Search results

  1. Mutta

    Mbona modem za airtell ce 1588 zina tofauti?

    Kuna rafiki zangu wana modem kama ya kwangu(airtel ce 1588) ila wanao wanapojiunga wanapata mb 400 kwa tsh 2500.ila mimi napata mb 150 kwa tsh 2500.nisaidieni maujanja kama yapo.
  2. Mutta

    Kama mke hazai ni vema kuachana naye?

    Nimeoa mke miaka SABA lakini hazai ,nifanyeje wakati nimefunga naye ndoa?Mimi nina uhakika mzima.Naombeni msaada umri unanitupa mkono
  3. Mutta

    Wabunge Filikunjombe, Msigwa waponda matokea darasa la saba

    MSIGWA na FIRIKUNJOMBE wapo sahihi.Tunapokea wanafunzi wanaosema wamefaulu ambao hawajui kusoma vizuri.Mwanafunzi aliyefaulu atashindwaje TABLE ya 6,7,8,9 na 12? No reseach no right to speak.Watoto tunaopokea ni Vilaza.Serikali iondoe siasa kwenye Elimu.Angalia matokeo ya Form two mwaka...
  4. Mutta

    kila mtu akipenda kazi yake kama uyu tutapiga hatua sana tanzania

    Jamaa anafaa sana.if you want to be happy and rich,don't go to school
  5. Mutta

    Matumizi ya modemu vs gharama za vifurushi vya muda wa kuperuzi na maongezi

    mimi nina AIRTEmodem ambayo napata mb150 kwa shs 2500,Je kwa wale wanaopata mb 400 kwa sh2500 mnafanyaje?
  6. Mutta

    Jibu ni 2, tatizo ni njia

    X | 0, 1,2, 3... 2^x| 1, 2,4, 8... 2x | 0, 2,4,6... Kwenye hiyo table hapo juu.Majibu ni X = 1 or 2.
  7. Mutta

    Natafuta mke kiukweli

    :israel:unavutia dada
  8. Mutta

    Malipo ya sensa kwa makarani ni sawa na kote?

    Mbona uandikishaji wa vyeti vya uraia hapa DSM tayari? Au uandikishaji unarudiwa?Pia huku Dar zile siku 3 za kusurvey na kujaza Dodoso la jamii hakuna malipo.Ambaye amelipwa atujuze.
  9. Mutta

    Naombeni msaada,Laptop yangu imegoma kufunguka

    Laptop yangu ni aina ya ACER,Jana nilimpelekea rafiki yangu akaniwenikea Program ya IDM,baadaye akafungua hard disk kwenye partion D na kuscan Virus.Nilipofika nyumba ili nianze kufanya kazi zangu ikaandika NTLDR is missing,press any key to start,ukipress inaendelea na maneno yaleyale.Naombeni...
  10. Mutta

    For JamiiForums Mobile users

    [COLOR=red]mobile[/colour ]
  11. Mutta

    For JamiiForums Mobile users

    #ff0000mbile/colour
  12. Mutta

    Mkuu wa wilaya matatani kwa fedha za sensa

    Hata sisi huku DSM Wilaya ya TEMEKE kata za VITUKA ,POLISI waliamua kupiga rizasi ili watu waondoke kituoni baada ya kuchelewa kuleta pesa{ jana ndo ulikuwa mwisho wa semina} jioni saa kumi na moja jioni.Baada ya kugawa kwa watu wachache wa herufi A na B Wakasema hakuna usalama hivyo tutaendelea...
  13. Mutta

    Mkuu wa wilaya matatani kwa fedha za sensa

    Kama hujui uliza .Kwa tarifa yako,mkuu wa Wilaya ndiye mwenyekiti wa SENSA wa Wilaya.Ana uwezo wa kuchakachua kwa kuongeza idadi ya watt hewa
  14. Mutta

    Je huu ni mtandao wa wizi?

    Natumaini wana jf.Kuna e-mail zinatumwa kutoka kwa watu wanaojiita wakimbizi kutoka Nigeria na Ghana wapo Senegal kambini.Wanasema wazazi wao wamekufa kwenye Vita.Wanadai wanahitaji foreiners ili waweze kuhamisha fedha kwenye akauti zao.Ukianza utaratibu huo ,mara unaambiwa zinahitajika UK 200...
  15. Mutta

    MKOBA azushiwa kusaini kitabu cha mahudhurio

    Wewe ulitaka akae nyumbani? Je taarifa za mikoa mbali kwa wenyeviti na makatibu wa mikoa angepataje?
  16. Mutta

    Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    Taarifa kutoka kwa mwanafunzi wa JANGWANI SECONDARY,walimu wameingia darasani na kufundisha mfano. Form two 11s wamesoma MATHEMATICS, physics{madam Komba},BIOLOGY{MR MATALE},Kiswahili{ field teacher}.Pia OLIMPIO UPANGA walimu wameingia darasani na kufundisha.{...
  17. Mutta

    Kama vichwa vyao si kufuga nywele,je wametufisha wapi?

    Ndugu wana jf poleni na shughuli za kujenga Taifa.Mimi binafsi najaribu kuangalia rasilimali za nchi tulizonazo hapa nchini. Tunaishia kukaa kwenye STOOL ya DHAHABU huku tukiwa SAIDIA baba,SAIDIA maskini,tukitegemea misaada kwa 70%.Je wao wenye vya kufikiri wamefanya nini?
  18. Mutta

    Wafuatao wasirudi bungeni 2016...hawa ni hatari na janga kwa Taifa

    Ongeza .STELLA MANYANYA,SELINA KOMBANI,ABAS MTENVU na MIZENGWE KAYA ANZA na KUNPIDA nchi
  19. Mutta

    MWL wa Math na Physics

    Ahsante kaka.Mimi ni mwl wa Physics na Math mwenye DIPLOMA.Wanaotoka Vyuo vikuu wakija kuanza kazi za kufundisha Maths wanashindwa.Mpaka wanaomba msaada.Akaombe kuwa DAKTARI,MHASIBU,POLISI.n.k.Wote wanaomsuport wanasahau wamefundishwa na qualified teacher?
  20. Mutta

    Ibada ya Freemason

    Mbona ni wanaume tu?Kwa wanawake hawapo mafree mason?
Back
Top Bottom