Search results

  1. siwila m

    Kwanini Wanawake waliotalikiwa au hata waliogombana tu na Wapenzi wao wa Kiume ni rahisi kutongozeka

    Nikweli kabisa mimi mwenyewe kuna mmoja alisumbua sana lakini baada ya kukosana na mume wake mwenyewe akaja kuniomba namba yangu wakati mwanzo niliomba namba yake alikataa kabisa mimi nikamwambia mbona mume wako anayo namba yangu anaweza kukupa.
  2. siwila m

    Tahadhari Vibanda vya M-Pesa, Kuweni makini na huu Utapeli

    Naona mambo ya m pesa yamekupita kushoto pole
  3. siwila m

    Itakuwaje kimondo kikianguka duniani kwa kasi ya mwanga?

    Vipi dunia hawezi kuhama kwenye mzunguko wakaida?
  4. siwila m

    Watanzania tuwe na huruma, tuwasamehe Bongo Movie.

    Nashukuru umewambia ukweli mtupu ngoja tuwape muda tuone.
  5. siwila m

    Wanaume wa JF mnaweza kufanya hivi?

    Hapo hakuna haja yakuwa na wivu kwa sababu yeye ndie wa kwanza kumjua mkeo kabla yako.
  6. siwila m

    Ni aibu TBC1 kutorusha mechi za Timu ya Taifa. Uzalendo wenu upo wapi?

    Kweli we ni noma na mimi ngoja nitafute fundi.
  7. siwila m

    Rais wa Zambia Edger Lungu, Apigiwa Magoti na Waziri Wake

    Kwa wazambia kupiga magoti nikitu cha kawaida sana hata barabarani ni sawa tuu.
  8. siwila m

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Ni kweli kabisa ila wasiwasi wangu wanaweza kufuta matokeo na wakatudanganya kwamba wamefuta uchaguzi.
  9. siwila m

    Ripoti ya uvamizi Clouds hadharani: Makonda alitishia kuwaingiza kwenye skendo ya dawa za kulevya

    Tanzania ya viwanda imegeuka tanzania ya vituko
  10. siwila m

    Kiongozi wa dini asiyejua kusamehe, vyeti vyetí mpaka lini

    Sasa naanza kupata wasiwasi kama kweli ana vyeti aviweke hadharani kwani vyeti ni uchawi.
  11. siwila m

    Sakata la viroba: Mselia wa Dodoma ajipiga risasi na kufa

    Kama alikua mlipakodi mzuri basi angepewa muda kulingana na mzigo wenyewe.
  12. siwila m

    Je, Mungu ana dini?

    Napata wasiwasi kama kweli mungu yupo na kama kweli yupo basi dini ingekua moja duniani kote.
  13. siwila m

    RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

    Hii ndio TZ litaibuka jipya muda si mrefu na hili litasaulika kimya kimya. #Team wasaulifuu#
  14. siwila m

    Tetemeko la ardhi latikisa Zambia na Tanzania

    Hata huku zambia mji wa mpulungu limetokea muda wa saa nane na dakika 32 usiku ila hakuna uharibifu wowote sijui kwa maeneo mengine.
  15. siwila m

    Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

    Labda kaenda kuvichukua ili ajenavyo studio hataki maneno matupu tuvute subira.
  16. siwila m

    Kwa anayemjua mtanzania huyu, amekamatwa Pakistani

    Jamaa naona kazidisha siku za kakaa nchi ya wenyewe ila hongera yake.
  17. siwila m

    Walimu wote nchini watakiwa kuchangia pesa ya mbio za mwenge wa Uhuru nchini 2017

    Poleni walimu wa tanzania tuvumiliane tu tuliipenda wenyewe.
  18. siwila m

    Ndumba za kuwawezesha kuona mambo yatakayo tokea mbeleni

    Mambo yenyewe magumu bora kuwa huru tuu!!
  19. siwila m

    Kuanzi 1 March tutaweza kuhama mtandao bila ya kubadili namba, Mobile number Portability (MNP)

    Hata mimi nashangaa kwenda kupanga foleni na kujaza form kwanini kila mtandao usiwe na namba ya siri popote unabadili kama netiweki ukisumbua hapo hapo unabadili mtandao.
Back
Top Bottom