Search results

  1. Hance Mtanashati

    Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    Afundishwe upya Johari window 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
  2. Hance Mtanashati

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Peleka facebook
  3. Hance Mtanashati

    Je, muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo kwa vigezo vipi?

    Kuna huyu mbunge wao anataka tuwe na passport tukitaka kuingia Zanzibar ila wao huku waje free πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚muungano wa kis**ge sana.
  4. Hance Mtanashati

    Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Kwa sababu sukari inalundikana ndani ya damu kupitia kiasi kwa hiyo ile mishipa ya damu diameter yake inakuwa ndogo (narrowing of blood vessels) ,pia inapelekea mishipa ya damu kukakamaa hivyo inashindwa kusinyaa na kutanuka. Uharibifu huu wa mishipa ya damu unatokea mwili mzima kwa hiyo kuna...
  5. Hance Mtanashati

    Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Hakuna mzazi anayependa mwanae aolewe na fukara . Mzazi kamtunza mwanaye mpaka alipofikia sasa ili akukabidhi lazima ahakikishe wewe ni mtu sahihi kwake na unaweza kumudu mahitaji yake.
  6. Hance Mtanashati

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Tabata wanapenda sana kujilinganisha na sinza sijui kwa nini. Haitakaa itokee tabata ikawa juu kuliko sinza. Sinza 24/7 usafiri ni uhakika ila tabata sasa pako ziiiiiiiiiiiiiiii.
  7. Hance Mtanashati

    Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Cha kuongezea ni kwamba ukiona dalili za kisukari mfano kusikia kiu mara kwa mara, kusikia njaa, kusikia mkojo na hali ya kupoteza uzito na kuchoka choka , ni heri uende kutafuta tiba mapema. Kisukari kikikomaa madhara yake ni makubwa mno ikiwemo kuwa hanithi na upofu.
  8. Hance Mtanashati

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    wewe unaongelea sehemu za starehe au unaongelea kijana kumiliki nyumba?
  9. Hance Mtanashati

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Ili isiwe over rated , wapi panapazidi sinza hapa kibongo bongo?
  10. Hance Mtanashati

    Kwa dalili hizi Ninahisi nina maambukizi ya VVU

    πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  11. Hance Mtanashati

    Kwa dalili hizi Ninahisi nina maambukizi ya VVU

    Lymph nodes hizo zime enlarge . Lymph nodes ziki enlarge ina maanisha umepata maambukizi ila sio lazima iwe H.I.V. Inaweza ikawa magonjwa mengine mfano gonorrhoea. Moja ya dalili za ukimwi stage ya kwanza ni generelarized lymph adenopathy (kuvimba kwa hizo lymph nodes) Wahi hospitali haraka...
  12. Hance Mtanashati

    Upasuaji kwa wajawazito imekuwa kama lazima, ni kero kubwa

    Una uhakika gani unauzito alionao haukuhitaji upasuaji?
  13. Hance Mtanashati

    Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

    πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  14. Hance Mtanashati

    Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  15. Hance Mtanashati

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Back
Top Bottom