Search results

  1. Prince Dos Santos

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Karibuni sana great thinkers wote tujadili na kutafakari mapungufu ya kimfumo na uendeshaji wa serikali ya Tanzania kuanzia awamu ya kwanza wakati tunapata uhuru mpaka utawala huu wa John Pombe Magufuli . Tujadili bila ushabiki wa kisiasa juu ya mapungufu hayo na tutoe mapendekezo yanayoweza...
  2. Prince Dos Santos

    Uzi maalum kwa kujadili mapungufu ya serikali ya Tanzania kwa awamu (1-5 )

    Karibuni sana great thinkers wote tujadili na kutafakari mapungufu ya kimfumo na uendeshaji wa serikali ya Tanzania kuanzia awamu ya kwanza wakati tunapata uhuru mpaka utawala huu wa John Pombe Magufuli . Tujadili bila ushabiki wa kisiasa juu ya mapungufu hayo na tutoe mapendekezo yanayoweza...
  3. Prince Dos Santos

    Kuna unyang'anyi wa kidola unaendelea Tanzania

    Unabishana na mchumia tumbo ambaye ni kichwa maji , we ngoja tu hivyo viposho viache kulipwa hata kwa miezi miwili mfululizo huone watakavyonyooka , we ngoja tu kila mtu lazima effects za udhalimu wa hili genge la waporaji zimkute , narudia tena hamna ambaye yuko salama Wewe unaweza kudhani...
  4. Prince Dos Santos

    Kuna unyang'anyi wa kidola unaendelea Tanzania

    Kwamba wewe huoni kinachoendelea au ndo mtindio wa ubongo?
  5. Prince Dos Santos

    Kuna unyang'anyi wa kidola unaendelea Tanzania

    Ni taahira pekee ndiye anayeweza kudhani kuwa hii nchi inaelekea mahali salama
  6. Prince Dos Santos

    Kuna unyang'anyi wa kidola unaendelea Tanzania

    Hahahaaaa ! Naona unaitamani Zimbabwe sana mkuu[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
  7. Prince Dos Santos

    Kuna unyang'anyi wa kidola unaendelea Tanzania

    Mkuu hili linafikirisha sana ujue yani haiwezekani jitu lilindwe na mamluki wa nchi jirani , usalama wa Taifa nao wamekuwa pararysed .Kuna mchezo mchafu Kagame anaufanya , amepata chance na kaitumia twafaa
  8. Prince Dos Santos

    Kuna unyang'anyi wa kidola unaendelea Tanzania

    Whaat ! Hebu acha vituko wewe , 1trillion ya pesa yetu ya madafu ni arround 500 millions $ , acha masikhara huyo Dewji mwenyewe hiyo pesa hana , huo utajiri wa Dewji umekuwa rated kutokana na value ya assets na mzunguko wa biashara zake na si cash money , muwe mnaelewa nyie watu
  9. Prince Dos Santos

    Kuna unyang'anyi wa kidola unaendelea Tanzania

    Acha usenge wewe boya Wafanyabiashara wamemfisadi mama yako au baba yako ? , hivi mbona hii nchi kuna watu mafala hivi ? , hivi hapa umeandika hoja gani sasa ? , shwain
  10. Prince Dos Santos

    Kuna unyang'anyi wa kidola unaendelea Tanzania

    Unajua kuna mambo yanakera na yanakatisha tamaa sana . SIONI FUTURE KWA HILI TAIFA , TANZANIA HAINA SERIKALI ILA KUNA GENGE LA MAJAMBAZI NA MAHARAMIA AMBAO LENGO LAO NI KUMNYANYASA NA KUMPORA MTANZANIA
  11. Prince Dos Santos

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Bonge la riwaya
  12. Prince Dos Santos

    Msimlaumu Sana Magufuli - Ubepari Ni Unyama Msisahau

    Hujui lolote wewe , hakuna unyama mbaya kama ujamaa sasa kama ujui , fuatilia nchi za kijamaa uone raia wake wanavyosuffer na viongozi wanaishi kwa raha
  13. Prince Dos Santos

    Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer

    Kuna kodi zisizo na kichwa wala miguu za kitapeli zimekuwa imposed na TRA, nadhani hata hapa juzi amelizungumzia hilo Arusha , kama unafuatilia habari umelisikia
  14. Prince Dos Santos

    Meena Ally, mtangazaji anayeboa kuliko wote

    Wekeni picha lasivyo ugali huu hauna mboga
  15. Prince Dos Santos

    Kangi Lugola aomba wananchi kuwasaidia polisi kwa michango kuwajengea nyumba kama wafanyavyo kwenye elimu na afya

    Shenzi sana huyo kilaza butu @ Lugola , si kazi ya raia kuchangia policcm , huu upuuzi angetakiwa akamwambie Jiwe na si sisi
  16. Prince Dos Santos

    Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer

    Hii nayo ni point , ila kwa suala la kodi sidhani kama mambo ni shwari kama unavyodai kwa mfanyabiashara atalielewa hili , kuna udhurmati mkubwa sana unafanyika chini ya TRA
  17. Prince Dos Santos

    Mwanamke: Usafi wa 'K' ni zaidi ya muhimu, harufu mbaya zimezidi

    Hahaaaa ! Hivi kuna watu wanalamba hadi sodoma ? , aisee anayefanya hivyo anastahili anachokipata maana anakuwa kapata balanced diet , kinywaji = mkojo kwenye k na chakula = kinyesi kwenye tigo
  18. Prince Dos Santos

    Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer

    Ni hulka ya masychopath duniani kote watu kama Idd Amin , Mobutu , Joseph Stallin n.k , kiufupi rais Magufuli ni mental disorder kama za hawa madikteta
Back
Top Bottom