UKUTA lilikua wazo zuri sana sababu lilikua ni suala la nchi nzima kupinga udikteta na hakuna mtu anaweza kuzuia maandamano ya nchi nzima labda yawe ya eneo moja.
Faida za UKUTA
-Kufikisha ujumbe kwa Dunia nzima toka kwenye shina nchi na Dunia nzima dhuluma zinazoendelea Tanzania
-Kutekwa...
Wiki nzima hii wamechoma mafuta kutangaza eti ombi la wananchi la kumpongeza Rais limekubaliwa na mkuu wa mkoa Amina Masenza.
Hili tulijua ni mbinu chafu na hakuna watu waliotuma maombi kama hayo ila inafanyika hivyo zaidi kwenye halmashauri zinazoongozwa na UKAWA ili kuhadaa wananchi.
Leo...
Rasimu ya pili ya katiba ya Warioba ilipendekeza ili kudhibiti uingiaji mikataba mibovu kabla ya kusaini mikataba inabidi ikajadiliwe bungeni, ili kuiponya nchi kwa muda mrefu hata usipokuwepo madarakani tupate katiba itakayobana mafisadi wezi na wala rushwa rudisha mchato tuanzie pale kwenye...
Hii inatokea pale mwanaume anafanya mapenzi mshindo mmoja tu na kufanya ile nguvu ya mapenzi kubaki mwilini, yaani ni hivi unakuta mwanaume katoka kufanya mapenzi lakini baada ya muda kupita kidogo anapata hamu kali zaidi kuliko awali mfano dereva anatoka dar anafika chalinze sababu ya uchovu...
Ester Bulaya ni mpambanaji kuliko wapinzani wote kavutana na polisi mpaka nje wakati wabunge wote wa upinzani wakiwa wamezubaa uonezi huu wa spika kwa wapinzani haukubaliki na Bulaya kaonyesha kwa vitendo kama mama Tanzania mzalendo na aliyepinga ukandamizwaji wa wazi wazi wapinzani leo umoja...
Huu utawala wa hapa Tanzania nani anafurahia
Waandishi wa habari
Wanafunzi chuo kikuu
Wananchi wa kawaida
Watumishi wa serikali
Bunge
Wasafirishaji
Wafanyabiashara
Watu wa utalii
Mabenki
Wafanyakazi wa bandari
Mahakama
Viongozi wa dini
Wamiliki shule binafsi
Wakulima
Wafugaji
Wazanzibar
Wapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.