Search results

  1. yokohama yokozuna

    Am Looking For A Man To Have A Child With

    Huko kwenu hawapo wa kukuoa hadi jf?Kapime mkojo kwanza. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. yokohama yokozuna

    Dunia inakuja nchini Kenya

    Naona neema za Allah zimejaa tele.
  3. yokohama yokozuna

    Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Zakaria,batco,sabuni,nyehunge,Allys,super sami na lake transport mbona hujawataja@mwita ke mwita.
  4. yokohama yokozuna

    Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Haki ya nani mzee wa watu kanapewa zaidi ya mkatolikiwaroma.
  5. yokohama yokozuna

    Natauta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli

    Sasa we Nakonde ni boda ya zambia au?
  6. yokohama yokozuna

    Natauta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli

    Nina miaka 56 ni mwizi.Vp tutaendana?
  7. yokohama yokozuna

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Juzi kati nilimjaribu dada mmoja tukaelewana vizuri hadi nikaelekezwa getoni lkn kabla sijaanza safari nikaombwa elfu 50 nilipomwambia hadi nifike tuonane,mkuu nilishushiwa matusi kama kontena 26 zile za bandarini hadi nikachukia yani sina hamu na wanawake wa badoo hawana heshima hata kidogo.
  8. yokohama yokozuna

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Hakuna mwanamke wa badoo ambaye haombi hela yani ukimpa hata salamu tu jibu ni kwamba tuma pesa kwanza ndo ujibiwe sasa ninashindwa kuelewa ni mtandao wa biashara au?
  9. yokohama yokozuna

    Mwananchi Mwanza; mtaa wenye mabilionea wengi kuliko hata Capripoint

    Wewe nyehunge yupi aliyegongwa na gari?Aliyegongwa ni mzee Lushanga wa Geita.(Lushanga bus)
  10. yokohama yokozuna

    Mauaji Pwani: Ikwiriri, Kibiti, Njopeka kutembea mwisho saa 3 usiku

    Hapa ni bora operesheni ya jwtz ifanyike fasta katika eneo lote la Ikwiriri kwa kufyeka mazingira maana ishakuwa tabu usalama hamna kabisa.
  11. yokohama yokozuna

    Mauaji Pwani: Ikwiriri, Kibiti, Njopeka kutembea mwisho saa 3 usiku

    Huyu anachanganya mada.Tueleze wanaofanya ujambazi ni wahamiaji haramu?Na kwanini husitoe taarifa ktk chombo husika?Na unauhakika gani kama ukaguzi ni lege lege ktk maeneo ya mipaka yetu?Mfano ukitokea namanga gari zinakaguliwa na maafsa wa uhamiaji,ukifika longido kuna ukaguzi ukikaribia Arusha...
  12. yokohama yokozuna

    Peter Mutharika: Ziwa Malawi ni letu, hakuna umiliki wa pamoja, lazima tulinde mali yetu

    Mutharika kaathirika ubongo labda anapuliza kile kifaa cha chuga.
  13. yokohama yokozuna

    Kila nikimwomba kuja tufanye mapenzi anasingizia anaumwa

    Labda anao kale ka gridi ya taifa a.k.a miwaya.
  14. yokohama yokozuna

    Waziri Mkuu ndio mwenye jukumu la kubeba mchanga wa dhahabu huko Buzwagi?

    Utasikia spika nae katinga kakola mining.
Back
Top Bottom