akupende hilo pendo litakuwa la mwendokasi lazima kunakituo chake,talking from experience hakuna hata msichana mmoja aliyevutiwa na mimi nliwahi mpenda despite walifanya kila sarakasi ili tuwe pamoja ilishindikana iko nguvu...
Mimi nimeendesha Harrier mpaka sasa ila hili gari halijanivutia ikija kwenye stability despite ni gari zuri ingawa Subaru Forester litakuwa zuri zaidi kwenye stability sababu ni AWD na boxer engine
Bukoba ni miongoni mwa mikoa minne maskini Tanzania unalinganisha na Moshi(Kilimanjaro)mkoa unaoongoza kwa human Development index kwa mujibu wa Hansard ta Bunge
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.