pole sana ila kaa ujue kuwa wanaume hatuoi kwa factor moja peke yake ya uzuri coz uzuri unaweza ukapotea at any time,tunaangalia ni vigezo vingine ,muhimu kwako kwa sasa ni muombe mungu akupe subra na utapata wa kwako ambae nae atakuja kukuoa ila usilazimishe awe boss kila mtu amepangiwa na...
ukweli wa nchi za jordan na misri kuwakataa wakimbizi wa israel ni kutokana na sababu kubwa zifuatazo
1-usalama wa egypt na jordan - egypt a jordan wanaogopa kuwa wakiwakaribisha wakimbizi wa palestine wanaotokea katika ukanda wa gaza,wakiamini wanaweza kuhatarisha usalama wa nchi zao kwani...
Habari wakuu,
Natafuta mbegu ya chakula cha kuku azola kwa mkoa wa mbeya, naweza kupata wapi? Maana nimetafuta sana nimekosa.
Au kama kuna mdau anauza basi anicheki please.
Ule sio mchezo wa kuigiza ,ni jambo la hatari sana lililotokea kwa uongozi wa russia kwa ujumla,na tukubaliane kuwa kuna mahala putin amefeli,kugundua ukweli ni moja ya njia ya kujisahihisha ,kinyume chake ni kujidanganya.
This conspiracy has got nothing to do with yanga,kama ni kweli gari limepuliziwa na caf wamethibitisha sio lazima wahusika wawe yanga,wanaweza wakawa wao wenyewe au watu wengne.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.