Search results

  1. xav bero

    Kwangu Mimi

    Hii ni picha yangu bora ya wiki
  2. xav bero

    Wapinzani, wote mliowalalamikia wanaifilisi nchi ndio mnawatetea

    Wapinzani wa nchi,,,mmeiksoa sana na mnazid kuikosoa serikali pale inapoenda kinyume,kuanzia bungeni mpka uraiani... Hongereni HIV mmeshajitambua kama nguvu zenu ni kuitoa ccm madarakan je mtafit kuongoza nchi hii? Kwel kabisa mnauwezo wa kuunda serikali au mtaunda ya umoja wa kitaifa na...
  3. xav bero

    Happbirthday RC

    Popote ulipo RC upate afya,hekima,busara,nguvu na moyo wa chuma wa kutoogopa lolote....
  4. xav bero

    Waingereza wametuachia tabia ya kuwa na maneno mengi bila vitendo

    Kutawaliwa na wakoloni ilikua dhambi mbaya sana kwa kwel Ila yamepita tumesahau na wanakuja na aina nyingine ya kututawala yaan ukoloni mambo Leo... Katika vitu ambavyo Tanzania tutateseka navyo mpka mwsho wa hii dunia ni kutawaliwa na uingereza,,,,aisee tumekua na tabia ya waingereza kabsa...
  5. xav bero

    Tetesi: Muda Utasema,,,ni kuwa na subira tu...

    Wakati makonda mkuu wetu wa mkoa alipotangaza vita vya Ngada au sembe au madawa ya kulevya nadhan wengi hamkumuelewa Ila baada ya hotuba ya JPM Leo wakati akiwaapisha viongozi mbali mbali ikulu jijini dar Leo,,nadhan IPO siku mtamuelewa Makonda... Ni suala la muda tu ndio tujipeni muda bila...
  6. xav bero

    Mume/mke: Ukinunulia chochote wazazi wako na wazazi wa mwenzako wanunulie

    Kama mume una mke, hakikisha ukiwanunulia wazazi wako chochote hakikisha na wazazi wa mkeo unawanunulia, hivyo hvyo kwa wanawake hasa ambao mnafanya kazi, ukimnunulia baba au mama yako gari nunua na upande wa pili bila kujali hali zao ni nzuri kifedha au lah! Inasaidia kuimarisha ndoa yenu maana...
  7. xav bero

    Hivi kuna leseni za kimataifa kuendesha gari?

    Hivi kuna leseni za kimataifa kuendesha gari? Yani natoka zangu bongo naenda majuu nakamata usukani kama kawaida? Na kama zipo utaratibu wake ukoje? Au wanatumia leseni gani kwa anaenda nchi za watu hususani Ulaya? Msaada please
  8. xav bero

    Uongo mkubwa zaidi.

    Uongo ambao ulikuwepo,upo na utaendelea kuwepo ni kwamba,, Mwanangu soma,ufaulu mitihani yako,utapata kazi nzuri na utakua na furaha.... Wewe ulieleta uongo huu Mungu anakuona
  9. xav bero

    Uzee: Maana, kuzuia uzee wa mapema,changamoto na jinsi ya kuwatunza wazee

    Habari zenu wanajamii, Namshukuru Mungu amenibariki na kupata vingi navyomiliki ambavyo havina mipaka wala pesa isiyoweza kuvinunua kuliko vingi nilivyonavyo ambavyo vinamipaka ambavyo pesa inaweza kuvinunua,,, imefika kipindi nautaman uzee. Japo umri wngu bado sijafikisha hata miaka 40 lakini...
Back
Top Bottom