Search results

  1. G

    UCL: Deportivo la Coruna, timu iliyowahi kufanya maajabu

    Kati ya mtoa mada na wewe nani punguani ,,mtoa mada katoa data zake lakini kwakua wewe ni punguani unabisha tu,,
  2. G

    Mo Salah: Mchezaji bora anayepoteza muda wake Liverpool

    Tunasafari ndefu sana ya kujua mpira hasa wabongo,,ni sehemu gani sahihi ya kila mchezaji,
  3. G

    Je, huu ni ubaguzi wa rangi? Huyu mzungu alikua na maana gani

    Naona hata wewe unaibagua tz mbona unaongea kidhungu,,hao waliokubagua ndio ndugu zako
  4. G

    Shaffi kwa nini humkubali Ronaldo?

    We haujui mpira,, point yako ni kuhama timu
  5. G

    Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Hivi ulishakaa chini nakujiuliza kweli??miaka sita isimame ili ifanye nini
  6. G

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo wa Rama dee si waliao
  7. G

    Tuache ubishi usio na maana Messi hana entertainment yoyote uwanjani kumzidi Gaucho

    Ukitaka kujua hilo waulize mabeki au makipa watakupa jibu,,andunje si wa sayari hii ndugu..Kwanza yule si binadam ni mdudu sijui ni mnyama
  8. G

    Mpaka sasa sijaona mchezaji Kama Ronaldinho (GAUCHO)

    Kwangu binafsi sidhani kama kuna mchezaji atatokea kama Messi
  9. G

    Ninajihisi mjamzito, lakini sikumbuki ni wa nani

    Wapatie police,,maan police wa kipindi hiki wanagharamia mambo yote hata kama hayawahusu, .
  10. G

    UEFA mna chuki binafsi na Man United

    Shabiki wa man u huyo amesha changanyikiwa hata hajui ameandika nini
  11. G

    Irene Uwoya ampa onyo kali Dogo Janja kuhusu mpango wake wa kuoa wake wanne

    Huyu kweli dogo mapema yote hii anataka mwingine
  12. G

    Wachezaji gani walistahili kutwaa Ballon D'or?

    Inaonyesha wewe ni mtu wampira,kula hiyo[emoji106] [emoji106]
  13. G

    Picha: Kwa hili suala la Yanga kuhusishwa na Rushwa ushindi mechi ya Kagera Lifuatiliwe kwa Umakini

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli nyie mbumbumbu mapema yote hii mshaanza kulia kulia mbona mechi bado,, Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  14. G

    Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

    Laiti kama angetupwa baharini waziri wetu angelisema si mtanzania.
  15. G

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Endelea kufanya tu,,maan wanasema mlango mmoja ukifugwa mwingine utakua wazi,,...
  16. G

    Ajali kwenye mashindano ya rally yasababisha kifo na majeruhi Tanga

    Nafikiri sasa ndio tutaelewa nini maan ya mashindano ya magari..
Back
Top Bottom