Search results

  1. C

    Mtatiro amenena vyema kuhusu Sugu na Masonga kutoka gerezani

    Naomba Mungu anibariki nisije kuwa mnafiki kama wale wa Lumumba, mazingira ya kesi, hukumu na kutolewa kwa Sugu kunaonyesha kabisa 'washamba' wanaweweseka
  2. C

    Kwa waliosoma Dom miaka ya tisini

    Shalom wakuu. Na mimi leo nimeshawishika kukumbuka kidogo mambo ya zamani hasa wale waliokulia katika mji wa Dodoma kuanzia miaka ile ya themanini hadi tisini. Nakumbuka kipindi kile kulikuwa na ushindani mkubwa sana kwenye soka, hasa za sekondari. Kulikuwa na shule kama Dom Sec, Central...
  3. C

    Je kuna bifu kati ya Shigongo na Diamond?

    Watu bwana, wakiandika oooh bila kuandika habari za Diamond hawauzi, wakiacha kuandika oooh wana bifu, simamieni sehemu moja
  4. C

    Babu Tale afunguka kuhusu bifu lake na Shigongo

    Haaa haaa haaaa, duh, yaani sawa sawa na Harmorapa afunguke kuhusu bifu lake na Diamond!! Kiki watafute kwa kuangalia na size, siyo kiki bora kiki, sasa kama yeye ana bifu na Shigongo, na huyo bosi wake Ruge Mutahaba asemeje?
  5. C

    Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amjibu Shigongo

    Ushauri amepewa Diamond, Babu Tale povu la nini? Mbona Sallam kakaa kimya? Kinachomuuma Tale ni magazeti ya Shigongo kuandika habari za yeye kumdhulumu shehe na kushtakiwa Mahakamani. Tale hakutaka habari zile ziandikwe, mwanzo alisema magazeti ya udaku waongo, watu wakasubiri siku ya kesi...
  6. C

    Wale wa Dom mwishoni mwa miaka ya 90

    Kulikuwaga na ushindani mkubwa sana wa mpira wa miguu kwa shule za sekondari. Nakumbuka timu ya Jamhuri ilikuwaga ndiyo best, ikichukua ubingwa kutoka shule ya sekondari ya Mazengo uwanjani kwao. Hivi wale vijana wa shule enzi hizo pamoja na wale wa shule za Central na Dom Sec waliishiaga wapi?
  7. C

    Namuunga mkono Mhe Magufuli, lengo lao usifanikiwe

    Halafu tunamdanganya Magufuli kuwa ana watu wanaoweza kumsaidia kuipeleka nchi katika viwanda na watu wenyewe ni pamoja na huyu aliyeanzisha hii mada mfu!
  8. C

    Namuunga mkono Mhe Magufuli, lengo lao usifanikiwe

    Halafu tunamdanganya Magufuli kuwa ana watu wanaoweza kumsaidia kuipeleka nchi katika viwanda na watu wenyewe ni pamoja na huyu aliyeanzisha hii mada mfu!
  9. C

    Tusikubali Wanasiasa Wapandikize Chuki Dhidi ya Polisi

    MM Mwanakijiji kawa boya kweli siku hizi
  10. C

    Lulu azuiwa kuingia Ikulu

    "Waziri mkuu ofisi yake iko Ikulu?" Yeah, Ofisi ya Waziri Mkuu ipo Ikulu, upande ule wa barabara inayoenda soko la samaki Ferry, linatazamana na lile jengo la chuo flani cha serikali
  11. C

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Nauliza, Hivi hakuna kiwanda kinanunua haya matikiti maji kwa bei ya jumla na je kama kipo, ni shilingi ngapi kwa kuilo?
  12. C

    Mapokezi Global Publishers imenisikitisha

    Ni jambo la kushangaza kweli, unaendaje kwa mtu na shida zako halafu unataka kuonana naye kadiri unavyotaka wewe? Ninavyojua, siyo tu ofisi, lakini kila mtu ana utaratibu wake wa maisha. Sioni ajabu Shigongo kuweka utaratibu wa kukutana na wanaomhitaji, ndiyo maana wanaoona ajabu kwa yeye kuweka...
  13. C

    Nauza kuku wa mayai

    Mnaweza kunitafuta kwa namba hii kwa mawasiliano zaidi 0657151643
  14. C

    Nauza kuku wa mayai

    Niliwanunua Julai mwanzoni mwaka huu, kampuni Interchik na nipo Madale Dar
  15. C

    Prof. Muhongo anatembelea nyota ya William Ngeleja

    Nasikia pia kipindi chake ndicho wapiga dili walitengeneza sana fedha kwa kuuza mafuta mazito ya kuzalishia umeme pale IPTL baada ya umeme wa Tanesco kuzimwa makusudi kwa amri na vimemo vilivyokuwa vinatoka kwake? Na eti ndiye aliyeasisi mtindo wa kumwaga maji ili yasijaze levo pale Mtera ili...
  16. C

    Nauza kuku wa mayai

    Wanabodi, Nilikuwa nafuga kuku wa mayai, lakini nimepata dharura inayohitaji fedha na hivyo kushindwa kumudu kuwalisha kuku hao wapatao 280 ambao hivi sasa wana miezi mitano na siku yoyote wataanza kutaga. Ninaweza kuwauza wapi kwa bei ya jumla?
  17. C

    Kitakwimu UKAWA muungano wenu ume prove failure kwenye uchaguzi huu

    Kwa mashabiki wa siasa, Ukawa wamefeli, lakini kwa wanaojua siasa za nchi hii, upinzani kwa ujumla wake umeimarika zaidi ya mara mbili kuliko ilivyokuwa 2010. Term iliyopita, Chadema walikuwa na wabunge 23 wa kuchaguliwa na CUF walikuwa na 2, NCCR 4 jumla 29 (Bara). Hadi baada ya majimbo 201...
  18. C

    CHADEMA mtamkumbuka Zitto na Slaa, CUF hawataisahau CHADEMA

    Viti vya Chadema viliongezwa na harakati za Dr Slaa tokea mwaka 2010 alipozunguka nchi nzima kuijenga, huyo fisadi kaja na wachumia tonge tu maana wapiga kura wote wa Chadema walishakuwepo. Wengi walijiweka kando kuwapisha viongozi masilahi ambao walikubali kula matapishi yao ili visenti vya...
  19. C

    Mwanakijiji, jiandae na kibarua kuandika makala katika gazeti la Uhuru kukosoa serikali ya Lowassa

    Mimi huwa naamini uongo ninaoambiwa kwa muda mreeeeeefu kuliko ukweli ninaoambiwa mara moja na haraka. Kwa maana hiyo bado ninaamini uongo nilioambiwa na Tundu Lissu, Mchungaji Peter Msigwa, John Mnyika, Freeman Mbowe, Godbless Lema na Wilbrod Slaa kuwa Lowassa ni fisadi na hafai kabisa kuwa...
Back
Top Bottom